Rais Magufuli, sasa serikali ihamie Dodoma

Rais Magufuli, sasa serikali ihamie Dodoma

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,905
Wasalaam,

Napenda kumshauri Rais wangu mpendwa wa serikali hii ya awamu ya Tano kuhamisha serikali yake yote kwenda Dodoma.

Hili lina faida, litapunguza gharama na kuharakisha maendeleo ya nchi. Hebu ona Mikutano ya bunge, chama na serikali inavyotugharimu kila uchao? Perdiems, mafuta, uchakavu na hata risk ya safari kwa viongozi wote kuwa safarini kwa wakati mmoja.

Pia, suala hili limekuwa likipangwa bila kutimia toka enzi za mwalimu, kwakua umedhamiria kupunguza gharama za uendeshaji.

Naamini unauwezo na unadhubutu. Tafadhali fanya hili litokee.

Ahsante sana.
 
safi sana. lazima tuwe tunajiwekea commitment na kuwa results oriented.

stock-vector-tanzania-political-map-political-map-of-tanzania-with-the-capital-dodoma-national-borders-most-151269227.jpg
 
Back
Top Bottom