Tundu Lissu aelewe Kuchangiana ni Utamaduni wa Watanzania, hata Mbowe alilikabidhi KKKT Machame Mchango wa Tsh. Milioni 150 kutoka kwa Rais Samia

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,943
143,555
Kwa mfano Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia alishiriki Birthday ya Mbunge Mstaafu wa Chadema Mbeya Mjini Bilionea Sugu kuna ubaya gani Sugu Kuomba hela ya Kampeni kwa mama

Au pale Kanisani Machame KKKT Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe alikabidhi Mchango wa TSH 150 mil za Ujenzi wa Kanisa zilizotolewa na Rais Samia

Au pale Kanisani Rombo KKKT Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe, Halima Mdee,Dr Mwigulu, mbunge Saashisha, mbunge Sanga, mbunge Bulaya kwa Umoja wao walikabidhi Mchango wa Fedha za kumnunulia V 8 Askofu Dr Shoo

Hata pale Kanisani Chamwino Kanisa Moja Takatifu La Mitume Shujaa Magufuli alichangisha Harambee ya Ujenzi wa Msikiti

Mifano ni mingi sana hivyo isiwe Nongwa Leo Wagombea wa Chadema Akina Pambalu kuchangiwa na Marafiki zao wa CCM Akina Jokate

Kifupi Hoja ya Tundu Antipas Lissu haina mashiko kwani hata yeye amewahi kuchangiwa na Marafiki zake kutoka CCM

Jumaa Kareem.
 
Tumekuelewa na ujumbe umefika!! Pesa imemwagwa kusimika mamluki
 
Back
Top Bottom