Rais Magufuli, Punguza confrontation na Wazungu

Serikali isiyoshaurika ni kazi sana kusonga mbele ushauri wowote wenye busara husikiliza na kujengea hoja mwisho unaamua ama kuufuata au kuachana nao nadhani mtoa mada Ana hoja ya kusikilizwa ushauri wake.
 
Mh Rais Magufuli, ktk mambo mengi upo sahihi na kama ni makosa basi ni ya kibinadamu. Ila nafikiri kuna kitu ambacho wenda hujakipatia sawa sawa ama bado hujapata habari kwa usahihi wake.

Mosi, lazima tukubaliane na ukweli kabisa kwamba kutokana na mazingira halisi ya ulaya hawawezi kuishi kwa amani wasiponyonya kwa nguvu nchi za afrika na Karebean na uarabuni. Na hivyo, hakuna fair trade ktk vitu ambavyo wanavyovihitaji kuendesha maisha yao na kizazi chao, na ya kwamba ni lazima wachukue vitu kwa bure ama bei inayokaribia na hapo.

Cha mhimu kujiuliza je tuna nguvu za kuwasimamisha kivita ama ktk ku control financial system? Sasa tukipata majibu inabidi kuchukua tahadhari sahihi hasa tunapo deal na yalipo masilahi yao. Siyo kwamba naandika haya kwa sababu tunawaogopa ila hali halisi yenyewe inanisukuma kuandika haya. Wazungu wao wanasema "wako radhi kufanya kazi na shetani palipo na masilahi yao".

IMF, UN, World bank, mahakama za dunia na vyombo vya habari ni mali za wazungu. Na wazungu ni wamoja sana kupita kipimo. Hivyo ukizuia mali za wazungu, tuseme dhahabu, umezuia mali ya IMF ama World bank.Na hivyo hawa (IMF, World bank, UN, court zote)hawatakuja kufurahia hata kidogo, watakufanyia hujuma na kukwamisha karibu ktk kila kitu.

Maoni yangu, we have to know our place. Ya kwamba tu deal na mafisadi wetu, hawa mafisadi wa dunia jaribu ku negotiate nao objectively na wakati huohuo tukiangalia maeneo mengine yatoyotunyanyua ktk maendeleo. Kukwaruzana nao hasa ktk madini, wanaweza turudisha ktk nyakati za ujima. Hawa jamaa kwa hujuma wame qualify kwa kiwango cha juu sana.

Ushauri, kaa nao mezani mkubaliane nao amicably the way forward. Hiyo kamati uliounda hata wakikuta dhahabu wazungu wanaiba, na imejaa kwenye macontena, naamini kwenye vyombo vyao hawataandika wala kuonesha kwamba wazungu wanaiba africa. Wao watachokifanya ni ku potray wewe, wao wanavyotaka uonekane ktk jamii ya dunia. Again, chochote kamati uliyoiunda itakachokuta kwenye makontena kaa nao ukubaliane kwa mazungumzo mezani.
Not 2 that extent
 
Mkuu
Sidhani kama unaweza pigana vita ambayo wafahamu kabisa vita hiyo hutoshinda. Mie impression, niliyoiona kutoka kwa Rais japo ninaweza kuwa wrong , yani ya kwamba akiwakamata wazungu ktk wizi anafikiri " " wenda jumuia yakimataifa itamuunga mkono kwamba ana fight corruption vizuri, jibu ni BIG NO. Wazungu hawawezi kubali hiyo image at any cost, majibu yake itakuwa yeye ndo dikteta "he is killing his own people" something like that.
Robert Mugabe anawajua sana hawa watu
 
Mh Rais Magufuli, ktk mambo mengi upo sahihi na kama ni makosa basi ni ya kibinadamu. Ila nafikiri kuna kitu ambacho wenda hujakipatia sawa sawa ama bado hujapata habari kwa usahihi wake.

Mosi, lazima tukubaliane na ukweli kabisa kwamba kutokana na mazingira halisi ya ulaya hawawezi kuishi kwa amani wasiponyonya kwa nguvu nchi za afrika na Karebean na uarabuni. Na hivyo, hakuna fair trade ktk vitu ambavyo wanavyovihitaji kuendesha maisha yao na kizazi chao, na ya kwamba ni lazima wachukue vitu kwa bure ama bei inayokaribia na hapo.

Cha mhimu kujiuliza je tuna nguvu za kuwasimamisha kivita ama ktk ku control financial system? Sasa tukipata majibu inabidi kuchukua tahadhari sahihi hasa tunapo deal na yalipo masilahi yao. Siyo kwamba naandika haya kwa sababu tunawaogopa ila hali halisi yenyewe inanisukuma kuandika haya. Wazungu wao wanasema "wako radhi kufanya kazi na shetani palipo na masilahi yao".

IMF, UN, World bank, mahakama za dunia na vyombo vya habari ni mali za wazungu. Na wazungu ni wamoja sana kupita kipimo. Hivyo ukizuia mali za wazungu, tuseme dhahabu, umezuia mali ya IMF ama World bank.Na hivyo hawa (IMF, World bank, UN, court zote)hawatakuja kufurahia hata kidogo, watakufanyia hujuma na kukwamisha karibu ktk kila kitu.

Maoni yangu, we have to know our place. Ya kwamba tu deal na mafisadi wetu, hawa mafisadi wa dunia jaribu ku negotiate nao objectively na wakati huohuo tukiangalia maeneo mengine yatoyotunyanyua ktk maendeleo. Kukwaruzana nao hasa ktk madini, wanaweza turudisha ktk nyakati za ujima. Hawa jamaa kwa hujuma wame qualify kwa kiwango cha juu sana.

Ushauri, kaa nao mezani mkubaliane nao amicably the way forward. Hiyo kamati uliounda hata wakikuta dhahabu wazungu wanaiba, na imejaa kwenye macontena, naamini kwenye vyombo vyao hawataandika wala kuonesha kwamba wazungu wanaiba africa. Wao watachokifanya ni ku potray wewe, wao wanavyotaka uonekane ktk jamii ya dunia. Again, chochote kamati uliyoiunda itakachokuta kwenye makontena kaa nao ukubaliane kwa mazungumzo mezani.
Huo ni ushauri mzuri sana lakini sizonje hawezi kusikiliza anajiamini yeye tu.
 
Mkuu umenena! Hii ndiyo hali halisi duniani. Taifa mfano ni Zimbabwe. Tofauti na vyombo vya habari (umezungumzia wamiliki) shida ilianzia mambo kama haya. Ahsante!
 
Acha uoga rafiki hakuna namna yeyote ile ,lazima tuelewe wanachokibeba,wewe mwenyewe fikilia kontena zinaenda Japan,China,urusi,kweli hayana kitu? hakuna mzungu anayaefanya biashara ya hasara tunachitaka watulipe kulingana na wanachochukua,mfano mwadui kwenye alimas toka mwaka 1940 wazungu walikua wanachukua asilimia 51%selikari 49%kwa nini lisiwezekane Leo?
 
WaTz kinachotusumbua ni unafki , tunalia na wazungu wakati tuliopaswa kuanza nao tunao humu humu ndani. Wazungu si wadhambi katika hili, tunaye Mkapa na Kikwete pia waliokuwa mawaziri wao wa madini, wana sheria wao wakuu, makamishina wao wa madini etc . Hawa watu bado wapo hai wote , tuanzie nao, waperekwe Mahakamani kama tunataka kuwa wakweli ktk suala hili.

Na bunge letu chama kimeking'oa meno na hapo ndipo penye shida, hebu angalia 2015 bunge hapa liliperekeshwa mpaka usiku wa manane ili tu wapitishe sheria ya hovyo ya Mafuta na Gesi ili Kikwete atoke amesaini. Hawa watu(Kikwete na Mkapa) tunawaona ni mashujaa tunawalaumu wazungu kweli ?!!. Huu ni unafki wa mTz.
Tukumbuke pia hayo madini tunayaona yana dhamani kwetu sababu ya soko. Soko lenyewe ni wao. Wakasusa ndio basi!
 
Kinacho ikuta Zimbabwe ni picha tosha, Zimbabwe ilikuwa inaifuatia South Africa kwa uchumi mkubwa na ilokjwa kama ya 4 au 5 Africa ila kwa sasa no historia. wana ukosefu wa Ajira wa 98%

Wazungu ndo wanamiliki IMF, World Bank na kadhalika wanauwezo wa kufanya hii pesa yetu ukienda nayo sokoni Sh 10,000 ununue nayo pipi moja tu, Hahaaa Kilo ya nyama yaweza kuwa Laki 5
Hahahah kilo ya nyama laki 5???hii mbona kali....!!!!
 
Tukumbuke pia hayo madini tunayaona yana dhamani kwetu sababu ya soko. Soko lenyewe ni wao. Wakasusa ndio basi!
Wewe unasemaje ?!, Raslimali pekee tuliyonayo ni hiyo lazima tuifanye kuwa na thamani.

Mfano ni waarabu na mafuta yao pamoja na soko kuwa hao lakini bado ni thamani kwao kwa sababu wameyafanya kuwa na thamani.
 
Ninachojiuliza,,hivi na kwa nchi za wenzetu mfano Botswana,SA na huko Uarabuni mfumo ni huu huu wa kusafirisha makontena yaliyojaa mchanga nje au ni sisi tu ndo haya yanafanyika.

Kama na kwa wenzetu haya yanafanyika basi Mh.wetu ana kazi sio kidogo,lakini kama hali hii ipo kwetu tu basi naamini Rais wetu anaweza kufanikiwa
 
Acha fikra za kitumwa mkuu, huwezi kusema sisi ni nothing. Kama ni nothing wanakuja kutafuta nini huku kwetu?
Hivi wewe hujui kuwa ni mtumwa hadi leo? Sasa ikiwa ni mtumwa si ndio fikra zako hizo? Hebu tueleze hapa ulishinda lini vita ya uhuru na kujitangazia uhuru wa nchi yako, ni Kiongozi gani alitangaza ushindi wa vita ya Tanganyika dhidi ya wazungu? Wacha kulazimisha mambo mkuu Tanganyika na afrika na Asia bado ni makoloni ya wazungu tukitaka tusitake, na mipango ya kuendesha nchi hizi inapangwa Washington DC, na ukienda kinyume unakwenda na maji kama kina Kwame Nkuruma,Saddam Husein, Gaddafi na wengi wamepita.
 
Mie nafikiri na naamini ya kwamba kufahamu vulnerability (matobo) yako uliyonayo, ama kujifahamu sehemu gani uko vizuri na sehemu gani uko vibaya, hii si kwamba ni weakness ama ni woga ama hujitambui, bali hii ni ishara ya strength na mtu unayejitambua barbara. Na hii haina maana ya kumtia woga Rais ama kuabudu mzungu, bali ni kumhamasisha aifahamu tofauti ya ukweli(truth) na hali halisi (the reality on the ground) ili apate ku deal nao intelligently.

Ukiachana tu na bajeti wanayotuchangia, lakini hata mapato tunayokusanya sisi kwa asilimia kubwa ni wao ndo wanawezesha kupatikana, hii ni kwa sababu Meli zinazkuja bandarini ni zao, ndege zinazotua viwanjani kuleta watalii ni zao, na watalii ni wao, machine na vitendea kazi zinazotusaidia kukusanya hayo mapato ni vifaa vyao. Hata dhahabu, shaba ina bei kwa sababu ni wao ndo wanainunua.

Wao ndo wana control hadi makusanyo yetu ya ndani, wakitaka wanaweza amuaa tu meli kutotua habo bandarini, wakiamua ndege hazitui hapo kwetu, wakiamua hata machine ya kunyolea ndevu haitowezekana kununulika.
Tusijidanganye ya kwamba tuna "options", China siyo options. Wakiamua kwenye jumuia zao za kimataifa na kusema hakuna kuuza wala kununua kitu toka bongo, tutasota sana. China hana power yoyote, china anamtegemea Russia kufanya maamuzi yake na Russia ni wazungu wale, naomba unielewe hapa.

Issue ya Syria kwa mfano, ni kwa sababu ya migongano ya kimasilahi baina ya wazungu kwa wazungu, otherwise, Assad hana chochote pale. Na kwasasa nayeamua masilahi ya Assad na Syria ni mzungu Russia, naomba unielewe vizuri. Hata hivyo kwa mfano, russia alimuuzia syria na Iran mwaka 2008 zile silaha zile battery wazungu wengine wakamkataza Russia wakatia sanctions. Na Russia alitulia kwa sababu wakati huo hakuwa na tu nguvu, na kisha Russia akaenda kujipanga upya na alipoona amejiweza sasa kupambana ndo akarudi tena mwaka juzi.
Kifupi hatuna options, tunachotakiwa tu kwa sasa ni kutembea nao intelligently. Yes ni ukweli tunaibiwa, lakini reality on the ground ni tofauti.

Kinachotakiwa sasa, Rais atakachokuta humo kwenye makontena akubali matokeo ya kwamba tunaibiwa na akae nao kwenye meza ya mazungumzo wayamalize kwenye meza ya mduara.
Andika kwa kutulia acha papara ili ueleweke mana nimepata hasira nilipokuwa najaribu kusoma errors kibao.
 
Wewe ndiye Nyumbu, wala hata unayemuongelea Mwl. Nyerere hakuwahi ktk maisha yake yote kufikiria kuwa Angekuwa Chadema, lakini wewe ni Chadema, sasa wapi na wapi? Alimkata Lowasa kutokana na Ufisadi wake, wewe ulimpigia kura halafu leo unajishebedua eti Nyerere ni afadhali, Mtei wako alitimuliwa na Nyerere kwa kukumbatia Wazungu wako lakini wewe leo ndiye kiongozi na muasisi wa SACCOSS yako yakutafutia Ruzuku. Be careful.
wewe acha upompo.kwani lowasa sio mtanzania.hizo akili zenu zakijinga ndo maana nchi bado maskini.Wewe kama unaamini katika chama badala ya mifumo bora inayoleta serikali bora endelea ivyo ivyo.nikikuuliza ni kipi kimefanywa na hao unaowaamin hadi sasa uwezi kunipa jibu zaidi ya riwaya.jifunze kuficha ujinga wako japo kidogo.
 
Back
Top Bottom