Rais Magufuli ampongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden na Makamu wake kwa ushindi uchaguzi mkuu. Amhakikishia kuendeleza uhusiano

Huko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.

Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.

Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
Hayo aliyokuwa akilalamikia DJT baada ya kubwagwa ni nini? Au alikuwa akicheza "sengeli" ya ki US? Nendeni nanyi Kisutu makpinge matokeo, kwani wagombea wa Ubunge hakuna walioshindwa ili waende Kisutu!? Mnang'ang'ania za Urais ambazo hata Bob kesha zikatia tamaa - 84% wewe unadhani ni USHINDI wa mchezo?!
 
Una aibisha wajita wote futa hilo jina mara moja! hkn Mjita wala Mruri wala Mkwaya kibaraka Kama weye! muone kwnza au nyie ndo Masalia yenyewe .

kwa taarifa yako hata hapo alipo hana raha ni masimango moyoni na mwisho wake ni mbaya tu, aweza jinyonga yule mkimuacha sana. simchukii yeye km yeye nachukia vitendo vyake hata Mungu hapendi.

Dunia inamzomea najua umepewa vibari na kiji- leseni Bure ka kuendesha kigari chako cha abiria kutoka Musoma mjini kwenda Bwai kwitururu! jinga weye!!
Huyu vipi, mbona naye anakuja na MIROPOKO isiyo eleweka humu JF? Hayo majina na makabila unayosema ni kama uko NDOTONI. Amka wewe! Lete hoja acha.na na kuendekeza MAMBO YA KIJINGA.
 
Mimi si mwanachama wala shabiki wa chama chochote kile, ila napenda kilichoandikwa kifuatwe na kibadilike kama hakitendi haki. Maoni yangu ni kuhusu katiba ya Tanzania na mahakama za Tanzania na sio ICC.
Katiba mbona iko poa tu!??? Labda unamaanisha ibadilishwe kipengele cha ukomo wa madaraka ya Rais. Hapo sawa!!!
 
Huko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.

Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.

Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
Mmeanza.Huko Ziliibiwa kwa njia ya Posta.
 
View attachment 1623842

Namnukuu
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect
@JoeBiden
and Vice President-elect
@KamalaHarris
on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...
Hata hiki "kingeleza" kimeimpuluvu.
 
Huyu vipi, mbona naye anakuja na MIROPOKO isiyo eleweka humu JF? Hayo majina na makabila unayosema ni kama uko NDOTONI. Amka wewe! Lete hoja acha.na na kuendekeza MAMBO YA KIJINGA.
Na bado mtakoma tu, Mujinga ni wewe yego! mimi siyo mujinga bhana! hilo li magu renu tena litakimbia ritaacha kiti. mimi sina Hasira, wewe ndiyo umejaa hasira unasema mambo yasiyo eleweka sasa!

kwani miropoko ni nini? nieleze!! hata kwenye Dictionary halimo! usiongee kilugha hapa! umesoma kweli wewe mkaruka? acha jazba utakuwa huzai sababu ya avatar usiyoijua!! Muraa nirete hoja au oja? sema moja nikuelewe!! au ongea kidhungu kabisa si mko kenya?

hili neno lako mura halipo kwenye Dictionary ya kiswahili, anza upyaa! ila usipasue computer yako sijui simu!!!
 
Huko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.

Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.

Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
Nyie Watu si Mfeee tu Maana Hii Dunia sio Sehemu Bora kwenu mtalalamika mpka mfeeeee
 
Na bado mtakoma tu, Mujinga ni wewe yego! mimi siyo mujinga bhana! hilo li magu renu tena litakimbia ritaacha kiti. mimi sina Hasira, wewe ndiyo umejaa hasira unasema mambo yasiyo eleweka sasa!

kwani miropoko ni nini? nieleze!! hata kwenye Dictionary halimo! usiongee kilugha hapa! umesoma kweli wewe mkaruka? acha jazba utakuwa huzai sababu ya avatar usiyoijua!! Muraa nirete hoja au oja? sema moja nikuelewe!! au ongea kidhungu kabisa si mko kenya?

hili neno lako mura halipo kwenye Dictionary ya kiswahili, anza upyaa! ila usipasue computer yako sijui simu!!!
Huwa sijibu UPUUZI kama huu.
 
Back
Top Bottom