ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,580
kulikuwa kuna ghost houses kibaoNani aliiondoa?
kulikuwa kuna ghost houses kibaoNani aliiondoa?
Lazima jam itahamia dodoma...Dar itayumba kiuchumi. Ngoja tuoneBora wapunguze jam mjini
bado tuu unamashaka...kweli mungu ameumba!Haya matamko kila rais aka Mwenyekiti wa ccm amekuwa akiitoa ila wanamaliza miaka 10 bado wapo dar....ebu tusubiri tuone na huyu itakuweje...
Kwa Hilo namuunga Mkono Kwa 1000%Habari wana JF
Mwenyekiti mpya wa ccm dr. JPM amedhamiria kuhamishia serikali yake Dodoma....wote mnaohusika anzeni kufungasha..
wewe ni kada?au ndio ile unaisemea nafsi...!aliyesema haya nae kada.Hii ya kuhamia Dodoma makada wa chama hawajaipenda kabisa.
safi sana. lazima tuwe tunajiwekea commitment na kuwa results oriented.
![]()
Habari wana JF
Mwenyekiti mpya wa ccm dr. JPM amedhamiria kuhamishia serikali yake Dodoma....wote mnaohusika anzeni kufungasha..
Pale kuna maneno walikuwa wanashangilia na mengine wanachuna...Hii ya kuhamia Dodoma makada wa chama hawajaipenda kabisa.
Hahahaaa pole mkuu...mlishazoea 'nakwenda Dar..'Masikini kwetu Rufiji sasa tutakuwa mbali na wadosi wa nchi, tulishazoea wenyewe kwenda na kurudi Dar yetu!
Jengo la Wizara ya Maji linajengwa Ubungo..litageuzwa kuwa hostel?
Wahamie huko foleni ipungue Dsm pia maendeleo yasambae mikoani isiwe Kila kiongozi kulundikana Dsm na kudumaza maendeleo mikoani.Hii ya kuhamia Dodoma makada wa chama hawajaipenda kabisa.
Ki usalama si vizuri...siku Al shabab wakiwaotea habar inakuwa nyingine...Ofisi za Dar zitauzwa au?
Huko Dodoma lijengwe jengo moja Liwe na wizara zote humo humo.
nahisi toka tamko litoke saa moja iliyopita bei itakuwa imedouble.Hivi kununua kiwanja Dodoma mjini ni sh ngapi maana huenda mbeleni pakawa keki ya moto kuliko dar