Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Anayofanya yanaimarisha msingi wa taifa letu kama ukiyatazama kwa jicho la tatu...yah, lakini asifanye mama ambaye yanaharibu misingi ya taifa letu.
Anayofanya yanaimarisha msingi wa taifa letu kama ukiyatazama kwa jicho la tatu...yah, lakini asifanye mama ambaye yanaharibu misingi ya taifa letu.
Tulia tuwasikilize tuliowachangia. Kukusanya fedha kwa jambo jema kama kujenga msikiti ni heshima kubwa. Kila siku tunachangishana masherehe, ndoa, kula na kunywa pamoja kwa nini isiwe sehemu za kumuabudu Mungu?
Sawa bro. Hakufanya kwa upendo. Nyie chochoeni ujinga, utaishia pabaya. Jifanye mfia dini.
Kwa mawazo yako mwajiri wewe Watanzania wengi hawawezi hata kumpa kazi ya kufagia, kajamaa kajinga sana wacha kaendelee kupumuliwa kisogoni. Ubunge wake umewasaidia nini wale waliomchagua? Analilia huruma tu huyo tumemzoea.Lissu ni Mwanaharakati makini, Ni Mwanasheria Nguli, ni Wakili Msomi, alikuwa ni Mbunge Machachari, Ni kiumbe jasiri! Hastahili kupaishwa na mtu yoyote yule! Anajipaisha mwenyewe.
Kwani kuna ubaya gani kilaza mwenzanguNdio aende akachangishe pesa za ujenzi wa msikiti kanisani we kilaza?
Kwahiyo waislma wa 2011 walikuwa halali kukataa pesa zilizochangwa na waislam wenzao kisa tu aliyeongoza ni mbowe na waislam wa 2020 mnakubali pesa za wakristo (makafir kama mnavyowaita, huku zingine zikiwa zimepatikana kwa kuuza kitimoto) kisa tu zimechangishwa na Rais?Mambo ya 2011 yanaingiaje hapa?halafu usimfananishe mbowe (dj) na Rais umekosea
HUJAELEWAkwahiyo waislma wa 2011 walikuwa halali kukataa pesa zilizochangwa na waislam wenzao kisa tu aliyeongoza ni mbowe na waislam wa 2020 mnakubali pesa za wakristo (makafir kama mnavyowaita, huku zingine zikiwa zimepatikana kwa kuuza kitimoto) kisa tu zimechangishwa na Rais?
Ndio maana nataka kueleweshwa, je ilikuwa ni haramu mbowe kuchangisha michango ya kujenga msikiti kwenye swala la ijumaa, ila ni halali magufuli kuchangisha pesa ya kujenga msikitini tena kanisani?HUJAELEWA
Nimekumbuka jambo nikuongezee! Malaya (mzinifu) huondolewa haya. Miongoni mwa malaya wakubwa ni pesa kila mahali inalala inapita inatumika tofauti ni kwa waislam, pesa ina ina mipaka ya kukusanya, kuitafuta, kuitunza, hata kuitumia. Ukimkuta alie kinyume na uislamu inapasa wewe umwambie achunge hiyo mipaka ya umalaya wa pesa. Vinginevyo ndio hii shida wanasiasa wengi hawajui mipaka na wanaopasa kuwambia wachunge mipaka wapo kimya au nao ni wanasiasa hawajui umalaya wa pesaKwahiyo kila atakae kwenda Ikulu atajenga kanisa lake why government inajichanganya hivi?.
Rais unachanganya watanzania . Kuruhusu Roman Catholic liwe na kanisa ikulu vipi waislam vipi mathehebu mengine? Ina maana kila Rais awe anajenga ikulu makanisa na misikiti? Hili umeharibu mzee wangu.