Rais Magufuli, Punguza confrontation na Wazungu

Mkuu ujumbe mwanana kabisa, yaani umegonga nyundo mwanzo mwisho mpaka msumari wote umeingia kunako husika.
 
Kama anajali maslahi yake tu maana yake ni kuwa hakujali wewe, hawezi kuheshimu hata uwepo wako na anakuona kama mtumwa tu kwake. Hii ni saikolojia ndogo sana mkuu.

Mkuu
Ni vision ndogo sana inayotakika kutumika yani ya kwamba ni kutambua potential power mtu aliyonayo. Na ukishaishaona potential ya mtu aliyonayo, then you could approach the problem logically.

Mfano unafahamu kabisa potential power aliyonayo rais wako ama mkuu wako ni power kubwa, however though, it could be an absurd, uki opt mu approach rais ama mkuu wako huyo kwa confrontations. Siyo kwamba uki avoid hiyo path atakuona wewe ni mtumwa ama unamuogopa, bali atakuona uko very strong , matured and perfect fellow to work with under the context of mutual interest.

Na vile vile it's somehow wild, ukikuta mbuzi wako kachukuliwa na mamba analiwa na mamba wengi mtoni majini na ukaamua kujitosa kwenye mto ulio jaa mamba eti kwenda kumuokoa mbuzi na ukijipiga kifua ya kwamba you'r superman na eti you could fight all the odd na kuwa defeat mamba walio mtoni majini.
 
Mh Rais Magufuli, ktk mambo mengi upo sahihi na kama ni makosa basi ni ya kibinadamu. Ila nafikiri kuna kitu ambacho wenda hujakipatia sawa sawa ama bado hujapata habari kwa usahihi wake.

Mosi, lazima tukubaliane na ukweli kabisa kwamba kutokana na mazingira halisi ya ulaya hawawezi kuishi kwa amani wasiponyonya kwa nguvu nchi za afrika na Karebean na uarabuni. Na hivyo, hakuna fair trade ktk vitu ambavyo wanavyovihitaji kuendesha maisha yao na kizazi chao, na ya kwamba ni lazima wachukue vitu kwa bure ama bei inayokaribia na hapo.

Cha mhimu kujiuliza je tuna nguvu za kuwasimamisha kivita ama ktk ku control financial system? Sasa tukipata majibu inabidi kuchukua tahadhari sahihi hasa tunapo deal na yalipo masilahi yao. Siyo kwamba naandika haya kwa sababu tunawaogopa ila hali halisi yenyewe inanisukuma kuandika haya. Wazungu wao wanasema "wako radhi kufanya kazi na shetani palipo na masilahi yao".

IMF, UN, World bank, mahakama za dunia na vyombo vya habari ni mali za wazungu. Na wazungu ni wamoja sana kupita kipimo. Hivyo ukizuia mali za wazungu, tuseme dhahabu, umezuia mali ya IMF ama World bank.Na hivyo hawa (IMF, World bank, UN, court zote)hawatakuja kufurahia hata kidogo, watakufanyia hujuma na kukwamisha karibu ktk kila kitu.

Maoni yangu, we have to know our place. Ya kwamba tu deal na mafisadi wetu, hawa mafisadi wa dunia jaribu ku negotiate nao objectively na wakati huohuo tukiangalia maeneo mengine yatoyotunyanyua ktk maendeleo. Kukwaruzana nao hasa ktk madini, wanaweza turudisha ktk nyakati za ujima. Hawa jamaa kwa hujuma wame qualify kwa kiwango cha juu sana.

Ushauri, kaa nao mezani mkubaliane nao amicably the way forward. Hiyo kamati uliounda hata wakikuta dhahabu wazungu wanaiba, na imejaa kwenye macontena, naamini kwenye vyombo vyao hawataandika wala kuonesha kwamba wazungu wanaiba africa. Wao watachokifanya ni ku potray wewe, wao wanavyotaka uonekane ktk jamii ya dunia. Again, chochote kamati uliyoiunda itakachokuta kwenye makontena kaa nao ukubaliane kwa mazungumzo mezani.
Ulichokiandika ni onyo la kiutu uzima hasa ukizingatia andiko la mkuu Nifah (ref: Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA) inaweza kula kwetu
 
Ampigie simu Rais wa Venezuela Bwana Nicholas Maduro amuulize bado anahamu ya kuendeleza libeneke lake na Wazungu au ameshasanda?
 
You're either with us or you are against us - George Bush Jr.

