kwani ulimpigia kura mkuuTumeliwa!!!
kwani ulimpigia kura mkuuTumeliwa!!!
kwani ulimpigia kura mkuuTumeliwa!!!
Tetemeko limemuokoa!Sio kweli kabisa tetemeko linatumika kama sababu tuu
Kwani wote wanaohudhuria mkutano wa UN wanajua lugha ya Malkia?Hapa ndo namkumbuka mwalimu wangu wa kiswahili ..Nga na Ngeli... Ningelijua!... Now Najuta
POGBA
Mbona sijazungumzia lugha ndugu.Kwani wote wanaohudhuria mkutano wa UN wanajua lugha ya Malkia?
SANA.....Huyu anatudhoofisha kimataifa
Mkuu polepole usijeambiwa wewe ni mchochezi.Wewe Chige wacha sifa za kijinga, kwani lini alikuwa amepanga kwamba ataenda kwenye huo mkutano mpaka "avunje?" Hii mbona ilikuwa inajulikana tangu mapema kwamba hataenda?!! Tetemeko lisitumike kisiasa, kwani mkuu wa mkoa hatoshi kupokea hiyo misaada? Waziri mkuu hatoshi kuratibu hayo matokeo ya tetemeko? Tuache siasa bali tuwe wakweli kwamba hatuwezi kukaa na wazungu saa 10, matokeo yake tutakuwa mabubu!! Atume mwakilishi (makamu anatosha aende tu) maana tulishaliwa hapa!! Hiiiiiii Lubuva huyu!!
Sio kweli kabisa tetemeko linatumika kama sababu tuu
NOTE: Mada mbalimbali zitajadiliwa kwenye mkutano huo lakini moja ya mada ambayo inatarajiwa kuwa na msisimko ni ile itakayozungumzia wimbi la Wakimbizi na Wahamiaji duniani. Kwa mujibu wa tovuti ya Umoja wa Mataifa, hii ni mara ya kwanza Mkutano Mkuu wa UN kukutanisha wakuu wa nchi kujadili suala hilo.
Pamoja na hilo la Wakimbizi na Wahamiaji, pia kutakuwa na kikao muhimu sana ambacho kitachukua takribani 70% ya mkutano wote kutokana na umuhimu wake. Huu ni mdahalo unaolenga kuzungumzia malengo ya maendeleo endelevu na nafasi yetu katika kusukuma mabadiliko ya kufikia malengo hayo.
United Nations
Mada zinatugusa watanzania, Tumekuwa wahanga wa kupokea wakimbimzi kutoka nchi jirani,Ni bora angeenda kulisema kuwa msaada unaotolewa aukidhi na uhalibifu wa mazingira
Mh Hakwenda Zambia ili ashughlikie mafuriko ila cha ajabu ameshindwa hata kwenda kuwafariji wahanga badala yake anawaambia wafanye kazi tetemeko halijaletwa na serikali. Sasa kama tetemeko hajalileta yeye kinachomzuia kwenda UN ni nini.? ushirikiano wa kimataifa ni muhimu asee asikwambie mtu, kujifungia ndani mwaka mzima sio issue.IFIKE MAHALI WATANZANIA TUACHE HUU UPAMBAVU PAMOJA NA UNAFIKI! Inafika mahali unashindwa kuelewa kama kuna watu wamepata ajira ya kutumia JF kwa kuwakilisha mawazo potofu ya vikundi fulani. Ni aibu KUBWA kwa sisi Watanzania ambao huu UJINGA NA UHUNI hatukuwa nao wala haukuwa katika malezi YETU kama watanzania.
Inakauwaje mtu anaanza kumuandama MHS Rais hapa JF na sababu za kijinga kama hizi? Hebu tujiulize haya:
1. Kwani ni lazima Mhs Rais aende kwenye ule mkutano? Jibu ni kuwa si lazima! Sasa wewe au nyie mnawashwa NINI? Tatizo deal zenu za kisanii zimekosa milango ndo maana mnatoa mawazo ya kijinga kama haya.
2. Mhs Rais tumemchagua sisi, na wala si nyie tu hicho kikundi cha KIJINGA. Koma kabisa kutumia JF kama sehemu ya kutoa mawazo HASI kwa watu ambao wamechaguliwa na asilimia kubwa ya watanzania na si nyie hicho kikundi kidogo.
3. Kumbuka kuwa hata mfanye NINI he is here to STAY na ataendelea kusafisha site ili nyumba itakayojengwa iwe imara kwa vizazi vingi vijavyo.
4. Kwa wale ambao wana itikadi zingine mbali na za Mhs Rais, tueleze mnataka kufanya NINI? Kulea UOZO ili deal na missions zenu ziendelee? Hizo ndizo agenda za kuleta maendeleo ENDELEVU? Au tueleze kama mngekuwa serikalini mngelifanya NINI kwanza? Fanya hata the so called political dev simulation tuone mngelifanya nini pamoja na predictions zenu? Acha kabisa mawazo ya kijinga jaribu kuongea vitu vyenye tija kwa watu wetu na taifa lao.
5. IKUMBUKWE nchi ilikuwa IMEOZA na MHS Rais anafanya vizuri. Na hata nyie mkiendeleza mbinu zenu za kutaka kumkatisha TAMAA na kutuchanganya sisi tulio mchagua basi MNAJIDANGANYA kabisa. Tuko na yeye na matundu yanukuja ingawa si leo lkn yatakuja.
Hongera Mhs Rais wetu kipenzi na usikatishwe tamaa na hiki kikundi kidogo cha kIHUNI tu. TOGETHER AHEAD. MUNGU ibariki Tanzania na watu wake.
Nilikuwa nampa tahadhari member mwenzangu, kwani kwa sasa nchini TZ "Uchochezi" ni neno au maneno yoyote yenye lengo la kuikosoa ofisi ya rais au rais mwenyewe. Haitahesabika kama uchochezi endapo tu Mtanzania atatamka au kuandika neno lolote ambalo litaisifia ofisi ya Rais au Rais mwenyewe. Mwisho wa kunukuuUskoleze na ww