Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,727
Kwa kusifia hatujambo badae mnabaki mdomo wazi wazee wa kupika data.
Wa Masaki na Mbezi.Hilo jarida linaongelea watanzania kama watanzania au watu gani? Maana mtaani kila mtu analia gharama za maisha na mfuko wa bei mbaya zaidi kuwahi kutokea tangu tupate uhuru.
Ili akufanyejeKumekucha,
Huyu mama nimemnyooshea mikono na miguu
Ndio hivyo hamna haja ya kusoma siku hizi sijui sayansi uchumi , sheria n.kKazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi,
Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni ( Gross official foreign reserves ) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili tu nakufikia $6.7BL sawa na TZS 15.41 kutoka $5.9BL sawa na TZS 13.57 mwezi Septemba,
Ongezeko hili ni karibu TZS 2 trilioni linalomfanya Rais Samia ndani ya kipindi chake hiki kifupi kuongeza Jumla ya TZS 4Trilion kwenye hifadhi ya fedha za kigeni,rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na Rais yeyote wa awamu yeyote,
Ongezeko hili linachangizwa zaidi na uuzaji nje ( Exports ) wa bidhaa pamoja na huduma hasa mazao ya Chakula kama mchele, Mahindi, maharagwe na mboga mboga,
Kwamsiojua,ongezeko hili ni mbali ya ongezeko la gharama za uagizaji mafuta nje zilizokua kwa 18.3% nakufikia $1.7BL
Jambo la Pili ni Uwekezaji mkubwa kutoka inje Foreign Direct Investments ( FDIs ) uliofikia $2.9BL sawa na TZS 6.7Trilioni,
Ukuaji huu wa uwekezaji ni sawa na mara sita zaidi ya uwekezaji wote uliofanywa mwaka uliopita katika kipindi kama hicho cha kati ya Mwezi Machi na Agosti,
Ongezeko hili linaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua karibu miezi saba rekodi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuwako wa Taifa hili miaka sitini ( 60 ) iliyopita,
Tanzania kwa sasa ndio nchi inayokuza hifadhi yake kwa kasi Ukanda mzima wa Africa Mashariki na Tumevuka lengo la EAC lakuwa na akiba ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua miezi 4.5
View attachment 2018173
Na wanaoziona na kufurahia hiyo mi-US$ watakuwa wale wa Tanzania ya pili a.k.a Dola tena exemption ya kulipa kodi hata wakiagiza magari toka nje.Mimi nahisi lazima kutakuwa na Tanzania mbili , ya wanao nufaika na wanao sota
Wewe nawe sijui mmea wa Njombe unakuendesha. Watu mtaani wanalia maisha magumu unakuja na maelezo ya ajabu ajabu.Watakwambia hamna kitu sijui maushungi kumbe wivu na chuki zinawasumbua..
Reserve toka 4.7 to 6.7 bil.tena zimetokana na exports ni jambo linaonyesha nchi iko kwenye uelekeo mzuri Sana ..
Go Samia Go
View attachment 2018225
View attachment 2018226
Mmea wa Arusha katika ubora wake !Walioongoza nchi kwa kutegemea kudra za Mungu ni awamu ya 5,,sasa hivi awamu ya 6 tunaweka mipango ambayo haitategemea kudra za Mungu huku tukimuomba Mungu Hali itengamae tupate mda wa kujitayarisha..
Akikujibu nitagHayo mahela waga ni ya nini kama kila siku tunaenda kukopa, maji umeme full mgao na plus hakuna ajira wala dalili za watu kuajiriwa huwa kuna point gani ya kuwa na hizo hela sasa
Hayo maisha magumu kayaleta Samia? Meno vyuma kukaza likianza lini? Je viliwahi kulegea? Ugumi wa maisha ni muendelezo tuu wa side effects za sera mbovu za Jiwe..Wewe nawe sijui mmea wa Njombe unakuendesha. Watu mtaani wanalia maisha magumu unakuja na maelezo ya ajabu ajabu.
Hoja yangu bado ni hiiiKumekucha,
Huyu mama nimemnyooshea mikono na miguu


Tanzania yangu#Nakupenda Tanzania
Angalia utaambiwa umetumwa na MakambaHawataki kubadilika na visheria monopoly walivyoweka ambavyo badala ya kurekebisha matatizo vimetufanya tumekuwa watumwa na maskini, TANESCO haina uwezo wa kuhudumia watu milioni 60, waruhusu watu binafsi wafanye biashara ya umeme, imagine TTCL au UDA ndio zingekuwa ndio kampuni pekee za kutoa hizo huduma