Rais Magufuli, sasa serikali ihamie Dodoma

Rais Magufuli, sasa serikali ihamie Dodoma

JPM kichwa hadi inaleta raha, watanzania tujivunie kwa kupata kiongozi bora
 
Hi
safi sana. lazima tuwe tunajiwekea commitment na kuwa results oriented.

stock-vector-tanzania-political-map-political-map-of-tanzania-with-the-capital-dodoma-national-borders-most-151269227.jpg
L
safi sana. lazima tuwe tunajiwekea commitment na kuwa results oriented.

stock-vector-tanzania-political-map-political-map-of-tanzania-with-the-capital-dodoma-national-borders-most-151269227.jpg

Ziwa nyasa linamilikiwa Tanzania na Malawi kwa pammoja.Ipo haja ya kukagua na kuwaadhibu wachapishaji wa vitabu wanaopotosha ukweli
 
Tayari nyumbu wameanza kulaumu kuhusu dhamira ya Rais kuhamishia Serikali Dodoma. Nafahamu fika kama angesema kuwa hatutahamia Dodoma kwa kipondi hiki, nyumbu wangekuja tena na lawama.

Nyumbu wameathirika kisaikolojia, wapo kwa ajili ya kupinga kila kitu.

Mkuu mimi nipo tu nawachora ,jinsi wanavyokanyagana ,naamin kuna WAKATI mpaka mbowe anajuta kuwa na hawa viumbe ,
 
Hili wazo tungewachana nalo.. Dodoma hakuja kaa sawa. Alidhindwa Mwalimu na juu ya kuanzisha Cda. Ni gharama kuhamisha hii kitu tuache siasa.
Turudishe tu Dar kuwa capital city...hii dodoma ibaki makao ya ccm ..wao wameshawekeza huko wasitie hasara taifa.
Kuhamisha serikali huko haiwezekani....tumeshajenga kila kitu Dar
Wizara
Bot
Tra
Idara zote
Mashirika
Mabalozi wotewana ofisi zao hapa na nyumba zao....
Tuache tu hii kitu ni gharama itatupoteza muda na fedha
 
Hivi kununua kiwanja Dodoma mjini ni sh ngapi maana huenda mbeleni pakawa keki ya moto kuliko dar

Kuimarika kwa Dodoma kutategemea mpangilio wa miundo mbinu,usafi wa mazingira,upandaji wa miti mingi kuzuia vumbi na upatikanaji wa maji safi na salama kwa wingi.Lakini inasemekana Dodoma kuna ground water ya kumwaga na madini mengi sana,yakichimbwa bila ufisadi Dodoma itajengeka na kuvutia wawekezaji wengi.Inatakiwa utashi na imeonekana Magufuri hataki visinginzio.
 
Mkuu, nimejiuliza swali hilo. Kwa karne ya zamani ilikua sawa, kwa sasa haina maana sababu zile. Ila ina maana kwa kupunguza mrundikano wa Ofisi kama walivyofanya Nigeria, issue ya katikati haina mashiko sana.
Mimi nakubaliana suala la Serikali kuhamia Dodoma ili kuifanya Dar ipumue lakini siyo sababu ya eti ni katikati na hivyo Ulinzi na rahisi, hiyo ilikua ni zamani. Siku hizi Drone inafika popote ulipo!
Ukatikati wake ni kwenye kusogeza huduma za serikali karb na wote.

Fkiria anaetoka Mza, Kgm, Mpanda, etc kwenda Dar kufata huduma hadi wapite dom. Lakini pia umbali tokea maeneo mengi ya nchi kufuata serikali unapungua sn.

Dar ni pembezoni mno kwa watu wa magharibi, kusini, kanda ziwa na kaskazini.

Hayo mafuta yote yatakayookolewa yatatumika kuboresha huduma zingine za kijamii.

Dar ibaki ya biashara wanaoenda huko wafatw bandari. Tena si wote. Baadhi waelekee Tanga, wengine Mtwara.

