Rais Paul Kagame awakemea vikali Marais wa Afrika wasiowajibika kuzuia janga hatari la ugonjwa wa Corona

Status
Not open for further replies.
Burundi mhutu Agathon Rwasa anashinda bila shida . Nyerere alishauri Burundi washike. Uraisi Wahutu ambao ndio wengi na rwanda washike watusi uraisii

Kagame aache Burundi washike uraisi wahutu ambao ndio majority na rwanda ahakikishe anafanya succession ya mtusi ndie awe Raisi kwani ndio majority Rwanda ashike wosia wa Nyerere ila asibague Wahutu na Burundi pia Wahutu wasibague watusi.Kagame asinune akiona mhutu Agathon Rwasa kawa Raisi Burundi
 
Wakujaribiwa kajaribiwa, sijui itakuwaje, any way ngoja tusubiri! .... Kinacho mfanya Kagame aongee sana cha mlomo! ni jumla ya Dola taslimu Million 400 msaada wa kupambana na covid 19 alisema Msiba
 
Burundi mhutu Agathon Rwasa anashinda bila shida . Nyerere alishauri Burundi washike. Uraisi Wahutu ambao ndio wengi na rwanda washike watusi uraisi ambao ndio wengi

Kagame aache Burundi washike uraisi wahutu ambao ndio majority na rwanda ahakikishe anafanya succession ya mtusi ndie awe Raisi kwani ndio majority Rwanda ashike wosia wa Nyerere ila asibague Wahutu na Burundi pia Wahutu wasibague watusi.Kagame asinune akiona mhutu Agathon Rwasa kawa Raisi Burundi
Majority Rwanda ni nani???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watusti Rwanda ni 14% tu, more than 80% ni wahutu. Siku wahutu wakishika dola Rwanda hakuna mtusti atakuja kuona ikulu tena milele.
 
Utakuwa watania

Hiyo ni shuttle

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh.. Ya kweli haya!??
Hapo kuna mtu kalengwa!!!
Naunga mkono hoja ya Kagame
Akihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30 Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari,hawajulikani walipo,wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani,maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu.Wanasali kila jumapili,wanatembea na Biblia na msahafu ,na wengine wanajiita mapasta.

Jr
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom