Rais Samia atuma salamu za pongezi kwa Rais Mteule wa Senegal

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
45,745
52,941
Ukiacha African Brotherhood,Samia alikuwa ndio mgeni mashuhuri kwenye Mkutano wa Kilimo wa Afrika Mjini Dakar.

===

I am conveying my sincere congratulations to His Excellency Bassirou Diomaye Faye, President-elect of the Republic of Senegal, on your victory in the 2024 Senegalese presidential election; and to the Senegalese people for a peaceful election. You have my best wishes.

I am looking forward to continue working together to strengthen the relations between Tanzania and Senegal.

Safi sana.Naamini Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania atahudhuria katika sherehe za uapisho wa Rais Huyo mteule wa Senegal, ili kufanya naye mazungumzo mawili matatu katika ushirikiano wa nchi yetu na Senegal katika masuala ya diplomasia.
 
Ukiacha African Brotherhood,Samia alikuwa ndio mgeni mashuhuri kwenye Mkutano wa Kilimo wa Afrika Mjini Dakar.

===

I am conveying my sincere congratulations to His Excellency Bassirou Diomaye Faye, President-elect of the Republic of Senegal, on your victory in the 2024 Senegalese presidential election; and to the Senegalese people for a peaceful election. You have my best wishes.

I am looking forward to continue working together to strengthen the relations between Tanzania and Senegal.View: https://twitter.com/wasafifm/status/1772907623425200632?t=FoHTZjjQ3zWwewaY-S71kA&s=19
 
Amefanya vizuri kumpongeza maana huyo ni rais ambaye amechaguliwa na wananchi Kwa tume huru na haki tofauti na yeye kaupata urais pasipokutarajia(kurithi)
Ndio Raisi pekee kijana Afrika ana miaka 44

Senegal wameamka wameona nchi kushikwa na vizee vikongwe haisogei

Kijana yuko vizuri msomi mzuri wa sheria .Nchi yake ni ya kifaransa na lugha kubwa kifaransa lakini yeye anaongea kiingereza pia fasaha kilichonyooka

Vijana ndio.population kubwa kwa sasa kwa mujibu wa sensa

Viongoxi wazee kuanzia vyama vyote vya Siasa wawe CCM,Chadema, UDP ,CUF ,ACT Wazalendo nk anzeni kupisja vijana kwenye nafasi za uongozi kuanzia chini hadi juu taifa kuanzia kwenye vyama vyenyewe,serikalini na bungeni .Vikongwe ondokeni pisheni vijanq msisubiri mpaka yatokee ya Senegal wananchi wakatae vikongwe

Tabu ya vikongwe vikishika madaraka vinageuza kuwa 8chifu haviamini kuwa vijana wanaweza wakati wao wenyewe walianza kuaminiwa wakiwa vijana .Nyerere alipewa Uraisi akiwa kijana wa miaka 29 tu mwaka 1961 Tanzania ilipopata uhuru.Akawa Raisi wa Tanganyika akiwa na miaka 29 na akiwa kiongozi wa chama cha TANU kitaifa akiwa na miaka 32

Asante wa Senegal kuchagua raisi kijana
 
Amefanya vizuri kumpongeza maana huyo ni rais ambaye amechaguliwa na wananchi Kwa tume huru na haki tofauti na yeye kaupata urais pasipokutarajia(kurithi)
Hayo ndio matunda ya tume huru, hakuna longolongo, vijana wamechagua wampendae.
 
Ukiacha African Brotherhood,Samia alikuwa ndio mgeni mashuhuri kwenye Mkutano wa Kilimo wa Afrika Mjini Dakar.

===

I am conveying my sincere congratulations to His Excellency Bassirou Diomaye Faye, President-elect of the Republic of Senegal, on your victory in the 2024 Senegalese presidential election; and to the Senegalese people for a peaceful election. You have my best wishes.

I am looking forward to continue working together to strengthen the relations between Tanzania and Senegal.imhotep kuna wito wako huku
 
Back
Top Bottom