Hapo nchi inakua inaendelea kila kona. Si kujenga ti fly over dar na brbr za mwendokasi!!
 
Wacha waisome namba eeeh. Magufuli mbele kwa mbele. T2020DOM
 
Leo wanaccm wamekosa pa kulala wamekuja kulala UDOM block 6. Labda wakihamia watakuwa wanalala ikulu wakija kwenye mikutano yao
Soma hap
kuna baadhi ya mambo kwenye maisha hayasubiriani, hizo kero zikiwekewa mkakati zitapata utatuzi huku kuhamia Dodoma nako kukileta utatuzi wa changamoto nyingine. Tuiache DSM makao makuu ya kibiashara na tuifanye Dodoma makao makuu ya serikali.

Soma hapa kuhudu dodoma kuwa mji mkuu

The burden of being planned. How African cities can learn from experiments (...) - INTI - International New Town Institute
 
Ukatikati wake ni kwenye kusogeza huduma za serikali karb na wote.

Fkiria anaetoka Mza, Kgm, Mpanda, etc kwenda Dar kufata huduma hadi wapite dom. Lakini pia umbali tokea maeneo mengi ya nchi kufuata serikali unapungua sn.

Dar ni pembezoni mno kwa watu wa magharibi, kusini, kanda ziwa na kaskazini.

Hayo mafuta yote yatakayookolewa yatatumika kuboresha huduma zingine za kijamii.

Dar ibaki ya biashara wanaoenda huko wafatw bandari. Tena si wote. Baadhi waelekee Tanga, wengine Mtwara.

Hapo nchi inakua inaendelea kila kona. Si kujenga ti fly over dar na brbr za mwendokasi!!
China imeendelea kutokana na kusambaza maendeleo Kila Kona hawana tabia ya kulundikana kwenye jiji moja Kama serikali ya Tanzania .
 
Hili wazo tungewachana nalo.. Dodoma hakuja kaa sawa. Alidhindwa Mwalimu na juu ya kuanzisha Cda. Ni gharama kuhamisha hii kitu tuache siasa.
Turudishe tu Dar kuwa capital city...hii dodoma ibaki makao ya ccm ..wao wameshawekeza huko wasitie hasara taifa.
Kuhamisha serikali huko haiwezekani....tumeshajenga kila kitu Dar
Wizara
Bot
Tra
Idara zote
Mashirika
Mabalozi wotewana ofisi zao hapa na nyumba zao....
Tuache tu hii kitu ni gharama itatupoteza muda na fedha
South Africa , Malawi na Nigeria serikali zipo mbali na miji ya biashara na baadhi ya wizara na ofisi za balozi zipo miji ya zamani na maisha yanaendelea bila tatizo ni vyema wahamie hivyo hivyo mengine yatafanyika wakiwa huko huko.
 
China imeendelea kutokana na kusambaza maendeleo Kila Kona hawana tabia ya kulundikana kwenye jiji moja Kama serikali ya Tanzania .
Hata hapa tunaweza. Madini Mwanza, Kilimo Mbeya, Utawala Dom, Utalii Chuga, Biashara na Fedha Dar..... Muziki na Uvuvi na Uhunzi Kigoma!!
 
Mimi nilikuwa na shauri kwa nia njema kabisa tuangalie zile sababu za wakati ule za kuhamia Dodoma zina mashiko leo hii?

Sababu za sasa zina mashiko pia?

Majukumu makubwa ambayo serikali inayo sasa. Kwa mfano tunambiwa waliojiunga darasa la kwanza 1.9 milioni, mwakani inawezekana wakaongezeka. Hao uwasomeshe bure, na uwatengenezee miundo mbinu ya kuwatosha wakati huo unaacha jengo lililo tayari la ofisi mfano pale ngome, bot, picha ya ndege, nk ukanze kuhangaika na majengo mengine mapya ya serikali dodoma.

Hata hiyo chamwino ambayo ipo ili Rais akaifanye makao yake ya kudumu lazima unahitaji uwekezaji mkubwa tu. Tuna shauri kwa nia njema tu.
 
