Rais Magufuli, kumbuka kuna kesho

Rais Magufuli, kumbuka kuna kesho

Muzungu angesikiliza hiyo misemo yenu ya kimasikini reli ya Dar- KGM isingejengwa, English monarchy wanatawala karibia miaka 800 Uingereza hiyo misemo imesemwa sana lkn hadi leo bado wapo .

Angalia maisha yako na familia yako hilo la kukaa Mwanaume mzima ukisubiri Mwanaume mwenzio aliyejituma na kufanikiwa eti aje kushindwa ili msemo wako utimie ashindwe ili ufurahie ni udhaifu, ndo maana wanswake wake zenu wanatembea nje, mko dhaifu sana.

Mwanaume strong haishi kwa misemo, bali anafight, kama unaona Raisi Magufuli hafanyi unavyotaka pambana naye, misemo haikufikishi popote!
Acha kudhalilisha akili yako, kupambana mpaka ampige jiwe ngumi? Hata kuandika aliyoandika ni mapambano pia. Lumumba mna uwezo mdogo sana wa kufikiri. Nahisi ndiyo mana mnashindwa kumshauri vyema jiwe kama akili zenu ndiyo hizi
 
Mi nawahurumia hawa wasaidizi wake na Mawaziri watakuja kuishi kwa dhiki na watafungwa kama kuku yeye mwenzao Magufuli ana kinga ya kikatiba sasa wao acha wamfuate tu tunawasubiri... wajiulize kilichowakuta kina Mramba na Yona
 
Hivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?

Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.

Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?

Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.

Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?

Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.

Madikteta wote mwisho wao hujulikana?
 
Point. Kama huwezi kupanda juu ukabadili uongozi basi tii uongozi.
Sio point ni upuuzi. Acha kuvimbisha vichwa vya kuku. Yaani kama hatuwezi kuondoa madarakani viongozi wanaotuvuruga kwa sasa basi tukae tu kimya hata kama wanakiuka katiba!
 
Hivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?

Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.

Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?

Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.

Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?

Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.
Magufuli ndio kila kitu katika nchi hii, ukienda bungeni ye ndio spika, mahakamani yeye ni hakimu na kiongozi was majaji wote

Pia ni DPP, IGP, mkuu was jwtz, magereza nk
 
Mkuu kasome mabadiliko ya sheria mbalimbali namba 4 ya 2019. CPA imefanyiwa mabadiliko mtuhumiwa anaweza akaomba kwa DPP kupunguziwa au kuondolewa mashtaka kwa makubaliano maalum. Ulaya sheria hii ipo siky nyingi mkuu hapa kwetu ndiyo imeanza.
Wewe ni idiot. Plea bargaining haiko hivyo si Ulaya si US. Kwa wenzetu plea bargaining haifanyiki kabla ya upelelezi haujakamilika! Ni lazima uwe na vithibitisho na ushahidi fulani vya ukiukwaji wa sheria kabla haujambana mtuhumiwa ili m bargain!
 
Hivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?

Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.

Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?

Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.

Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?

Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.

Ulimuelewa lakini? Kama wewe unaona huna kesi komaa... Ila kama ulishikwa na ngozi kiri yaishe
 
Mi nawahurumia hawa wasaidizi wake na Mawaziri watakuja kuishi kwa dhiki na watafungwa kama kuku yeye mwenzao Magufuli ana kinga ya kikatiba sasa wao acha wamfuate tu tunawasubiri... wajiulize kilichowakuta kina Mramba na Yona
Nakuunga mkono hoja yako
 
Sio point ni upuuzi. Acha kuvimbisha vichwa vya kuku. Yaani kama hatuwezi kuondoa madarakani viongozi wanaotuvuruga kwa sasa basi tukae tu kimya hata kama wanakiuka katiba!
Ndio mkuu. Hata mm naona hivyo, kama huwezi kufanya jambo serikali ikafanya unachotaka, na huwezi kubadili serikali basi tulia Fata sheria.
 
Ulimuelewa lakini? Kama wewe unaona huna kesi komaa... Ila kama ulishikwa na ngozi kiri yaishe
Kukomaa maana yake ni nini ? Kukaa jela mda mrefu ukiteseka kwa uchunguzi kutokamilika na kukosa ushahidi hawajashikwa na ngozi ndiyo maana ushahidi hakuna wakaamua kuwasotesha jela mda mrefu tu.
 
Hivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?

Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.

Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?

Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.

Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?

Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.
Kiongozi ni kweli mahabusu sio mtuhumiwa rasm na pengine anaweza asiwe na hatia,lakini tujiulize kama taifa kwa nn waandike barua za kukiri kama hakuna kosa wala viashiria vya kosa na je?ni wahujumu uchumi wote wameandika barua za kukiri, je wamelazimishwa kufanya hivyo,mungu akupe hekima na tafakar sahihi katika hili.ahsante
 
Kwani wamelazimishwa kukili kosa mbona shemeji yangu rugemalila kagoma
Hivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?

Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.

Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?

Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.

Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?

Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.
 
Serikali haina pesa ,Magufuli kachezea pesa hovyo, kanunua ndege mbovu, ana miradi kibao, bado katumia pesa kuhonga wapinzani waende CCM, wahisani wamemtosa kwa sababu kaminya Demokrasia na utawala bora, GDP imeshuka, korosho kaiharibia soko, nina mashaka sana pengine tuna Rais mamluki aliyepo maalumu kuimaliza Tanzania.kama alivyokuwa Michael Gorbachev.
Where you are, he might be one of the planted Bahima in our country.
 
Kuna kitu kinafanyika sasa hivi lakini inamadhara makubwa baadaye

Hao watu utakuta wametengeneza ajira nyingi hapa Tanzania na walikuwa wanasimamia biasahara zao, umemweka mahabusu kwa muda mrefu bila hata ya kumsikiliza bado mnafikiri biashara hizo ziko imara? Kama haziko Imara vp kuhusu ajira? Hizo hela wanazotakiwa kurudisha wanazitoa wapi leo kama siyo kuuza assets zao na biashara zao kufa kabisa?

Nchi hii itaingia kwenye ukosefu wa ajira kwa matatizo ambayo tunatengeneza wenyewe? Leo Hii mnahangaika na wafanya biashara lakini wale wanasiasa ambao wamehusika wapo tu! Ishu nyingi zilienda bungeni wanasiasa hasa ccm mlikuwa mkiwatetea hao wezi leo mnataka tuwaone wema kwa lipi

AJIRA ZINAPUNGUA, MAPATO YATOKANAYO NA AJIRA YANAPUNGUA, MZUNGUKO WA HELA UNAPUNGUA NDIPO GHARAMA ZA MAISHA ZITAKAPOONEKANA KUWA JUU, KODI ZITAPUNGUA - Hapo sasa unajiandaa kuwa omba omba

Bunge mmeweka mafichino kwa faida ya nani? au kuficha taarifa za CAG? kwa sababu na hotuba za wapinzani mmekuwa mkihariri kabla ya kusomwa Bungeni
 
Kiongozi ni kweli mahabusu sio mtuhumiwa rasm na pengine anaweza asiwe na hatia,lakini tujiulize kama taifa kwa nn waandike barua za kukiri kama hakuna kosa wala viashiria vya kosa na je?ni wahujumu uchumi wote wameandika barua za kukiri, je wamelazimishwa kufanya hivyo,mungu akupe hekima na tafakar sahihi katika hili.ahsante
Wewe kweli bomu ngombe kaingizwa machinjioni atapona kuchinywa? Labda akutwe na ugonjwa pole zako badosana watu kama wewe
 
Hivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?

Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.

Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?

Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.

Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?

Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.
Mbona Watanzania hatuelewi? Nani KALAZIMISHWA KUKIRI KOSA? Mbona wao wenye makosa wana kiri lakini wewe unasema wameshurutishwa, vipi mbona hueleweki?
 
Hivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?

Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.

Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?

Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.

Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?

Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.
Kwanza wanatakiwa wakiri kosa.Kinachotokea ni kuwa wameshindwa kuthibitisha mahakamani makosa yao na kwasababu sheria yenyewe imewekwa kwa ajili ya kuonea watu, sasa lazima kutafuta namna ya kulimaliza kinamna huku wakipata faida ya kisiasa
 
Kiongozi ni kweli mahabusu sio mtuhumiwa rasm na pengine anaweza asiwe na hatia,lakini tujiulize kama taifa kwa nn waandike barua za kukiri kama hakuna kosa wala viashiria vya kosa na je?ni wahujumu uchumi wote wameandika barua za kukiri, je wamelazimishwa kufanya hivyo,mungu akupe hekima na tafakar sahihi katika hili.ahsante
Wanateseka jela wameamua kukiri tu kuepuka mateso wengi hawana hakuna cha viashiria vya kosa, wewe unajua ubaya wa jela? Siku ukienda jela hata week tu ndipo utajua unaya wake na kuacha kurahisisha mambo
 
Hili ni taifa la kijinga sana, halafu kuna watu wanashangilia huu upuuzi.
Mtu katuhumiwa tu, haijulikani Kama ana makosa au la, wewe unamwambia akiri kosa lake kisha arudishe pesa na umtoe jela, huo ni ujambazi wa mchana kabisa

Kibaya zaidi huyo aliyejivika uhalali wa kusamehe anasema usipokiri kosa na kuomba msamaha ukae huko mpaka ufungwe! Hii inamaanisha usipoomba msamaha kwake, utakuwa umebakiwa na sehemu tu ya kufungwa! Je ni nani haamini kwamba mkulu anaingilia mahakama? Na kesi karibu nyingi yeye ndio huamua hukumu iweje, mfano halisi ni kesi ya ubunge wa Tundu Lissu.
 
Back
Top Bottom