Aisee ningeomba sana uwe muelewa. Sisi hatuwezi kuifanya dhahabu iwe na dhamani hapa kwetu hamna hata solo la dhahabu yenyewe. Hatuwezi kamwe kulinganisha madini yetu na mafuta ya nchi za kiarabu. Hata tukafanya hivyo tazama hali ilivyo Venezuela. Chakula wanakosa ilihali wana raslimali kubwa ya mafuta.Wewe unasemaje ?!, Raslimali pekee tuliyonayo ni hiyo lazima tuifanye kuwa na thamani.
Mfano ni waarabu na mafuta yao pamoja na soko kuwa hao lakini bado ni thamani kwao kwa sababu wameyafanya kuwa na thamani.