Ndiyo maana mara nyingi zinapokuja mada kuhus wawekezaji wa ki Magharibi huwa nnakumbusha kisa cha Tiny Rowlands na Nyerere.

Tiny alituumiza sana.
Kama hautojari mama tumegee kidogo kisa hicho nasi tujifunze
 
m nazan mpk mwk ukikarbia kuisha ile kauli "WATANZANIA TUFUNGE MIKANDA" itawadia...wenzetu wanatushinda kutok n wmeamua kuyafnyia kaz mawazo y profeshen zao n kuwaz zaid y uhalisia ndio maan tutabk kuwaon n watu w ajabu.ukiwez kuchez n akil y mtu RAHA, km tulvochezeshw tok enz z ukolon mtiririko n ule ule unaendelea sem wanauboresh kutokn n uwez wao kielim n fikra#utapeli n hali y kutumia akil nyingi n y ziada kuwez kumuaminish mtu kufanikiw n pale anapogundua amenyonyw muda unakua umekwend n kurud alipo n vgum [HASHTAG]#hata[/HASHTAG] tukiwaloga wazungu hawalogek .kila kiongoz n muda wake n sera zake#msimpangie n mnapotak kumpngia ndo mnaharibu kbsaa
 
Kwenye mto ulio jaa mamba wenye njaa, hata kama mamba wameivuruta ng'ombe yako hadi ndani ya mto nawako wanaishambulia. Basi naamini, si njia sahihi kwa wewe kujitupa ndani ya mto ili ukamuokoe ng'ombe, ukiamini kufanya hivyo mamba watakuogopa kwa sababu ni haki na ng'ombe mmiliki wake ni wewei. Bahati mbaya wenda, hata mamba wanaamini vivyo hivyo kwamba ni stahiki yao na wewe inclusively.

Nafikiri njia sahihi ni kutafuta namna mbadala, ili uweze ku mitigate tatizo hilo la mamba. Kwa mfano, unaweza watupia mzoga mwingine wa ngo'mbe ambao umeushindilia sumu. Hivyo, mpiganaji mzuri si ktk scenarios zote anatumia njia zile zile za kupigana, na mpiganaji siyo lazima atumie nguvu kupigana.

Ushauri wangu, kwa vile kamati ipo, ichunguze barbara na kisha majibu yanayopatikana tuyatumie ktk kupata suluhu sahihi ktk meza ya mduara kwa mazunguzo ya pande zote mbili.
 
Mkuu
Ni vision ndogo sana inayotakika kutumika yani ya kwamba ni kutambua potential power mtu aliyonayo. Na ukishaishaona potential ya mtu aliyonayo, then you could approach the problem logically.

Mfano unafahamu kabisa potential power aliyonayo rais wako ama mkuu wako ni power kubwa, however though, it could be an absurd, uki opt mu approach rais ama mkuu wako huyo kwa confrontations. Siyo kwamba uki avoid hiyo path atakuona wewe ni mtumwa ama unamuogopa, bali atakuona uko very strong , matured and perfect fellow to work with under the context of mutual interest.

Na vile vile it's somehow wild, ukikuta mbuzi wako kachukuliwa na mamba analiwa na mamba wengi mtoni majini na ukaamua kujitosa kwenye mto ulio jaa mamba eti kwenda kumuokoa mbuzi na ukijipiga kifua ya kwamba you'r superman na eti you could fight all the odd na kuwa defeat mamba walio mtoni majini.
Nimekuelewa sana tu lakini mind you that kwenye ulimwengu wa sasa hivi njia hizi zote zinatumika yanapokuja maslahi ya taifa husika yani diplomatically na ikishindikana hii njia ya pili hutumika violently acting hapa ni kama liwalo na liwe.
Though njia hii ya pili hutumika sana na mwenye uwezo au anayejiamini yani ni kama kwa mwenye uwezo/nguvu.
So hapa ni kuwa tu makini njia inayotumika kujihakikishia kwanza ni vipi itaweza kuleta matunda mazuri kama haitoleta tija isitumike kabisa, wenye hekima husema pigana vita ile tu unayoona utaeza shinda kama huezi kushinda ni heri ukatumia njia nyingine kutafuta amani.
 
Mh Rais Magufuli, ktk mambo mengi upo sahihi na kama ni makosa basi ni ya kibinadamu. Ila nafikiri kuna kitu ambacho wenda hujakipatia sawa sawa ama bado hujapata habari kwa usahihi wake.

