Rais Magufuli, kumbuka kuna kesho

Rais Magufuli, kumbuka kuna kesho

Mrs. Mr. Miss underwater. JPM kakukosea nini. Amefanya nini ambacho wewe unaona ungefanya bora zaidi. Unadhani kuongoza nchi ni Kama kuongoza haja Zako. Hata haja kuna wakati zinakosa muafaka. Punguza kuhate. Eti. Dikteta. We ungekaa hapa unaandika huu upuuzi. Pole na majanga. Lipa tu kodi. Maendeleo hayajawahi kuja kwa kubembelezana. Mi mtanzania halisi. Najua maisha yetu tunavyopenda kuendesha kimiujiza. Sasa anza kiuhalisia. JPM yuko mbali sana na maisha yako.
I'm not underwater, but I'm above the water, kukosa kwako akili utateseka Sana
 
Serikali haina pesa ,Magufuli kachezea pesa hovyo, kanunua ndege mbovu, ana miradi kibao, bado katumia pesa kuhonga wapinzani waende CCM, wahisani wamemtosa kwa sababu kaminya Demokrasia na utawala bora, GDP imeshuka, korosho kaiharibia soko, nina mashaka sana pengine tuna Rais mamluki aliyepo maalumu kuimaliza Tanzania.kama alivyokuwa Michael Gorbachev.
Usiwe na mashaka anymore. Huo ndio ukweli. TISS imelala Sana aisee.
 
Nyie ndo wanafiki mliomzunguka Magufuli, mnamdanganya ili apotee, kisha mje kukaa pembeni, yeye ni nani hata asikosolewe?
Unataka nimsifu tu amekuwa Mungu? Kuongoza nchi Siyo kazi ngumu Kama hekima inatumika lakini Kama unaongoza kimabavu ndo utaona ugumu...
Acha kutumia umbumbumbu kuchangia mada zangu, unadai namchukia Magufuli, kwani ni lazima nimpende?
Kumkosoa mtu ni kumchukia?
Nyie wanafiki ndo mnamchukia Sana Magufuli, siku yakimkuta ya kumkuta mtamkimbia wote, wanafiki wakubwa nyie
Mbona kenya Rais wake ni rafiki wa wapinzani na wana maendeleo kuliko Tanzania, watetezi wa CCM wamekariri kuwa kukosolewa ni kosa la jinai na pengine wanajiona wapo sahihi kwa kila kitu hata kama matendo yao yanawaumiza wengi, wapo wapi akina chiluba , Mabutu, Bokasa, Abacha, Albashiri, Sadam Hussein, idd Amin dada na wenzao?
 
Serikali haina pesa ,Magufuli kachezea pesa hovyo, kanunua ndege mbovu, ana miradi kibao, bado katumia pesa kuhonga wapinzani waende CCM, wahisani wamemtosa kwa sababu kaminya Demokrasia na utawala bora, GDP imeshuka, korosho kaiharibia soko, nina mashaka sana pengine tuna Rais mamluki aliyepo maalumu kuimaliza Tanzania.kama alivyokuwa Michael Gorbachev.
Hapo nako neno.
 
Mrs. Mr. Miss underwater. JPM kakukosea nini. Amefanya nini ambacho wewe unaona ungefanya bora zaidi. Unadhani kuongoza nchi ni Kama kuongoza haja Zako. Hata haja kuna wakati zinakosa muafaka. Punguza kuhate. Eti. Dikteta. We ungekaa hapa unaandika huu upuuzi. Pole na majanga. Lipa tu kodi. Maendeleo hayajawahi kuja kwa kubembelezana. Mi mtanzania halisi. Najua maisha yetu tunavyopenda kuendesha kimiujiza. Sasa anza kiuhalisia. JPM yuko mbali sana na maisha yako.
Kwa maana hiyo unamhalalishia uporaji eti hakuna kubembelezana? Kwanini asingesubiri Mahakama iwahukumu kwa Haki kisha aje na hiyo agenda yake?
Hakuna maendeleo yanayopatikana kwa kudhulumu wengine waliotota jasho kufikia maendeleo yao binafsi.
 
