Comte humu usitegemee michango ya maana kwa post nzuri kama hii. Chagua wa kuwajibu, yatakuja matakataka mengi hapaKumbe majaji wetu na mahakimu wanabanwa na sheria kutoa hukumu zao kwa kiingereza. Ukaidi umemfanya Jaji Galeba kutoa hukumu yake kwa kiswahili na kuwa amevunja sheria hiyo. Hata hivyo ukaidi wakati mwingine ni muhimu ili kulazimisha mfumo ubadirike. Kwa ukaidi wake Jaji Galeba kapata cheo na huenda mfumo ukabadirika hivyo kufaidika mara mbili. HONGERA JAJI GALEBA
Mkuu hapa hatujadili uhalali wake tunajadili uteuzi wake- kama vipi hamia UbelgijiHuyu siyo Jaji wa mahakama ya Rufaa, ametokana na ubatili na lolote atakalolifanya ni ubatili. Hukumu yoyote atakayoitoa ni batili!
Mkuu Retired NIMEKUELEWA infact yameshaanzaComte humu usitegemee michango ya maana kwa post nzuri kama hii. Chagua wa kuwajibu, yatakuja matakataka mengi hapa
Sheria ya kipuuzi, no wonder wanavaa yale mawigi ili waonekane wanabusara kama wazungu!!!?Kumbe majaji wetu na mahakimu wanabanwa na sheria kutoa hukumu zao kwa kiingereza. Ukaidi umemfanya Jaji Galeba kutoa hukumu yake kwa kiswahili na kuwa amevunja sheria hiyo. Hata hivyo ukaidi wakati mwingine ni muhimu ili kulazimisha mfumo ubadirike. Kwa ukaidi wake Jaji Galeba kapata cheo na huenda mfumo ukabadirika hivyo kufaidika mara mbili. HONGERA JAJI GALEBA
Story yako inatufundisha nini wanyonge?Kumbe majaji wetu na mahakimu wanabanwa na sheria kutoa hukumu zao kwa kiingereza. Ukaidi umemfanya Jaji Galeba kutoa hukumu yake kwa kiswahili na kuwa amevunja sheria hiyo. Hata hivyo ukaidi wakati mwingine ni muhimu ili kulazimisha mfumo ubadirike. Kwa ukaidi wake Jaji Galeba kapata cheo na huenda mfumo ukabadirika hivyo kufaidika mara mbili. HONGERA JAJI GALEBA
Hayo mawigi umeona ktk sinema za kinaijeria au mahakama za Tanzania? Una picha yeyote inayoonyesha Jaji au wakili wa kitanzania kavaa hilo wigi!!! Kila taaluma ina mfumo wake na kuazima vya nje si vibaya. Hata uniform nyota za wanajeshi tumerithi kwa wazungu hata mifumo ya jeshi tumerithi kwa wazungu waambie wanajeshi wavae migolole kama Mkwawa basiSheria ya kipuuzi, no wonder wanavaa yale mawigi ili waonekane wanabusara kama wazungu!!!?
Hajui kingereza kama aliyempandisha cheoKumbe majaji wetu na mahakimu wanabanwa na sheria kutoa hukumu zao kwa kiingereza. Ukaidi umemfanya Jaji Galeba kutoa hukumu yake kwa kiswahili na kuwa amevunja sheria hiyo. Hata hivyo ukaidi wakati mwingine ni muhimu ili kulazimisha mfumo ubadirike. Kwa ukaidi wake Jaji Galeba kapata cheo na huenda mfumo ukabadirika hivyo kufaidika mara mbili. HONGERA JAJI GALEBA
Sheria ya mwaka gani, inaitwajeHukumu zinatakiwa ziwe kwa kiingereza kwa mjibu wa sheria
Rais Magufuli amesema amemteua Jaji Galeba kutokana na ushujaa wake wa kuandika hukumu kwa Kiswahili licha ya utaratibu uliopo katika mahakama mbalimbali hukumu kuandikwa kwa Kiingereza.Sheria ya mwaka gani, inaitwaje
Hata swali hujajibuRais Magufuli amesema amemteua Jaji Galeba kutokana na ushujaa wake wa kuandika hukumu kwa Kiswahili licha ya utaratibu uliopo katika mahakama mbalimbali hukumu kuandikwa kwa Kiingereza.
Jaji mkuu Tanzania aeleza mchakato hukumu kuandikwa kwa Kiswahili
Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amemueleza Rais John Magufuli kuwa mahakama imeanza mchakato wa hukumu kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili badala ya Kiingereza.www.mwananchi.co.tz
Mkuu nadhani hii ni mahsusi kwa mahakama ya kazi tu kuanzia huko CMAHuyo hata hajakaidi sheria na kanuni za kazi zinaruhusu kuandika hukumu kwa Kiswahili au kingereza mhe jaji kaonesha uthubutu nakuondoa mazoea View attachment 1692739
Ukaidi unafaidaStory yako inatufundisha nini wanyonge?
Tafuta jibu humo limoHata swali hujajibu
Sijaona jina la sheria na ni mwaka ganiTafuta jibu humo limo
Mkuu nadhani hii ni mahsusi kwa mahakama ya kazi tu kuanzia huko CMA
Wangesema both versions ie Swahili and EnglishKutoa hukumu Kwa kiswahili ni jambo jema watz wengi hatuifahamu vyema lugha ya kingereza