Nimeona hii link
Kweli achen serikali iende dodoma
Hata upinzan walikuwa wanalaumu Kwa nini serikali inakigugumiz cha kuhamia dodoma
Hivyo acha wajibu

Hata hivyo hawataweza Kwa mara hii Kwan shida ni fund
Licha ya ofis tunahitaj uwanja wa ndege kama as mwl nyerere lasivyo makaz ya dar hayataepukika mara Kwa mara hivyo gharama Times 2
Lasivyo vitajengwa vibanda Kwa haraka ya kura na sifa
Tutulie tuandae gvt work plan of shifting
Then hata hasporud magu atakaye kuja amalizie

Dom n safe Kwa serikali na viongoz wake Kwan haijazieleka kitaifa na kimataifa
Hivyo govt itakuwa huru
 
umefika dodoma ukaona hizo offic ni ndgo
Umefika Dar ukaona Wizara? Ishu si kwa sababu watu mpo Dodoma, basi iwezekane tu. Kuna vipaumbele vingi zaidi ya makao makuu ya chama na serikali. Zamani kulikuwa hakuna utandawazi lazima watu wasafiri. Siku hizi decisions zinafanyika kwa urahisi. Tutumie teknolojia kama teleconferencing na pia mambo mengi yawe kwenye mtandao. Tufikirie kupunguza gharama na si kuongeza gharama.
 
Haya matamko kila rais aka Mwenyekiti wa ccm amekuwa akiitoa ila wanamaliza miaka 10 bado wapo dar....ebu tusubiri tuone na huyu itakuweje...
Shida ni kwamba hii kitu bado inahitaji rasilimali pesa, sasa ina maana labda ajira zote zisimamishwe na kwenye bajeti sijui kama kuliwekwa hii ya kuhamia dodoma, kwani nafikiri mambo bado ni mengi ili kuhitaji kuhamia dodoma.
 
Mimi nilikuwa na shauri kwa nia njema kabisa tuangalie zile sababu za wakati ule za kuhamia Dodoma zina mashiko leo hii?

Sababu za sasa zina mashiko pia?

Majukumu makubwa ambayo serikali inayo sasa. Kwa mfano tunambiwa waliojiunga darasa la kwanza 1.9 milioni, mwakani inawezekana wakaongezeka. Hao uwasomeshe bure, na uwatengenezee miundo mbinu ya kuwatosha wakati huo unaacha jengo lililo tayari la ofisi mfano pale ngome, bot, picha ya ndege, nk ukanze kuhangaika na majengo mengine mapya ya serikali dodoma.

Hata hiyo chamwino ambayo ipo ili Rais akaifanye makao yake ya kudumu lazima unahitaji uwekezaji mkubwa tu. Tuna shauri kwa nia njema tu.
Tuache tunajadili nchi yetu, wewe nenda kwenu ukaongeze nguvu ya kupigana na ndugu zenu wa Korea Kaskazini. Utuache sisi wenyewe tujadili.
 
Nimeona hii link
Kweli achen serikali iende dodoma
Hata upinzan walikuwa wanalaumu Kwa nini serikali inakigugumiz cha kuhamia dodoma
Hivyo acha wajibu

Hata hivyo hawataweza Kwa mara hii Kwan shida ni fund
Licha ya ofis tunahitaj uwanja wa ndege kama as mwl nyerere lasivyo makaz ya dar hayataepukika mara Kwa mara hivyo gharama Times 2
Lasivyo vitajengwa vibanda Kwa haraka ya kura na sifa
Tutulie tuandae gvt work plan of shifting
Then hata hasporud magu atakaye kuja amalizie

Dom n safe Kwa serikali na viongoz wake Kwan haijazieleka kitaifa na kimataifa
Hivyo govt itakuwa huru
Uwwanja wa ndege unapanuliwa ili ndege kubwa zaidi ziweze kutua. Wiki jana, Mhe. Majaliwa aliweka jiwe la msingi la upanuzi wa uwanja wa ndege wa Dodoma.
 
Back
Top Bottom