blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 10,472
- 12,631
Akihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30 Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari,hawajulikani walipo,wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani,maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu.Wanasali kila jumapili,wanatembea na Biblia na msahafu ,na wengine wanajiita mapasta.
Jr
Bonge la diss aisee...
Message sent