Watuachie Dar yetu UKAWAHabari wana JF
Mwenyekiti mpya wa CCM Dr. JPM amedhamiria kuhamishia serikali yake Dodoma....wote mnaohusika anzeni kufungasha..
Atakaegoma kwenda Dodoma abaki Dar, na kibarua ndo kitaota majani. Mbona Tamisemi na wizara ya Mifugo ziko Dodoma? Zingine zitashindwaje kuhama?sukari imemshinda,..halafu awe wa kwanza kuhamia dodoma...that can't be done sababu hata mamilioni yake ya mshahara hayakatwi kodi!!!!aache zake daslam mpango mzima
Atakaegoma kwenda Dodoma abaki Dar, na kibarua ndo kitaota majani. Mbona Tamisemi na wizara ya Mifugo ziko Dodoma? Zingine zitashindwaje kuhama?
Kwenye hii Ramani umeuona mpaka wa Tanzania na Malawi ulipo? Au unataka kuleta ligi nyingine?safi sana. lazima tuwe tunajiwekea commitment na kuwa results oriented.
![]()
Umeona eeh? Unadhani wakianza wao watatu (Magu, Samia na Majaliwa), unadhani kuna mwe.hu yoyote anayetegemea mshahra wa serikali atakaebaki Dar? Thubutu!Leo ndio nimeelewa kuwa serikali ni Rais, makamu, waziri mkuu na mawaziri. Hao wakihamia dodoma basi serikali imehamia dodoma.
Umeona eeh? Unadhani wakianza wao watatu (Magu, Samia na Majaliwa), unadhani kuna mwe.hu yoyote anayetegemea mshahra wa serikali atakaebaki Dar? Thubutu!
NHC, NSSF,LAPF, na mifuko mingine wakawekeze DODOMA.Mnooo. Tena wangeanza mwaka huu
Baada ya Tamko la Mwenyekiti mpya wa CCM, Rais John Pombe Magufuli kuitaka serikali yake ya awamu ya tano kuhamia Dodoma kabla ya awamu yake ya kwanza ya Urais kwisha. Mamlaka ya ustawishaji, Makao makuu (CDA) ni vema sasa ikajiandaa vya kutosha kwa vitendo kuipokea serikali kwa kuongeza kasi ya kuupanga mji wa Dodoma ikiwemo kuongeza kasi ya upimaji wa viwanja katika maeneo ya pembezoni mwa mji ili kuepuka msongamano katikati ya mji pindi serikali itapohamia Dodoma.