Kuhamia Dom?
Angefuta huo usemi kwa sasa.
Hana bajeti ya kufanya hivyo. Wizara zote hazina ofisi ya kutosha watumishi wake kama walivyo huku Dar. Nyumba za kuishi zenye hadhi zao ndo usiseme. Kwa sasa wanaishi mahotelini wakienda Dom. Balozi na Mashirika ya kimataifa yameshawekeza Dar majengo ya ofisi zao nk. Uwanja wa ndege wa Dom hamna kitu.
Ukilifanyia cost-benefit utaona cost ni kubwa. Sijaongelea maeneo ya burudani.shule za watoto.na huduma za mbalimbali wanazotumia mabalozi na watu mashuhuri.
Labda aaamue tu kuwakomoa !