Rais Magufuli, kumbuka kuna kesho

Hivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?

Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.

Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?

Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.

Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?

Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.
Kabisa yaan huyu mzee amesahau kabisa kama kuna maisha mengine baada ya hapo. Kiukweli hata ninapomuona akihutubia ninahis kulia sitaki kumuona ili nitunze amani yangu. Ajira, maisha magumu mtaan, uonevu kila nyanja alafu mijitu inatoka huko na mapambio ya ajabu ajabu, ee mungu tupe uvumilivu.
 
Namkumbusha Mkuu Azimio la Arusha na Msajili Majumba kuna tofauti gani na hii ya kwake Azimio la ...... na akaunti ya Mafisadi
Azimio lili base kwa "Mawazo ya majumba" walivyo yapata akumbuke yaliishaje? Jee style yake na wakati tulio nao Italipa?
 
Kutoa msamaha kwa wahujumu uchumi wote hiyo ni zuga tu, lakini wapo walengwa maalumu waliokusudiwa kusamehewa, hawa wengine wameponea kwenye mgongo wa walengwa.

Wamekamatwa na kuwekwa gerezani vidagaa lakini mapapa wa uhujumu uchumi hakuna hata mmoja aliyegushwa na kama wamegushwa vidagaa wao ndio waliokamatwa na ndio hao walengwa wenyewe wa msamaha ambao wamewafanya hata wale ambao hawakuwa walengwa wa kusamehewa wapate msamaha.
 
Hivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?

Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.

Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?

Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.

Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?

Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.
Bora hata sisi Mungu katuonjesha ubaya wa kutawaliwa na Dickteta!! Tulikuwa tunasikia tu IDD Amin n.k...

Udikteta ni ushetani!
 
Ofcourse nadhan atakuwa ni plant ya guyo dictator maggarib kwetu.
Serikali haina pesa ,Magufuli kachezea pesa hovyo, kanunua ndege mbovu, ana miradi kibao, bado katumia pesa kuhonga wapinzani waende CCM, wahisani wamemtosa kwa sababu kaminya Demokrasia na utawala bora, GDP imeshuka, korosho kaiharibia soko, nina mashaka sana pengine tuna Rais mamluki aliyepo maalumu kuimaliza Tanzania.kama alivyokuwa Michael Gorbachev.
 
Mrs. Mr. Miss underwater. JPM kakukosea nini. Amefanya nini ambacho wewe unaona ungefanya bora zaidi. Unadhani kuongoza nchi ni Kama kuongoza haja Zako. Hata haja kuna wakati zinakosa muafaka. Punguza kuhate. Eti. Dikteta. We ungekaa hapa unaandika huu upuuzi. Pole na majanga. Lipa tu kodi. Maendeleo hayajawahi kuja kwa kubembelezana. Mi mtanzania halisi. Najua maisha yetu tunavyopenda kuendesha kimiujiza. Sasa anza kiuhalisia. JPM yuko mbali sana na maisha yako.
Uliandika haya baada ya kukosa usingizi? Au ndio ulikuwa umeamka tayari kwenda kuwanga?
 
Kesha zeeka na anajua hana la kupoteza.. lakini uzee wa mashaka ni mgumu sana.
Hivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?

Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.

Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?

Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.

Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?

Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.
 
Mrs. Mr. Miss underwater. JPM kakukosea nini. Amefanya nini ambacho wewe unaona ungefanya bora zaidi. Unadhani kuongoza nchi ni Kama kuongoza haja Zako. Hata haja kuna wakati zinakosa muafaka. Punguza kuhate. Eti. Dikteta. We ungekaa hapa unaandika huu upuuzi. Pole na majanga. Lipa tu kodi. Maendeleo hayajawahi kuja kwa kubembelezana. Mi mtanzania halisi. Najua maisha yetu tunavyopenda kuendesha kimiujiza. Sasa anza kiuhalisia. JPM yuko mbali sana na maisha yako.
Huwez kuelewa wew ni livuvuzera
 
Mbaya zaidi mahakama imewekwa kando, majaji Na mahakimu wanapigania maslahi yao tu Na kuhakikisha wanapandishwa vyeo Na Rais.haki za watu wameziweka pembeni
 
Muzungu angesikiliza hiyo misemo yenu ya kimasikini reli ya Dar- KGM isingejengwa, English monarchy wanatawala karibia miaka 800 Uingereza hiyo misemo imesemwa sana lkn hadi leo bado wapo .

Angalia maisha yako na familia yako hilo la kukaa Mwanaume mzima ukisubiri Mwanaume mwenzio aliyejituma na kufanikiwa eti aje kushindwa ili msemo wako utimie ashindwe ili ufurahie ni udhaifu, ndo maana wanswake wake zenu wanatembea nje, mko dhaifu sana.

Mwanaume strong haishi kwa misemo, bali anafight, kama unaona Raisi Magufuli hafanyi unavyotaka pambana naye, misemo haikufikishi popote!

APAMBANE NAYE KIVIPI KAMA SI KWA KUSEMA?

AMVIZIE JUKWAANI APAMBANE NAYE KWA MIELEKA, NGUMI, FIMBO KAMA KONGWA AU BUNDUKI?
 
Mpe tena washambaa hao by zito
Maendeleo hayaji kwa kuwabambikia watu kesi, kuminya demokrasia, wapo wapi walionunua kivuko kibovu cha Dsm-Bagamoyo? wapo wapi waliokula chenji ya Rada? wapo wapi waliokula pesa za kiwanda hewa lindi ? Wapo wapi waliouza nyumba za Serikali na kujiuzia nyumba kibao kinyume cha Sheria na zingine kuzigawa kwa hawala ambao hawakuwa watumishi wa umma? Wapo wapi waliotafuta tilion 1.5 wakataka kumtoa CAG kafara? Maisha yapi yanaendeshwa kimiujiza zaidi ya hao waliokula hayo mapesa na wapo wanadunda, maendeleo hayaji kwa kubembelezana kivipi? Mbona Gadafi alikuwa na maendeleo leo hii yupo wapi? Kikwete alikuwa mpole lakini kila mwaka aliongeza kima cha mishahara ya watumishi wa umma na kujenga miundo mbinu pia, kwani kuongoza Nchi ni kukataa kukosolewa? Kuzuia mikutano ya siasa ambayo ipo kisheria ndiyo utawala bora? jibu haya machache kwanza kabla hatujakuletea mengine mengi yaliyosalia
 
Kwanza jua
Hivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?

Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.

Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?

Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.

Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?

Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.
Inabidi mleta hoja hakuna mtu aliyelazimishwa kuomba msamaha na pia wanaoomba msamaha ni kwa hiari yao
Na kwa taarifa jaribu kwenda kwenye hizo familia ndio utajua ukweli kuwa walituujumu au la
 
Hivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?

Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.

Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?

Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.

Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?

Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.
Praise team wamenuna kama wanachomwa sindano ya X-pen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom