GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tena kiti alichokalia hana amani nacho mana ana bosi wake anayempelekesha…!!

Sawa na mwanamke anayeishi kwenye ghorofa la mume asiyempenda..!!
Yaani hawa Nina mashaka sana
Ukute Wana mkono wao pale kwa Jiwe.

Hebu nikae kimya Nkamu,
Kwetu makapuku,na sina mwanasheria
 
Mpe Pole polepole kwishney
ENOUGH
1B86A8A8-E858-4272-B5E3-D48CE2C173C4.jpeg
 
View attachment 3432675
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.

Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.

Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo kaka waambie tu wenzio warekebishe waandike Rais ameridhia ombi la balozi polepole kuacha kazi

View attachment 3432675
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.

Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.

Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
kaka waambie tu wenzio warekebishe waandike Rais ameridhia ombi la balozi polepole kuacha kazi,msimpigishe Rais Shot
View attachment 3432675
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.

Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.

Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
kaka waambie tu wenzio warekebishe waandike Rais ameridhia ombi la balozi polepole kuacha kazi,msimpigishe Rais shot
 
Na nyie Mode mnazingua,
Breaking news iko wapi hapo?
Yaani aliyeachwa anakimbia kutoa tangazo wakati yeye ndo aliachwa siku mingi?
 
View attachment 3432703
mhuni yeyote hawezi kuwa na Diplomatic

Passport anaweza itia dosari kubwa taifa
Kinachofata sasa ni kuanza kumfatilia alipo maana kila airport atakapopita atajulikana kwani anarudi kukaguliwa hivo rahisi kupata taarifa zake.

Lakini yote na yote sauti NRNE zinauliwa kwa maarifa na watu wameshajaa.
 
Wamuondoe na kwenye chama, bahari haikai na uchafu!!
 
Maybe diplomatic passport? Kupita na diplomatic bags airport ambazo hazikaguliwi? Immunity from prosecution nchi unayoenda? Preferential treatment kwenye huduma zote za serikali za ndani na nje I guess
Hao wakitoka kwenye hivyo vyeo Hata hiyo nauli ya ndege za kutumia passport wanakua nayo kweli?
 
View attachment 3432675
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.

Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.

Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
ni kama polepole aliwahi kujitengua, alikuwa anatengua uteuzi gani wakati jamaa alishajiuzulu.
 
Back
Top Bottom