Rais Samia afanya Mabadiliko madogo ya uongozi Serikalini, amteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa mkoa wa Songwe

Sijaona anayechukua nafasi ya Majaliwa Tanga, na pia alikopelekwa aliyekuwa DC wa Muheza.
Kutoka ukuu wa mkoa hadi ukurugenzi wa shirika.
Huyo alianza mbali au umemsahau alikuwa DG TTCL akahamishwa na mama akapelekwa somgwe kuwa Mkuu wa Mkoa akahamishwa Somgwe akapelekwa Tanga u-RC ndo leo unamuona kapelekwa UDART
 
1. Ninaona pale Kigoma Ujiji kamtoa Mwantum Mgonja. Bibie alikuwa na ugomvi na madiwani wa Manispaa. Kumbuka Madiwani ndiyo mabosi wa Halmashauri kwa hiyo Wakurugenzi hawana budi kufuata maagizo yao.

2. Pale Manispaa ya Ubungo kamtumbua Elias Ntirihungwa ambaye alionekana kuelemewa na uzito wa Halmashauri ile yenye miradi mingi na kampeleka Mkurugenzi mpya anayetoka Jiji la Mwanza. Bwana Elias aliingia Ubungo June 2023 lakini madudu ni mengi sana, na hata wakati anapewa kijiti ma Mtangulizi wake Beatrice, Bwana Elias alikiri viatu vya Bite ni vikbwa sana. Hatimaye Mapato ya Halmashauri yameshuka haswa pale Magufuli Bus Terminal* na Mama kamuwasha kibao.

3. Lakini pia aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mr. Komba kahamishiwa Wilaya ya Geita. Za chini chini ni kwamba Bwana Komba alishindwa kabisa kufanya kazi na Mkurugenzi Elias, na kutamani Bi. Beatrice arudi, maana pigo la kwanza lilikuwa kushuka kwa mapato. Ikumbukwe Bi. Beatrice alikuwa Mkurugenzi Ubungo kwa miaka mitano na kufanya makubwa ikiwemo mapato kupanda kutoka Bi 5 mwaka 2018 hadi Bi 34 2023.

Sasa naona Mama hana nongwa na Bwana Komba na kaamua amsaidie Wilayani Geita ila akaachana na Bwana Elias Ntirihungwa aliuekuwa Mkurugenzi kishoia, na Mkuu mpya wa Wilaya ya Ubungo ni kijana mdogo na Katibu wa zamani wa Chipukizi Taifa Bwana Hassan Bomboko.

4. Huko Mlimba naona mama kaachana na Rose Robert Manumba ambaye ni mtoto wa DCI wa zamani (RIP) Robert Manumba.

Lakini kule Tanga Jiji ninaona viatu vimekuwa vipana kwa Saidi Majaliwa na hatimaye kapewa Mji Mdogo wa Kondoa

View attachment 2929275View attachment 2929277

Mkurugenzi wa Kigoma Ujiji alidiriki hata kupost habari za kuvunjwa kwa Baraza

Mkurugenzi wa Kigoma Ujiji alidiriki hata kupost habari za kuvunjwa kwa Baraza la Madiwani ila katoka yeyeView attachment 2929288
Rose Manumba yupo Malinyi dc na sio Mlimba dc.
 
Uhamisho huo utaicost sirikali mabilioni ya fedha!
Uhamisho mmoja unajenga jumba kabisa dah... Kodizetu hizi.
Serikali ingekuwa inawabebea kilakitu Kwa gari zao kuhamisha hamisha watendaji wake tofautii na kulipana mabilioni kilamara!!
This country is very sick...
 
Huu ndio utaratibu tusioutaka..

Watu hawa i.e Ma RCs na DCs wanapaswa kuchaguliwa kwa kupigwa kura na wananchi..

Na wakishachaguliwa wanapaswa kukaa miaka mi5 ktk maeneo yao ya utawala ili wasimamie sera na mipango yao ya maendeleo waliyoinadi kwa wananchi ktk mikoa au wilaya zao..

Huu utaratibu kuteuana na kuhamishana hovyo hovyo haufai hata kidogo na unachelewesha maendeleo ya wananchi..

Kuna baadhi ktk orodha hiyo waliteuliwa na wengine kuhamishwa juzi tu hata hawajamaliza mwaka, mara tena wanahamishwa vituo vyao. Kwa utaratibu huu, huyu mtu hata kama alikuwa na mipango yake si ndio inakuwa imeishia hapo?

Hii ni kweli kabisa. Kwa sababu kwa utaratibu wa utawala wa kisheria na kikatiba tulionao, hawa viongozi wa kuteuliwa na wa kuchaguliwa, wakishaondoka ktk nafasi zao za uongozi ktk maeneo yao, kama Kuna jambo la kimaendeleo walilianzisha, nalo linakuwa limefia hapohapo..

Kwa utaratibu huu hatutafika popote au tutakuwa tunapiga hatua za taratibu sana za kimaendeleo...!
 
Kwanza ni gharama kubwa sn kwa wananchi, mwaka jana mwezi 6 kafanya uteuzi mkubwa baada ya miezi 8 watu wanabadilishwa tena
 
Back
Top Bottom