Mosi, lazima tukubaliane na ukweli kabisa kwamba kutokana na mazingira halisi ya ulaya hawawezi kuishi kwa amani wasiponyonya kwa nguvu nchi za afrika na Karebean na uarabuni. Na hivyo, hakuna fair trade ktk vitu ambavyo wanavyovihitaji kuendesha maisha yao na kizazi chao, na ya kwamba ni lazima wachukue vitu kwa bure ama bei inayokaribia na hapo.

Cha mhimu kujiuliza je tuna nguvu za kuwasimamisha kivita ama ktk ku control financial system? Sasa tukipata majibu inabidi kuchukua tahadhari sahihi hasa tunapo deal na yalipo masilahi yao. Siyo kwamba naandika haya kwa sababu tunawaogopa ila hali halisi yenyewe inanisukuma kuandika haya. Wazungu wao wanasema "wako radhi kufanya kazi na shetani palipo na masilahi yao".

IMF, UN, World bank, mahakama za dunia na vyombo vya habari ni mali za wazungu. Na wazungu ni wamoja sana kupita kipimo. Hivyo ukizuia mali za wazungu, tuseme dhahabu, umezuia mali ya IMF ama World bank.Na hivyo hawa (IMF, World bank, UN, court zote)hawatakuja kufurahia hata kidogo, watakufanyia hujuma na kukwamisha karibu ktk kila kitu.

Maoni yangu, we have to know our place. Ya kwamba tu deal na mafisadi wetu, hawa mafisadi wa dunia jaribu ku negotiate nao objectively na wakati huohuo tukiangalia maeneo mengine yatoyotunyanyua ktk maendeleo. Kukwaruzana nao hasa ktk madini, wanaweza turudisha ktk nyakati za ujima. Hawa jamaa kwa hujuma wame qualify kwa kiwango cha juu sana.

Ushauri, kaa nao mezani mkubaliane nao amicably the way forward. Hiyo kamati uliounda hata wakikuta dhahabu wazungu wanaiba, na imejaa kwenye macontena, naamini kwenye vyombo vyao hawataandika wala kuonesha kwamba wazungu wanaiba africa. Wao watachokifanya ni ku potray wewe, wao wanavyotaka uonekane ktk jamii ya dunia. Again, chochote kamati uliyoiunda itakachokuta kwenye makontena kaa nao ukubaliane kwa mazungumzo mezani.
Kama unaabudu wazungu shauri lako , mutual respect ndo msingi, si kuwaogopa !
 
Mimi nilidhani Kiongozi wa Ethiopia alitumwa nao kuja kumnong'oneza kuwa bado wanaipenda Tanzania, mpaka sasa tumshukuru Mungu hatupo katika list ya Nchi ambazo Wakubwa wameamua ibaki maskini kivyovyote vile mfano Haiti, Eritrea Congo, Venezuela, Balcans na nyingine nyingi.
 
Mh Rais Magufuli, ktk mambo mengi upo sahihi na kama ni makosa basi ni ya kibinadamu. Ila nafikiri kuna kitu ambacho wenda hujakipatia sawa sawa ama bado hujapata habari kwa usahihi wake.

Mosi, lazima tukubaliane na ukweli kabisa kwamba kutokana na mazingira halisi ya ulaya hawawezi kuishi kwa amani wasiponyonya kwa nguvu nchi za afrika na Karebean na uarabuni. Na hivyo, hakuna fair trade ktk vitu ambavyo wanavyovihitaji kuendesha maisha yao na kizazi chao, na ya kwamba ni lazima wachukue vitu kwa bure ama bei inayokaribia na hapo.

Cha mhimu kujiuliza je tuna nguvu za kuwasimamisha kivita ama ktk ku control financial system? Sasa tukipata majibu inabidi kuchukua tahadhari sahihi hasa tunapo deal na yalipo masilahi yao. Siyo kwamba naandika haya kwa sababu tunawaogopa ila hali halisi yenyewe inanisukuma kuandika haya. Wazungu wao wanasema "wako radhi kufanya kazi na shetani palipo na masilahi yao".

IMF, UN, World bank, mahakama za dunia na vyombo vya habari ni mali za wazungu. Na wazungu ni wamoja sana kupita kipimo. Hivyo ukizuia mali za wazungu, tuseme dhahabu, umezuia mali ya IMF ama World bank.Na hivyo hawa (IMF, World bank, UN, court zote)hawatakuja kufurahia hata kidogo, watakufanyia hujuma na kukwamisha karibu ktk kila kitu.

