Nyumbu wa mtaa wa ufipa Ni shida ndio nini kuweweseka hiviHatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa.
Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa la Tanzania kuamua kuigawa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Nimpe tu rai Rais Magufuli kuwa anachokusudia kukifanya ni aibu ya ustawi wa Tanzania mbele ya jumuiya za kimataifa. Narudia tena, Rais anaidhalilisha Tanzania kwa hili.
Ikiwa waangalizi hawatofika nchini (Na kwa uhakika wengi wao hawatofika kutokana na jinsi tunavyoenda) basi itatuletea matokeo mabaya sana huko mbeleni.
Nchi ya Tanzania kati ya mwaka 2021 hadi 2025 itakuwa imeingia kwenye kundi la nchi zenye uongozi usioeleweka, hii ni hatari kubwa sana.
Leo kumbe hata fedha za kuendesha uchaguzi mkuu tumenyimwa! Sasa huo uchaguzi utakuwa vipi wa haki? Wastaafu hata hili hawalioni? Tunaelekea wapi kama Taifa ambalo tunajidai kukuza demokrasia?
Lowassa kila mwana sisiemu alikua nae...lowassa alikua zaidi ya membe!Yeye hata afenyeje membe lazima achukue fomu na atamshinda uzuri ni kwamba 90% ya wanaccm tuko na membe
Atleast ananogesha uchaguzi...Lolote linawezekana nw
Wewe tumeahakuzoea ni debe tupuKuna kitu kikubwa sana hukielewi wewe na wafuasi wenzako wa Rais Magufuli.
Kuna mtu watamwambia aende kuchukua fomu ili waonyeshe Kuna demokrasia na mtu huyo atashinda kimasihara make wengi pale lumumba wamemchoka baba mwenye nyumbaYeye hata afenyeje membe lazima achukue fomu na atamshinda uzuri ni kwamba 90% ya wanaccm tuko na membe
Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa.
Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa la Tanzania kuamua kuigawa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Nimpe tu rai Rais Magufuli kuwa anachokusudia kukifanya ni aibu ya ustawi wa Tanzania mbele ya jumuiya za kimataifa. Narudia tena, Rais anaidhalilisha Tanzania kwa hili.
Ikiwa waangalizi hawatofika nchini (Na kwa uhakika wengi wao hawatofika kutokana na jinsi tunavyoenda) basi itatuletea matokeo mabaya sana huko mbeleni.
Nchi ya Tanzania kati ya mwaka 2021 hadi 2025 itakuwa imeingia kwenye kundi la nchi zenye uongozi usioeleweka, hii ni hatari kubwa sana.
Leo kumbe hata fedha za kuendesha uchaguzi mkuu tumenyimwa! Sasa huo uchaguzi utakuwa vipi wa haki? Wastaafu hata hili hawalioni? Tunaelekea wapi kama Taifa ambalo tunajidai kukuza demokrasia?
Mkuu huu uzi hauhitaji hata hoja. Unajua kuwa Spain wamekufa watu zaidi ya elfu ishirini na nchi yao inafunguliwa sasa?.Toa hoja
Wasipokuja hatutakuwa salama mbele ya safari, tujiandae kufunga mikanda.Kwetu wamegoma mkuu! Hawaji
Spain kwani hawakuidhibiti CoronaMkuu huu uzi hauhitaji hata hoja. Unajua kuwa Spain wamekufa watu zaidi ya elfu ishirini na nchi yao inafunguliwa sasa?.
Kuna kinamama wanaishi kwa kuuza mahindi na ndizi za kutembeza juu ya sinia, wakikaa ndani unaweza kuzilisha familia zao?.
Usikubali akili yako ikafunga ndoa na siasa kwa asilimia mia moja.Spain kwani hawakuidhibiti Corona
Jibu swali.Pamoja na utu uzima wako bado huwezi kufikiri sawasawa?
Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa.
Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa la Tanzania kuamua kuigawa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Nimpe tu rai Rais Magufuli kuwa anachokusudia kukifanya ni aibu ya ustawi wa Tanzania mbele ya jumuiya za kimataifa. Narudia tena, Rais anaidhalilisha Tanzania kwa hili.
Ikiwa waangalizi hawatofika nchini (Na kwa uhakika wengi wao hawatofika kutokana na jinsi tunavyoenda) basi itatuletea matokeo mabaya sana huko mbeleni.
Nchi ya Tanzania kati ya mwaka 2021 hadi 2025 itakuwa imeingia kwenye kundi la nchi zenye uongozi usioeleweka, hii ni hatari kubwa sana.
Leo kumbe hata fedha za kuendesha uchaguzi mkuu tumenyimwa! Sasa huo uchaguzi utakuwa vipi wa haki? Wastaafu hata hili hawalioni? Tunaelekea wapi kama Taifa ambalo tunajidai kukuza demokrasia?
Hawajifunzi alama za nyakatiKuna mmoja alijaribu kufanya hivyo kilichomkuta R.I.P
Uchaguzi ufanyike, waangalizi waje.