My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Hivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?
Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.
Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?
Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.
Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?
Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.