Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 17,644
- 27,740
Aliposhindwa kumuua kwa mapenzi ya Mungu ndipo akaamua kumyang'anya ubunge wake kupitia kwa kibaraka NdugaiMaamuzi ya jajiccm wa mahakamaccm juu ya uporaji wa Ubunge wa Tundu hayakuwa maamuzi ya kisheri na katiba bali yalikuwa ni maamuzi binafsi toka juu hata jaji mwenyewe aliyafanya akiwa anaona Aibu nafsi kumsuta.
