Rais Magufuli ampandisha cheo Jaji Zephrine Galeba aliyetoa hukumu kwa lugha ya Kiswahili kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa

Huyu siyo Jaji wa mahakama ya Rufaa, ametokana na ubatili na lolote atakalolifanya ni ubatili. Hukumu yoyote atakayoitoa ni batili!
 
Kumbe majaji wetu na mahakimu wanabanwa na sheria kutoa hukumu zao kwa kiingereza. Ukaidi umemfanya Jaji Galeba kutoa hukumu yake kwa kiswahili na kuwa amevunja sheria hiyo. Hata hivyo ukaidi wakati mwingine ni muhimu ili kulazimisha mfumo ubadirike. Kwa ukaidi wake Jaji Galeba kapata cheo na huenda mfumo ukabadirika hivyo kufaidika mara mbili. HONGERA JAJI GALEBA
Comte humu usitegemee michango ya maana kwa post nzuri kama hii. Chagua wa kuwajibu, yatakuja matakataka mengi hapa
 
Huyu siyo Jaji wa mahakama ya Rufaa, ametokana na ubatili na lolote atakalolifanya ni ubatili. Hukumu yoyote atakayoitoa ni batili!
Mkuu hapa hatujadili uhalali wake tunajadili uteuzi wake- kama vipi hamia Ubelgiji
 
Kumbe majaji wetu na mahakimu wanabanwa na sheria kutoa hukumu zao kwa kiingereza. Ukaidi umemfanya Jaji Galeba kutoa hukumu yake kwa kiswahili na kuwa amevunja sheria hiyo. Hata hivyo ukaidi wakati mwingine ni muhimu ili kulazimisha mfumo ubadirike. Kwa ukaidi wake Jaji Galeba kapata cheo na huenda mfumo ukabadirika hivyo kufaidika mara mbili. HONGERA JAJI GALEBA
Sheria ya kipuuzi, no wonder wanavaa yale mawigi ili waonekane wanabusara kama wazungu!!!?
 
Kutoa hukumu Kwa kiswahili ni jambo jema watz wengi hatuifahamu vyema lugha ya kingereza
 
Kumbe majaji wetu na mahakimu wanabanwa na sheria kutoa hukumu zao kwa kiingereza. Ukaidi umemfanya Jaji Galeba kutoa hukumu yake kwa kiswahili na kuwa amevunja sheria hiyo. Hata hivyo ukaidi wakati mwingine ni muhimu ili kulazimisha mfumo ubadirike. Kwa ukaidi wake Jaji Galeba kapata cheo na huenda mfumo ukabadirika hivyo kufaidika mara mbili. HONGERA JAJI GALEBA
Story yako inatufundisha nini wanyonge?
 
Sheria ya kipuuzi, no wonder wanavaa yale mawigi ili waonekane wanabusara kama wazungu!!!?
Hayo mawigi umeona ktk sinema za kinaijeria au mahakama za Tanzania? Una picha yeyote inayoonyesha Jaji au wakili wa kitanzania kavaa hilo wigi!!! Kila taaluma ina mfumo wake na kuazima vya nje si vibaya. Hata uniform nyota za wanajeshi tumerithi kwa wazungu hata mifumo ya jeshi tumerithi kwa wazungu waambie wanajeshi wavae migolole kama Mkwawa basi
 
Huyo hata hajakaidi sheria na kanuni za kazi zinaruhusu kuandika hukumu kwa Kiswahili au kingereza mhe jaji kaonesha uthubutu nakuondoa mazoea
9082dc29-cd12-4b5e-9dd2-1667d10eb7c1.jpg
 
Kumbe majaji wetu na mahakimu wanabanwa na sheria kutoa hukumu zao kwa kiingereza. Ukaidi umemfanya Jaji Galeba kutoa hukumu yake kwa kiswahili na kuwa amevunja sheria hiyo. Hata hivyo ukaidi wakati mwingine ni muhimu ili kulazimisha mfumo ubadirike. Kwa ukaidi wake Jaji Galeba kapata cheo na huenda mfumo ukabadirika hivyo kufaidika mara mbili. HONGERA JAJI GALEBA
Hajui kingereza kama aliyempandisha cheo
 
Sheria ya mwaka gani, inaitwaje
Rais Magufuli amesema amemteua Jaji Galeba kutokana na ushujaa wake wa kuandika hukumu kwa Kiswahili licha ya utaratibu uliopo katika mahakama mbalimbali hukumu kuandikwa kwa Kiingereza.
 
Hata swali hujajibu
 
Back
Top Bottom