Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,209
- 162,778
Rais Magufuli, wewe na timu yako mnaandika kitabu, ila usisahau kitabu hicho kitabeba jina lako tu
Mheshimiwa popote ulipo,tambua tu hivi sasa wewe na timu yako kwa pamoja mnaandika kitabu huku wewe ukiwa ndio kiongozi wa jopo la waandishi,Mhariri Mkuu na Mmiliki pekee wa kitabu hicho ambacho kitatoka kwa jina lako na si la mtu mwingine yoyote wakiwemo hata hao wanaokusaudia kukiandika...