Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Always too much is harmful!!!
What's the main reason to divert from many international meetings and forums from time to time????
Kama English ndo tatizo aende na wakalimani jamani
Haaaaaaa aibu hiii sasa wazalendo
 
Aliyekuwa anaenda bila kukosa mahudhurio mlimuita Vasco Dagama. Anayebana matumizi....mnamponda humu. WaTanzania tunataka nini?

By the way UN New York.....ni kitu gani kipya anahitaji kwenda kufanya? maana maximum time ya kuongea kwa kila Kiongozi ni dakika tano! Na mara nyingi kumbi zinakuwa empty! wakubwa wameshaondoka.

WATANZANIA tuamke...Tanzania ya Magufuli ni ukurasa mwingine. You either adapt or perish!
Hivi we unadhani kazi kubwa inayompeleka Rais ni hotuba ya dk.5? Pale Rais anakutana na marais karibu wote duniani. Kuna maongezinya kibiashara yanafanyika pale ambayo yangeisaidia tanzania. Na ni maongezi ambayo Rais pekee anaweza kufanya...sio waziri mkuu au makamu wa rais.

Kama kweli ana nia ya kubana matumizi...angekosa safari zote zingine lakini akaenda hii ya UN. Maana pale angekutana na marais wengi kwa safari moja.
 
Hahahaha futa tu ,ashageuza swala la tetemeko mtaji

Alipofuta ya Zambia ,Kagera alionekana ?
 
Always too much is harmful!!!
What's the main reason to divert from many international meetings and forums from time to time????
Kama English ndo tatizo aende na wakalimani jamani
Haaaaaaa aibu hiii sasa wazalendo
Mkuu unajua for 20 years (BM+JK) marais wetu wamekua former foreign ministers. Kwahiyo nyota yetu kimataifa ilipanda sana. Sasa huyo jamaa anatishia kuisigina kazi ya miaka 20 kwa miaka mitano tu.
 
Sio wote wanaokwenda huko wanajua au wanatumia Kiingereza. Ni akili zako za kitumwa ndio zinakufanya ufikirie hivyo.

Kule unaweza kuongea hata kisukuma na utasikilizwa tu. Tatizo ukitoka hapo unakuta BBC, CNN, DW, Aljazeera wanakusubiri na wanagonga maswali kisawasawa ukileta ubabe lazima kamasi zikutoke na usisahau kule Nape hana jurisdiction kwamba atazuia boko zako zisiripotiwe
 
Yupo sahihi sana. Hatuhitaji kujulikana international. Tunahitaji kujenga uchumi wa nchi yetu.
Kwani tunajenga uchumi kisiwa? Dunia hii ya karne ya 21 bado unadhani unaweza kuignore mataifa mengine halafu ukajenga uchumi imara? Naanza kuamini lowassa hakukosea vile vipaumbele vyake vitatu.
 
Wewe Chige wacha sifa za kijinga, kwani lini alikuwa amepanga kwamba ataenda kwenye huo mkutano mpaka "avunje?" Hii mbona ilikuwa inajulikana tangu mapema kwamba hataenda?!! Tetemeko lisitumike kisiasa, kwani mkuu wa mkoa hatoshi kupokea hiyo misaada? Waziri mkuu hatoshi kuratibu hayo matokeo ya tetemeko? Tuache siasa bali tuwe wakweli kwamba hatuwezi kukaa na wazungu saa 10, matokeo yake tutakuwa mabubu!! Atume mwakilishi (makamu anatosha aende tu) maana tulishaliwa hapa!! Hiiiiiii Lubuva huyu!!
 
Hili janga limesaidia sana, tulitafuta sababu weeeeeeee! Mara ttmk hilo atimae tumepata[emoji482]
 
Aliyekuwa anaenda bila kukosa mahudhurio mlimuita Vasco Dagama. Anayebana matumizi....mnamponda humu. WaTanzania tunataka nini?

By the way UN New York.....ni kitu gani kipya anahitaji kwenda kufanya? maana maximum time ya kuongea kwa kila Kiongozi ni dakika tano! Na mara nyingi kumbi zinakuwa empty! wakubwa wameshaondoka.

WATANZANIA tuamke...Tanzania ya Magufuli ni ukurasa mwingine. You either adapt or perish!
Hizo tano kuongea ndo shida
 
Sio kweli kabisa tetemeko linatumika kama sababu tuu
Alishasema wahanga wa tetemeko wasibweteke kuisubiri serikali wachape kazi,sasa hii tena kitu gani? Eee Mungu baba uliye juu mbinguni Tafadhali uitazame nchi yako Tanzania kwa jicho la huruma na watu wake wote kwa kuwa wewe ndiye mwenye mamlaka,usituache tukaangamia katikati ya simba na wanyama pori hatari bali utukumbuke katika ufalme wako Amina.
 
Wewe Chige wacha sifa za kijinga, kwani lini alikuwa amepanga kwamba ataenda kwenye huo mkutano mpaka "avunje?" Hii mbona ilikuwa inajulikana tangu mapema kwamba hataenda?!! Tetemeko lisitumike kisiasa, kwani mkuu wa mkoa hatoshi kupokea hiyo misaada? Waziri mkuu hatoshi kuratibu hayo matokeo ya tetemeko? Tuache siasa bali tuwe wakweli kwamba hatuwezi kukaa na wazungu saa 10, matokeo yake tutakuwa mabubu!! Atume mwakilishi (makamu anatosha aende tu) maana tulishaliwa hapa!! Hiiiiiii Lubuva huyu!!
Unanionea...
 
Tatizo ni pale CNN watakapomdaka na kuzungumza naye ndo shida! Na mzee wetu dakika tano mbele keshabadilika duh kufa kufaana. Janga limempa mtu kick ya fasta..!
Ila ipo siku tu!!!
 
Back
Top Bottom