Rais Magufuli aongeza muda kwa usajili wa laini kwa alama za vidole

Aisee! Pole sana. Ahueni nilienda kwenye maduka ya mitandao husika. Wale vijana wanaozunguka mitaani, inahitaji uwe jasiri sana kuwaamini.

Wengi ni wahuni na wajanja wajanja sana. Wanachulia zoezi hilo kama fursa kwao ya kujipatia fedha kinyume na utaratibu.
 
Fanya uhalifu na simu iliyosajiliwa kwa alama za vidole uone! Simu yako itaunganishwa na kitambulisho cha NIDA hakuna kanjanja tena!
 
Uchaguzi ndio huo unakuja, what could be behind that motive ya hili zoezi mpaka Mkuu wa kaya analishupalia? tena kweli kweli! Kama nchi hii isingelikuwa nchi ya manyang'au nisingelikwenda mbali kote huko! Upinzani kuwezi macho!
We huelewi tuu
Ndio Mana tunataka Vijana kwanzia Miaka 18 na kuendelea
 
Kuna siku niliona tangazo la kazi huko serikalini eti waombaji waombe maombi ya kazi na kutuma maombi yao kwa email kwa kutumia laptop.Yaani huitataji kuwa na PhD kujua hawa watu wanatafuta nini, kuna nchi zina watu zaidi ya sisi na simu zap hazijasajiriwa lakini watu bado wanakamatwa kama walitumia hizo simu zao kufanya mawasiliano wakati wakifanya uharifu,

Sasa swali lakujiuliza tiss wanafanyaje kazi au ndio Ile kutunga sheria kwa ajiri ya kulenga watu fulani fulani, kwa namna hiyo hatufiki kokote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom