Rais Magufuli, sasa serikali ihamie Dodoma

Rais Magufuli, sasa serikali ihamie Dodoma

God bless Magufuli.
Kwa hili la kuhamia Dodoma hata mie nitamwombea Kwa kweli Kwa sababu moja ya kero kubwa jijini Dsm ni foleni na misafara isiyokwisha huku idadi ya wahamiaji ikiongezeka Kwa kasi kubwa na miundo mbinu haitoshelezi .
 
bado tuu unamashaka...kweli mungu ameumba!
Mkuu wangu kwa kauli tata za mukulu...nitaamini siku nitakapoona yeye pamoja na wizara zote wako dodoma....ila kutamka tu...hapana Mkuu...nitakuwa wa Mwisho kuamini tamko....
 
safi sana. lazima tuwe tunajiwekea commitment na kuwa results oriented.

stock-vector-tanzania-political-map-political-map-of-tanzania-with-the-capital-dodoma-national-borders-most-151269227.jpg
Mkuu hii ramani imeitoa Malawi?? Huo mpaka hapo ziwa Nyasa Tanzania hatuutambui
 
Wataalamu tusaidieni faida na hasara za kuhamia dodoma. Ahsanteni
Faida kubwa ni kupunguza foleni jijini pia kuepusha gharama posho za kuwalipa madereva na watumishi wanaokwenda Dodoma kikazi , baada ya kuhamia watalipwa mishahara tu, faida ya pili ni kusambaza maendeleo kwenye miji ya njia kuu kuelekea Dodoma na mikoa yote itaendelea Kama ilivyokuwa south afrika, Malawi , Nigeria na India ambapo miji mikuu ipo mbali na miji ya kibiashara , hakuna hasara kabsa .
 
Huna URAIA kabisa na nchi ya Tanzania. Ramani gani unatuletea hapa ikionyesha Ziwa Nyasa lipo Malawi peke yake?
Utakuwa ni mtu wa Malawi.... Siyo bure. Unahalalisha Wanyakyusa wangu wasiingie ziwani kuvua samaki?

Kama ni makosa basi kuwa mwangalifu na ramani unazotumia.

safi sana. lazima tuwe tunajiwekea commitment na kuwa results oriented.

stock-vector-tanzania-political-map-political-map-of-tanzania-with-the-capital-dodoma-national-borders-most-151269227.jpg
 
Namuunga mkono kama atatekeleza hayo alilosema, 2020 siyo mbali maana Dar hadi kero posta hata sehemu ya parking hupati kiss gari za serikali
 
kwa hili tumpongeze....
Kwa nini? Kwani Dar kuna tatizo gani? Maana sijaelewa vizuri huu mwimbo wa serikali kuhamia Dodoma. Kwani huko Dodoma kuna nini cha ajabu kitakacholeta neema kwa Tanzania serikali ikihamishiwa huko?
 
Kwa nini? Kwani Dar kuna tatizo gani? Maana sijaelewa vizuri huu mwimbo wa serikali kuhamia Dodoma. Kwani huko Dodoma kuna nini cha ajabu kitakacholeta neema kwa Tanzania serikali ikihamishiwa huko?
Soma post # 48
 
J
Jam itapungua sana
Kama serikali ndiyo ilikuwa inasababisha jam, ina maana jam sasa itahamia Dodoma, kisha watapendekeza serikali ihamishiwe Mpanda au Mbozi ambako kutakuwa hakuna jam (wakati huo). jam husababishwa na matatizo ya miji kukosa mpangilio tu.
 
Back
Top Bottom