We na kanisa??? Mtapata tabu sana mkuu!!! July is go mkuu!! ulisema itatokea nini?Huyu mama tulipata hasara kweli
We na kanisa??? Mtapata tabu sana mkuu!!! July is go mkuu!! ulisema itatokea nini?Huyu mama tulipata hasara kweli
Sio wewe ndio umedata mkuu?Samia amedata ninii
Just imagine tunaongozwa na viongozi wa aina gani? Wamefungia Twitter ila wao wanendelea kutumia wanampostia nani wakati wamefunga? Chawa wanatumia platform iliyofungiwa na mpendwa kumsifia just imagine!Viongozi wa kiafrika bwana, sasa unatangaza kutengua uteuzi wa mteule aliyekuandikia barua ya kujiuzulu wiki kadhaa sasa?
Hapo labda kumvua hadhi ya ubalozi ndio kitu na taarifa sahihi kwa wakati huu.
Ndugai aliishia wapi?Ndugai piano alisema hajui Lissu alipo na mafao akamunyima
Just imagine tunaongozwa na viongozi wa aina gani? Wamefungia Twitter ila wao wanendelea kutumia wanampostia nani wakati wamefunga? Chawa wanatumia platform iliyofungiwa na mpendwa kumsifia just imagine!
Slow slow hana maarifa,badala kupeleka barua ya kujiuzulu kwa mwajiri wake,serekali,apeleka mtandaoni,kwa hiyo.aliajiriwa kupitia mtandao?Akili ni mqli.Akili zingine bwana!!
Lengo ionekane yeye ndiye alitangulia kutengua hiyo July 16!!
Ilhali hivi majuzi waziri wa mambo ya nje alidai kuna mambo ya kisheria wanafuatilia kabla ya kuchukua hatua.
Slow slowSa100 kamuachisha kazi H.Polepole kwa manufaa ya CCM siyo UMMA.
UMMA unawahitaji watu wengi wa aina ya H.polepole
KafukuzwaKafukuzwa au alijiuzuru?
Matumizi mabaya ya pesa, umalaya, viongozi wengi wa zamani ni wajinga sana hawajui kesho.Mbona mabalozi wastaafu tunao wengi mtaani na viatu vimetoboka,hiyo asali iko wapi.
Slowslow,Bi mkora ana gubu.
Itakuwa ikulu mtandao unasumbua. Barua ya Polepole ndiyo wanaipata Leo?🤣View attachment 3432675
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.
Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.
Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
Anatafuta faraja kwa kujitekenyaKatengua au kakubali barua yake?
HP si alishajiuzulu na akawapa makavu yao!!?