Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Wapika data wakiongozwa na mzee wa bumbuli sasa wameumbukaNaona wapika data mko kwenye muendelezo wa utapeli wenu. Majizi ya kura kazi mnayo.
Wapika data wakiongozwa na mzee wa bumbuli sasa wameumbukaNaona wapika data mko kwenye muendelezo wa utapeli wenu. Majizi ya kura kazi mnayo.
Wewe ushazoea kuishi kwa shida maana mlo wako ni mmoja tena kashata kwa maji ya kondoro.Umepatwa na mzuka wa ugaidi nini? Kijana wote tumeumia let set our lives again kulalama tu haisaidii hatimaye utaota kibiyongo burebure.
Hilo ndiyo tatizo mkuu tunaongozwa na watu ambao kimsingi hawatupi kipaumbele .Dar na nchi nzima umeme hakuna na uliopo mgawo tuu and very expensive , na maji hakuna huku vyanzo vya maji vimejaa kila kona, na ile gas ya Mtwara iliishia wapi? ni umaskini na shida za kujitakia tuu sababu tumejaza viongozi wapumbavu watupu, acha wazungu watudharau tuu maana kukosa maji au kukatika maji ni aibu tupu na inaonyesha tulivyo na ukosefu wa akili
Hao ndiyo wanufaika binafsi na kwenye mfumo usiyo rasmi wa huyo wanaye msifia.Ukimaliza
Ukimaliza kuvuta bangi uwe unaenda kulala na sio kuzungukazunguka mtaaani
Sifa zitajionyesha zenyewe na sio kulazimisha.
Mwambie sasa azishushe huku mitaani tuzifanyie kazi.
Maccm mnaliangamiza taifaUkimaliza
Ukimaliza kuvuta bangi uwe unaenda kulala na sio kuzungukazunguka mtaaani
Sifa zitajionyesha zenyewe na sio kulazimisha.
Mwambie sasa azishushe huku mitaani tuzifanyie kazi.
Kigogo in disguise! Ahahahahahahaha!CM 1774858 kama CM 1774858 katika ubora wake! Kazi zake si za kitoto mjue. Ha ha haaaa!
Hawataki kubadilika na visheria monopoly walivyoweka ambavyo badala ya kurekebisha matatizo vimetufanya tumekuwa watumwa na maskini, TANESCO haina uwezo wa kuhudumia watu milioni 60, waruhusu watu binafsi wafanye biashara ya umeme, imagine TTCL au UDA ndio zingekuwa ndio kampuni pekee za kutoa hizo hudumaChief alete umeme na maji ya kutosha. Watu wake wanasubiri sana hilo. Atakuwa shujaa akilikamilisha.
Economists in Tanzania are excited following significant increase in the country's foreign reserves
Economists in Tanzania are excited following significant increase in the country's foreign reserves
The significant increase was due to export diversification.
Increased exportation of rice, maize, beans, vegetables, etc., helped to cushion the effect of COVID on the country's tourism sector.
Meanwhile, Tanzania has been advised to consider taking advantage of the foreign reserves boom to offset its external debts.
The Bank of Tanzania (BoT) said in its latest monthly economic review that foreign reserves jumped to $6.7 billion up from $4.9 billion in September, marking a historic high for the East African country.
the significant increase was due to export diversification. The BoT report, a copy of which was seen by Business Insider Africa, explained that there was increased exportation of some food items including rice, maize, beans and vegetables. This was in addition to the exportation of minerals, finished products and others.
"Export of rice, in particular, amounted to 303,4 million US Dollars compared with 97,4 million US Dollars, reflecting efforts made to improve cross-border trade...The increase was observed in all import categories, except fertilisers," the BoT said.
These exports helped to cushion the adverse effects which the Coronavirus pandemic had on the country's tourism sector.
READ: Tanzania’s exports to Kenya set to exceed $200 million in 2021
It should also be noted that the increase recorded in Tanzania's foreign reserves was despite the high forex demand for imports during the period under review. For instance, there was an 18.3% increase in oil imports to $1.7 billion due to price increase. And this accounted for a significant portion of the import bill.
Meanwhile, in reaction to the good news, some Tanzanian economists have expressed both excitement and optimism over the country's economic prospects going forward. One of these economists is Dr Hildebrand Shayo. He recommended that Tanzania should consider paying off its external debt now, making adequate use of the increase in foreign reserves. He also recommended how to ensure future increases.
"To ensure these reserves increase further in future, there is a need for the country to maintain exports competitive prices but more important to continue to be firm on building confidence for investors."
Ahmed Nganya, a manager at Vertex International Securities, said the increase in foreign reserves, coupled with the fact that Tanzania attracted $2.9 billion worth of Foreign Direct Investments (FDIs) between March and August this year, all point to the Tanzanian economy is poised for future growth.
