ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 973
- 665
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]Wengi wamekiri makosa ambayo hawakuyafanya ili wapate hata kuuza mali zao walipe hizo pesa na kuwa huru
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]Wengi wamekiri makosa ambayo hawakuyafanya ili wapate hata kuuza mali zao walipe hizo pesa na kuwa huru
Tanzania ni kinyume chake mtukufu akiwa na kinyongo na wewe hata enzi zile akiwa waziri wa Meli ya samaki ya kichina hufukua makaburi kisha kuwaagiza ushughurikiwe haraka na Sheria ya uhujumu uchumi hutumika kirahisi kwa sababu haina Dhamani, ambapo mtuhumiwa husota jela kipindi kirefu akiteseka kisakolojia kwa ujumlaWewe ni idiot. Plea bargaining haiko hivyo si Ulaya si US. Kwa wenzetu plea bargaining haifanyiki kabla ya upelelezi haujakamilika! Ni lazima uwe na vithibitisho na ushahidi fulani vya ukiukwaji wa sheria kabla haujambana mtuhumiwa ili m bargain!
Kibaya zaidi huyo aliyejivika uhalali wa kusamehe anasema usipokiri kosa na kuomba msamaha ukae huko mpaka ufungwe! Hii inamaanisha usipoomba msamaha kwake, utakuwa umebakiwa na sehemu tu ya kufungwa! Je ni nani haamini kwamba mkulu anaingilia mahakama? Na kesi karibu nyingi yeye ndio huamua hukumu iweje, mfano halisi ni kesi ya ubunge wa Tundu Lissu.
Hivi nani anatudangaya kuwa kuongoza nchi ni kazi ngumu? Kuongoza nchi kama kuna ugumu watu wangenawiri kiasi hiko kabla hawajaupata urais? Wangeng'ang'ania madaraka waongeze miaka ya kukaa Ikulu?
Wanafki kama hawa Mkuu wapuuzie tu.
Ninge penda utolee ufafanuzi kwenye hilo kundi la watu 400+ waliyo andika barua no yupi alie lazimishwa kukiriHivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?
Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.
Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?
Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.
Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?
Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.
Wote wanakesi ya kujibu ila uchunguzi unachukua muda mrefu. Pili hawa wahujumu uchumi wanahusika moja kwa moja na kiasi kikubwa cha hela kilichokwenye account za benki hela kubwa kiasi cha kutoweza kuitolea maelezo aliipataje wengine wana mali ambazo hawawezi kuzitolea maelezo. Hizo hela zimeshikiliwa kwenye mabenki hazitumiki sasa kwanini serikali isifanye yaishe nipe hela uwe huru? Tunataka hela tujenge nchi. Ongera JPMHivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?
Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.
Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?
Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.
Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?
Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.
Ndugu huko mitaani wanachangishana wengine kuuza mali zao kwa ajili ya kwenda kuwakomboa ndugu zao magerezani
Point. Kama huwezi kupanda juu ukabadili uongozi basi tii uongozi.
Wote wamelazimishwa kwani mahakama ulikuwa haijawathibitisha kuwa na makosa, wengi wameamua kukiri tu bila kuwa na hatia ili wakwepe mateso wanayopata jela, wapo tayari kuuza mali zao zote wawe huru waanze moja kuliko kuendelea kutaabika magerezaniNinge penda utolee ufafanuzi kwenye hilo kundi la watu 400+ waliyo andika barua no yupi alie lazimishwa kukiri
Katika hili
namuunga mkono rais wangu Magufuri. Wameiba, wanarudisha pesa na kusamehewa. Tabia mbaya sana kupinga kila jema.
Walikula wote
Wote wanakesi ya kujibu ila uchunguzi unachukua muda mrefu. Pili hawa wahujumu uchumi wanahusika moja kwa moja na kiasi kikubwa cha hela kilichokwenye account za benki hela kubwa kiasi cha kutoweza kuitolea maelezo aliipataje wengine wana mali ambazo hawawezi kuzitolea maelezo. Hizo hela zimeshikiliwa kwenye mabenki hazitumiki sasa kwanini serikali isifanye yaishe nipe hela uwe huru? Tunataka hela tujenge nchi. Ongera JPM
Hoja yangu ni ushindane nao. Si humu na fake id' out there kama Tundu Lissu, Mbowe, mdee n.k. Humu Hamna makali.Hoja yako ni nini hapa? Utabadili uongozi bila kushindana nao?
Nyani ni very reasonable animals, tafadhali usiwafananishe na viumbe vya hovyo.Jibu hoja ya mada, usichangie mada ya watu intellectuals wakati wewe ni zero brain, bila kusifia hujala, watu Kama wewe mlipaswa kufanyiwa majaribio na madaktari waliopo mafunzoni maana hueleweki Kama ulitokana na nyani au Binadamu gani wewe
Wa aina hiyo hawakumbuki kitu.Hivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?
Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.
Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?
Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.
Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?
Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.
Wapo wapi akina Gadafi, Chiluba, Mabutu, Sadam Hussein, Abacha na wenzao?Wa aina hiyo hawakumbuki kitu.
Nani kati ya hawa alijua kuna kesho.
Hitler, Mussolini, Franco, Bokassa, Amin, Pinochet na sasa Bashir?
Hoja yangu ni ushindane nao. Si humu na fake id' out there kama Tundu Lissu, Mbowe, mdee n.k. Humu Hamna makali.
Wote hao ni wale wale.Wapo wapi akina Gadafi, Chiluba, Mabutu, Sadam Hussein, Abacha na wenzao?
Mkuu tindo, ingekuwa ni hivyo kungekuwa na utofauti mkubwa sana kwenye uongozi. Embu tangaza maandamano humu JF kupinga jambo lolote uone matokeo yake? Halafu mwenzio aandae maandamano kwenye dunia halisi aone reaction yake.Hao uliowataja wanafanya ushindani kupitia majukwaa rasmi, na huku tunatumia njia mbadala. Cha muhimu ni uzito wa unachoshindania. Hata kwenye soka, ushindi wa timu hauletwi na wachezaji walioko uwanjani tu, ukielewa hilo hoja yako inakufa kifo cha asili.
Kwa taarifa yako kwa sasa huku kwenye mitandao ndio michango halisi isiyo na bugudha wala kuchujwa na yoyote. Ukitaka kujua kwenye jamii unachukuliwaje, basi ingia kwenye mitandao ya kijamii, hapo utapata picha wangalau sio chini ya asilimia hamsini ya ukweli wako.
Mkuu tindo, ingekuwa ni hivyo kungekuwa na utofauti mkubwa sana kwenye uongozi. Embu tangaza maandamano humu JF kupinga jambo lolote uone matokeo yake? Halafu mwenzio aandae maandamano kwenye dunia halisi aone reaction yake.
Tofauti na wenzetu, hapa kwetu mapigano ya mitandao ya Jamii yanaishia mitandao ya Jamii.
Siku max akisema haya kila mtu I'd yake itakuwa halisi ndo mwisho wa wanajeshi wa humu, karibu wote wataunga mkono juhudi bila kuombwa.