Maoni yangu, we have to know our place. Ya kwamba tu deal na mafisadi wetu, hawa mafisadi wa dunia jaribu ku negotiate nao objectively na wakati huohuo tukiangalia maeneo mengine yatoyotunyanyua ktk maendeleo. Kukwaruzana nao hasa ktk madini, wanaweza turudisha ktk nyakati za ujima. Hawa jamaa kwa hujuma wame qualify kwa kiwango cha juu sana.

Ushauri, kaa nao mezani mkubaliane nao amicably the way forward. Hiyo kamati uliounda hata wakikuta dhahabu wazungu wanaiba, na imejaa kwenye macontena, naamini kwenye vyombo vyao hawataandika wala kuonesha kwamba wazungu wanaiba africa. Wao watachokifanya ni ku potray wewe, wao wanavyotaka uonekane ktk jamii ya dunia. Again, chochote kamati uliyoiunda itakachokuta kwenye makontena kaa nao ukubaliane kwa mazungumzo mezani.
na ushindwe. watu kama nyie mnao ABUDU wazungu ni WAHAINI: WEWE NI MHAINI HUTUFAI TZ; HATUTAZUNGUMZA NAO
 
Nakubaliana na wew bro.Alichofanya ni kizuli.Magufuli sasa atumie chance hii kupitia upya hata kama ni baadhi ya mikataba, na kubadilisha(kwa makubaliano) kwa our advantage zaidi.Lakini pamoja na yote, diplomacy inatakiwa iwe ya kiwango cha juu.
 
Tanzania ni zaidi ya Venezuela na Hugo Chavez mkuu. Soma alama za nyakati.
Hujui system za Dunia wewe unapayuka tu, hio WB rais wao ni lazima awe Mmarekani na achaguliwe na Rais wa Marekani na athibitishwe na senet ya Marekani, hii ni kwa maslahi ya Marekani. Kwa hio Tanzania ni kama tembo kugombana na chura, Tanzania is nothing to North America na Europe, wala hawana haraka nae huyo Magu wanamtizama tu akiendelea kuwazingua watamnyoosha tu very easy.
 
matatizo yetu tunawahamishia wazungu ili kujikosha. wazungu waliingia kwenye bunge letu kupitisha mikataba mibovu ya madini? ni wazungu wanaokwenda kwa waandaa mikataba wetu na kuwambia waandae mikataba mibovu? ni wazungu wanaoenda mahakamani na kutoa hukumu za vifungo vya miaka 2, 3 kwa wanaofuja mali za umma ati matumizi mabaya ya madaraka? hawa si wazungu, ni uroho wa watendaji wetu na sheria ambazo zipo kwao haziwahusu.
 
Wala Magufuli hajafanya confrontation yoyote na magharibi na hata angefanya hivyo hakuna baya lolote. Maisha kote duniani ni confrontation, it's a battle. Hata biblia inasema maisha ni vita (Ayubu 7:1)
The life of men upon earth is a warfare. Ninachoona kwa JPM ni kwamba sera yake ya nje ni kutafuta partners wa level ya nchi yetu watu tunaoweza kudeal nao as equals. Watu tunaoweza kubargain nao bila kulamba miguu. Ndio maana umeona mpaka sasa tumetengeneza contact na Rwanda Uganda Kenya Bangladesh Turkey Ethiopia nk
Nafikiri anachopaswa kufanya JPM ni kuajiri washauri wataalam wa siasa za kimataifa watakaoweza kumshauri kuhusu ulaghai wa siasa za kimataifa na namna ya ku-deal na magharibi na mawakala wao.
Nilicho na uhakika ni hawajapendezwa na Rais wa kiafrika asiyewaabudu.
Anachofanya JPM ni sahihi kabisa. Hakuna namna nyingine ya kukata hii mizizi ya kinyonyaji zaidi ya kuachana nayo. Ndio namna ya kuanza
 
Tafadhali mkuu hebu mfafanulie mtukufu maana ya hilo neno "CONFRONTATION". maana kama unavyofaham yai halipandi pale.
 
Acha fikra za kitumwa mkuu, huwezi kusema sisi ni nothing. Kama ni nothing wanakuja kutafuta nini huku kwetu?
Tanzania is nothing to North America na Europe, wala hawana haraka nae huyo Magu wanamtizama tu akiendelea kuwazingua watamnyoosha tu very easy.
 
Wametuibia sana inatosha tuwafanye kama nchi za kiislamu hakuna mchezo mikataba ipitiwe upya
 
Back
Top Bottom