Upo sawa ila hili pendekezo lina hatari zake pia.Hawataki kubadilika na visheria monopoly walivyoweka ambavyo badala ya kurekebisha matatizo vimetufanya tumekuwa watumwa na maskini, TANESCO haina uwezo wa kuhudumia watu milioni 60, waruhusu watu binafsi wafanye biashara ya umeme, imagine TTCL au UDA ndio zingekuwa ndio kampuni pekee za kutoa hizo huduma
Jamaa mdwanzi na ndenzi kweli, Kaduna yeye alaf anatuaaminisha tumeduwaa wote yaaniSema amekuduwaza wewe kichwa panzi
Huyo unaye mwita zwazwa mama keshakiri viatu ni size kubwa kwake we chawa endelea kusifia ukweli upo wazi bei za bidhaa ni indicator moja,umeme, maji na huduma zingine zinafuatia kuharibika kadri mama anavyo wapa ulaji hao wapigamadili.Umeme umefanya nini? Kabla ya mwaka huu kuisha umeme utakuwa umesharekebishwa. Mama ana akili sio sawa na yule zwazwa wenu.
Pale msikiti wa Mahita, wamemwaga lami juu ya udongo...naona wamejistukia...wametifua tena.kazi za kuzibua mifereji,kuchora alama za barabara na kuziba viraka tu.
Ni wajinga tu wanao weza kuwa na mawazo kama ya mleta comment.Jamaa mdwanzi na ndenzi kweli, Kaduna yeye alaf anatuaaminisha tumeduwaa wote yaani
Tuendapo sipo kabisaHuyo unaye mwita zwazwa mama keshakiri viatu ni size kubwa kwake we chawa endelea kusifia ukweli upo wazi bei za bidhaa ni indicator moja,umeme, maji na huduma zingine zinafuatia kuharibika kadri mama anavyo wapa ulaji hao wapigamadili.
Ndiyo ccm hiyo haijawahi kuwatendea wananchi kilicho bora au chenye manufaa kwa 60 yrs.Pale msikiti wa Mahita, wamemwaga lami juu ya udongo...naona wamejistukia...wametifua tena.
Umevaa boxer au chupi ?Kumekucha,
Huyu mama nimemnyooshea mikono na miguu
Kwa nini asiwaduwaze Wachumi watumbo? Mbona na Mimi aliniduaza, alipokuwa ziarani Tanga asubuhi kwenye hazara alisema asubuhi aliongea na Jiwe limetuma salaam kwa wanahazara hao! Alafu jioni anatutangaziaJiwe amefariki! Kumbe Jiwe kitambo, Umeme ulikatika na yeye alishakata Moto Mwili wake uko kwenye Jokofu pale Mzena! Nyie Ma-ccm ni Marongo sana. Jiwe alikuwa baba wa Urongo, SSH karithi Urongo wa Jiwe.Kazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi,
Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni ( Gross official foreign reserves ) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili tu nakufikia $6.7BL sawa na TZS 15.41 kutoka $5.9BL sawa na TZS 13.57 mwezi Septemba,
Ongezeko hili ni karibu TZS 2 trilioni linalomfanya Rais Samia ndani ya kipindi chake hiki kifupi kuongeza Jumla ya TZS 4Trilion kwenye hifadhi ya fedha za kigeni,rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na Rais yeyote wa awamu yeyote,
Ongezeko hili linachangizwa zaidi na uuzaji nje ( Exports ) wa bidhaa pamoja na huduma hasa mazao ya Chakula kama mchele, Mahindi, maharagwe na mboga mboga,
Kwamsiojua,ongezeko hili ni mbali ya ongezeko la gharama za uagizaji mafuta nje zilizokua kwa 18.3% nakufikia $1.7BL
Jambo la Pili ni Uwekezaji mkubwa kutoka inje Foreign Direct Investments ( FDIs ) uliofikia $2.9BL sawa na TZS 6.7Trilioni,
Ukuaji huu wa uwekezaji ni sawa na mara sita zaidi ya uwekezaji wote uliofanywa mwaka uliopita katika kipindi kama hicho cha kati ya Mwezi Machi na Agosti,
Ongezeko hili linaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua karibu miezi saba rekodi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuwako wa Taifa hili miaka sitini ( 60 ) iliyopita,
Tanzania kwa sasa ndio nchi inayokuza hifadhi yake kwa kasi Ukanda mzima wa Africa Mashariki na Tumevuka lengo la EAC lakuwa na akiba ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua miezi 4.5
View attachment 2018173
Mimi nahisi lazima kutakuwa na Tanzania mbili , ya wanao nufaika na wanao sotaHilo jarida linaongelea watanzania kama watanzania au watu gani? Maana mtaani kila mtu analia gharama za maisha na mfuko wa bei mbaya zaidi kuwahi kutokea tangu tupate uhuru.
Propaganda tu. Lolote la mafanikio ni kutokana na sera za mtangulizi wake.Kazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi,