Rais Magufuli, Punguza confrontation na Wazungu

Mh Rais Magufuli, ktk mambo mengi upo sahihi na kama ni makosa basi ni ya kibinadamu. Ila nafikiri kuna kitu ambacho wenda hujakipatia sawa sawa ama bado hujapata habari kwa usahihi wake.

Mosi, lazima tukubaliane na ukweli kabisa kwamba kutokana na mazingira halisi ya ulaya hawawezi kuishi kwa amani wasiponyonya kwa nguvu nchi za afrika na Karebean na uarabuni. Na hivyo, hakuna fair trade ktk vitu ambavyo wanavyovihitaji kuendesha maisha yao na kizazi chao, na ya kwamba ni lazima wachukue vitu kwa bure ama bei inayokaribia na hapo.

Cha mhimu kujiuliza je tuna nguvu za kuwasimamisha kivita ama ktk ku control financial system? Sasa tukipata majibu inabidi kuchukua tahadhari sahihi hasa tunapo deal na yalipo masilahi yao. Siyo kwamba naandika haya kwa sababu tunawaogopa ila hali halisi yenyewe inanisukuma kuandika haya. Wazungu wao wanasema "wako radhi kufanya kazi na shetani palipo na masilahi yao".

IMF, UN, World bank, mahakama za dunia na vyombo vya habari ni mali za wazungu. Na wazungu ni wamoja sana kupita kipimo. Hivyo ukizuia mali za wazungu, tuseme dhahabu, umezuia mali ya IMF ama World bank.Na hivyo hawa (IMF, World bank, UN, court zote)hawatakuja kufurahia hata kidogo, watakufanyia hujuma na kukwamisha karibu ktk kila kitu.

Maoni yangu, we have to know our place. Ya kwamba tu deal na mafisadi wetu, hawa mafisadi wa dunia jaribu ku negotiate nao objectively na wakati huohuo tukiangalia maeneo mengine yatoyotunyanyua ktk maendeleo. Kukwaruzana nao hasa ktk madini, wanaweza turudisha ktk nyakati za ujima. Hawa jamaa kwa hujuma wame qualify kwa kiwango cha juu sana.

Ushauri, kaa nao mezani mkubaliane nao amicably the way forward. Hiyo kamati uliounda hata wakikuta dhahabu wazungu wanaiba, na imejaa kwenye macontena, naamini kwenye vyombo vyao hawataandika wala kuonesha kwamba wazungu wanaiba africa. Wao watachokifanya ni ku potray wewe, wao wanavyotaka uonekane ktk jamii ya dunia. Again, chochote kamati uliyoiunda itakachokuta kwenye makontena kaa nao ukubaliane kwa mazungumzo mezani.
Magu hajui analofanya, hajui kuna kitu kinaitwa ukoloni mambo leo.Vile vile haelewi kua taasisi za kifedha za dunia kama IMF,WORLD BANK, CENTRAL BANK OF AMERIKA nk ni taasisi binafsi.Hajui kua kwa nini Saadam Hussein,Hugo Chaves , Muammar Ghaddaf nk walitolewa madarakani bila kupendwa.Hajui kama matajiri wa ulaya na marekani ndio wanaoshikilia dunia, wanakontrol marais na kila kitu,Anafikiri yeye na Bashite wanaweza kudhibiti wazungu!
 
Yawezekana anafahamu, ila ukweli IMF,WORLD BANK, UN , UN security council ni mali za wa wazungu. Sisi hua tunaitwa kama observers tu, hili natamani lapaswa kulieleweka vyema. Na hata hayo makampuni ya dhahabu ni mali za IMF, WORLD bank, ndiyo message yangu kuu hapa, ngoja ni iifanyie decryption message, ya kwamba kupambana na wazungu maana yake unapambana na IMF, World bank , UN security council.
 
Kuna wakati nunafikiria kuwa kama wazungu wasingetutawala yawekana hali ya waafrica ingekuwa mbaya sana zaidi ya sasa!! Sioni maana tulichofanya toka tumepata uhuru,,,,,yani one steo ahead ,5 steps backward!!!!
 
Mh Rais Magufuli, ktk mambo mengi upo sahihi na kama ni makosa basi ni ya kibinadamu. Ila nafikiri kuna kitu ambacho wenda hujakipatia sawa sawa ama bado hujapata habari kwa usahihi wake.

Mosi, lazima tukubaliane na ukweli kabisa kwamba kutokana na mazingira halisi ya ulaya hawawezi kuishi kwa amani wasiponyonya kwa nguvu nchi za afrika na Karebean na uarabuni. Na hivyo, hakuna fair trade ktk vitu ambavyo wanavyovihitaji kuendesha maisha yao na kizazi chao, na ya kwamba ni lazima wachukue vitu kwa bure ama bei inayokaribia na hapo.

Cha mhimu kujiuliza je tuna nguvu za kuwasimamisha kivita ama ktk ku control financial system? Sasa tukipata majibu inabidi kuchukua tahadhari sahihi hasa tunapo deal na yalipo masilahi yao. Siyo kwamba naandika haya kwa sababu tunawaogopa ila hali halisi yenyewe inanisukuma kuandika haya. Wazungu wao wanasema "wako radhi kufanya kazi na shetani palipo na masilahi yao".

IMF, UN, World bank, mahakama za dunia na vyombo vya habari ni mali za wazungu. Na wazungu ni wamoja sana kupita kipimo. Hivyo ukizuia mali za wazungu, tuseme dhahabu, umezuia mali ya IMF ama World bank.Na hivyo hawa (IMF, World bank, UN, court zote)hawatakuja kufurahia hata kidogo, watakufanyia hujuma na kukwamisha karibu ktk kila kitu.

Maoni yangu, we have to know our place. Ya kwamba tu deal na mafisadi wetu, hawa mafisadi wa dunia jaribu ku negotiate nao objectively na wakati huohuo tukiangalia maeneo mengine yatoyotunyanyua ktk maendeleo. Kukwaruzana nao hasa ktk madini, wanaweza turudisha ktk nyakati za ujima. Hawa jamaa kwa hujuma wame qualify kwa kiwango cha juu sana.

Ushauri, kaa nao mezani mkubaliane nao amicably the way forward. Hiyo kamati uliounda hata wakikuta dhahabu wazungu wanaiba, na imejaa kwenye macontena, naamini kwenye vyombo vyao hawataandika wala kuonesha kwamba wazungu wanaiba africa. Wao watachokifanya ni ku potray wewe, wao wanavyotaka uonekane ktk jamii ya dunia. Again, chochote kamati uliyoiunda itakachokuta kwenye makontena kaa nao ukubaliane kwa mazungumzo mezani.
Umezungumzia kwa ujumla sana sio kila wazungu ni wema kuna wazungu mamilionea ni matapeli,sijui ni lini tutaacha huu ujinga wa kuwaabudu hawa wazungu kwa kuwa tu eti ni wazungu,na huo msuguano unaosema kati ya raisi na wazungu je ni wazungu wote au ni hawa wachuuzi wa mali za umma,unaongea kama katikilo wa wazungu.
 
Mzungu asipokuweka kwenye minyororo yake ya madeni kupitia IMF na World bank anakusubiri kwa Midege yake ya NATO na Cruise Missiles achilia mbali mabomu ya depleted Uranium, Utashindana naye kivipi?.
Cha msingi hapo ni lazima tujifunze sanaa ya Negotiations na pia tuchukue vichwa vikali sana vya sheria ndiyo viwe drafters wa mikataba yetu!. Ni lazima tukubali KULA -NA MWENZIO ALE

Mzungu siyo Mzigua, ukimzingua, anakuzingua kweli na wana umoja ajabu!!
 
Umezungumzia kwa ujumla sana sio kila wazungu ni wema kuna wazungu mamilionea ni matapeli,sijui ni lini tutaacha huu ujinga wa kuwaabudu hawa wazungu kwa kuwa tu eti ni wazungu,na huo msuguano unaosema kati ya raisi na wazungu je ni wazungu wote au ni hawa wachuuzi wa mali za umma,unaongea kama katikilo wa wazungu.

Wazungu tunaongelea ni NATO,IMF, WB, UN , na wengine wa hivyo. Mbona mnakuwa wagumu kusoma message?
 
We need to obey the order of illusion I remember some failed to understand this until keep it real went wrong.
 
Kumbe ni nchi, si watu wake.

Mimi siyo mjamaa (kwa maana ya mkomunisti) lakini ni mjamaa kwa maana kuna jamii inayonizunguka na nna uhusiano nayo mzuri sana na pia ni Mtanzania nnaejitegemea.
Hata mimi sio Mjamaa kwasababu watoto wangu wenyewe tu wanasoma shule za kibepari, maduka tunayo nunulia vitu sio ya RTC n.k, mbaya zaidi hadi vyombo vya usafiri tunavyotumia navyo ni mali ya mabepari but still katiba inacho kisema na vile tunavyo fanya havifanani, that is my concern bimkubwa.
 
Watu wamelalamika wee katiba ibadilishwe, kwanini? Kwa kuwa si nzuri. Au?
 
Mkuu, sheria hatujui inasema je kwa sababu hatujui kilichomo kwenye mikataba hiyo. Sie hapa tunajadili mstakabali wa Tanzania, sidhani kama tupo hapa kuangalia mapugufu ya mtu ama uhodari wake, hayo hayatatusaidia sana ktk kulisukuma gurudumu la Tanzania. Mie nafikiri tuangalie ktk ule muono wa big picture ya kwamba kwa vile mikataba walishaingia na Rais kaunda tume basi majibu watayopata wakae kwa meza ya mduara wayamalize mezani kama cha kurekebisha kimo wakubaliane mezani.

sawa mkuu
..... Hata iyo tija chimbuko lake ni kwenye sheria na mikataba
kama unataka ubabe sa kwa nn unataka wayamqlize kmya kimya?
 
Back
Top Bottom