Rais Putin asema vita haitaisha hadi hapo malengo ya Russia yatakapotimizwa

T

Tusiende mbali mwambie Biden apande na kushuka ngazi za ndege ya Raisi kwa kasi ya Putin-nguvu hizo hana kabisa yeye ni bingwa kwenye masuala ya political rhetoric na kitisha tisha watawala wa EU na Banana Republics lakini sio Urusi Bwana!! Putin amekwisha muonya Biden zaidi ya mara tatu kwamba hatavumilia kiongozi au Taifa ambalo litaonuesha wazi eazi kwamba lina mpango wa kuiagamiza Urusi na raia wake in totality - Putin hatanii hata kidogo, taofa lake liiisha jiweka tayari kwa miaka mingi jindi ua ku-deal na taifa korofi.
Hehehe hawezi yule mzee atapukutika vbaya sana
Russia 🇷🇺 ilijiandaa
 
Ya kijifunza kutoka katika Mkutano huu.

1. Raisi Putin ana kazi malum ambayo amepewa kuhakikisha Russia yasimama imara kiuchumi, kijeshi na katika jukwaa la kimataifa.

2. Putin ni mzungumzaji yaani great talker na ni mjuvi, mwerevu na taarifa zote kuhusu nchi yake na za Dunia hii anazo.

3. Russia ni superpower kwa kuweza kupigana na nchi zipatazo 50 nyingine zikiwa zajificha nyuma kwa mwaka wa pili sasa waenda.

4. Russia Ina uwezo wa kiuchumi licha ya kuwa vitani.

6. Na mwisho ni kwamba raisi Putin tunae hadi hapo kitapoeleweka.
Kuna mtu alisema putini hajui kinachoendelea duniani.Kila kitu anaambiwa na wasaidizi wake hata simu hana.

Ila ukimsikiliza putin mwenyewe unamuona ni mtu ambae yuko mbele ya mda na yuko more apdated than you can imagine.
 
Back
Top Bottom