1. Chadema: Lowassa fisadi...yo yo yo
2. Chadema: Mgombea uraisi Lowassa kama ni fisadi kwanini hajapekekwa mahakamani???
3. Chadema:Fisadi Lowassa karudi CCM kwa mshangao kapokelewa.

1. mafisadi wanaumiza nchi wamebeba pesa kwenye mifuko ya sandarusi.
2. wameonewa... mbona hakuna ushahidi??
Hivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?

Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.

Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?

Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.

Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?

Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.
 
Nyie ndo wanafiki mliomzunguka Magufuli, mnamdanganya ili apotee, kisha mje kukaa pembeni, yeye ni nani hata asikosolewe?
Unataka nimsifu tu amekuwa Mungu? Kuongoza nchi Siyo kazi ngumu Kama hekima inatumika lakini Kama unaongoza kimabavu ndo utaona ugumu...
Acha kutumia umbumbumbu kuchangia mada zangu, unadai namchukia Magufuli, kwani ni lazima nimpende?
Kumkosoa mtu ni kumchukia?
Nyie wanafiki ndo mnamchukia Sana Magufuli, siku yakimkuta ya kumkuta mtamkimbia wote, wanafiki wakubwa nyie
Mkuu kumkosoa Jiwe ni haki ya msingi kwa kila Mtz. Huwezi kuendesha Nchi kama familia yako. Anaharibu Nchi yetu tukae kimya?
 
Kwa maana hiyo unamhalaliahia uporaja eti hakuna kubemnelezana? Kwanini asingesubiri Mahakama iwahukumu kwa Haki kisha aje na hiyo agenda yake?
Hakuna maendeleo yanayopatikana kwa kudhulumu wengine waliotota jasho kufikia maendeleo yao binafsi.
Wamezoea vya kumdhulumu hata kule South Africa wamemdhulu mkulima wa kizungu kienyeji kwa njia haramu wakatumia pesa nyingi kuikomboa Ndege badala ya kupunguza Deni halali la yule mkulima
 
Hivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?

Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.

Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?

Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.

Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?

Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.
Mkuu inasikitisha sana..
Na vile CJ ni kama takataka basi mambo ni ya ovyo kabisa na anatazama tu.
 
Ondoa hofu mkuu we are in a right track aisee hahahahaha
Serikali haina pesa ,Magufuli kachezea pesa hovyo, kanunua ndege mbovu, ana miradi kibao, bado katumia pesa kuhonga wapinzani waende CCM, wahisani wamemtosa kwa sababu kaminya Demokrasia na utawala bora, GDP imeshuka, korosho kaiharibia soko, nina mashaka sana pengine tuna Rais mamluki aliyepo maalumu kuimaliza Tanzania.kama alivyokuwa Michael Gorbachev.
 
1. Chadema: Lowassa fisadi...yo yo yo
2. Chadema: Mgombea uraisi Lowassa kama ni fisadi kwanini hajapekekwa mahakamani???
3. Chadema:Fisadi Lowassa karudi CCM kwa mshangao kapokelewa.

1. mafisadi wanaumiza nchi wamebeba pesa kwenye mifuko ya sandarusi.
2. wameonewa... mbona hakuna ushahidi??
Sasa ndio umeandika kitu gani?? Embu rudia kusoma ulicho andika kama utaelewa
 
Wewe nadhani ulipokuwa mtoto wazungu walikuharibu huko nyuma na sasa wamekuharibu kisaikolojia siyo bure.
Muzungu angesikiliza hiyo misemo yenu ya kimasikini reli ya Dar- KGM isingejengwa, English monarchy wanatawala karibia miaka 800 Uingereza hiyo misemo imesemwa sana lkn hadi leo bado wapo .

Angalia maisha yako na familia yako hilo la kukaa Mwanaume mzima ukisubiri Mwanaume mwenzio aliyejituma na kufanikiwa eti aje kushindwa ili msemo wako utimie ashindwe ili ufurahie ni udhaifu, ndo maana wanswake wake zenu wanatembea nje, mko dhaifu sana.

Mwanaume strong haishi kwa misemo, bali anafight, kama unaona Raisi Magufuli hafanyi unavyotaka pambana naye, misemo haikufikishi popote!
 
Back
Top Bottom