MANILABHONA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 462
- 350
Isipokuwa maendeleo yana ukandana ukabila au tuseme Uchato
Unataka kugusa Nyati sehemu za siri sasaIsipokuwa maendeleo yana ukandana ukabila au tuseme Uchato
Hapo chacha😆😆Mzee ulituambia kuwa mbowe na genge lake (wapinzani) ndio walikuwa wanakuchelewesha kutuletea maendeleo, ukatuambia tusikuchanganyie magunzi kwenye kurunzi. Sasa mbona tena tumeweka betri tupu lakini malalamiko yanaendelea?
Kwanini anapenda kusukuma badala ya kukaa na kujadili njia sahihi ambazo kila mmoja atajisikia huru kufanya kazi? Kama watu wanakufa na mtu anasema hakuna ugonjwa mbona hata wakisukumwa hawataenda? Nawaza tu.Sawa.
He! C tuliambiwa wapinzani ndio wanachelewesha maendeleo? Imekuwaje tena watendaji wake mwenye uwezo wa kuwawajibisha muda wowote ule?Rais Magufuli amesema kuwa Rais ni kazi ngumu sana kwa sababu wewe unaweza kupanga mipango hii kumbe wenzako nao wana mipango mingine...
Mwanzo mlisema chadema wanawachelewesha sasa kawageukia watendaji wa serikaliRais Magufuli amesema kuwa Rais ni kazi ngumu sana kwa sababu wewe unaweza kupanga mipango hii kumbe wenzako nao wana mipango mingine...
Hii nchi ni ya ajabu sawa kuwahi kutokea dunia!!leo yamekuwa hayo tena?toka ameingia madarakani ameshafukuza wangapi?mbona mambo bado ni yale yale tu?Kumbe sio wapinzani wanaochelewesha maendeleo!
Hapo unamuonea bure mzee wa watu.Ni mtumishi gani hajafuata maelekezo yake ??
Hakuna mtumishi wa umma anaeweza kukataa maelekezo yake akabaki.
Yeye mwenyewe ndio tatizo kubwa yaani ni zigo haswa.
Ameshaona hana jipya, anatafuta mtu wa kumwangushia jumba bovu Kwasababu anajua hawawezi kumjibu kwasasa.
Ukiona unaota ndoto za mchana ujue karibu utakuwa chizi.Wacha wararuane wao kwa wao kwanza
Mpaka 2025 CCM kutakuwa na mpasuko
Hapo ndipo chadema itajizolea wafuasi wengine wapya
Ni kwamba Magufuli anaweza akatoa maelekezo ukayafuata, akiona yameleta kelele nyingi na yeye anatafuta sifa Anakufukuza.Hapo unamuonea bure mzee wa watu...
Mfano watumishi wa manispaa kugawana vizimba vya soko kuu na kuvipangisha kwa wanyonge.Hapo unamuonea bure mzee wa watu...
Hizo ni mbinu tu za kujustify uzembe na kushindwa kutimiza wajibu kwa watendaji.Ni kwamba Magufuli anaweza akatoa maelekezo ukayafuata, akiona yameleta kelele nyingi na yeye anatafuta sifa Anakufukuza...
Mkuu umedesa swali languKumbe sio wapinzani wanaochelewesha maendeleo!