UN General Assembly Calls for Israeli Withdrawal from Golan Heights

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,978
32,387
Wanaukumbi.

🚨BREAKING: Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Lataka Israel ijiondoe kwenye Golan Heights

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuitaka Israel iondoke kwenye milima ya Golan.

Katika waraka huo, Baraza Kuu "linasisitiza matakwa yake kwamba Israel ijiondoe katika Golan yote ya Syria inayokaliwa kwa mabavu hadi tarehe 4 Juni, 1967."

Hii ni kwa mujibu wa maazimio husika ya Baraza la Usalama.

Pande zote zimetakiwa kujaribu kurejesha mchakato wa amani.
Azimio hilo lilipigiwa kura chanya na nchi 91, 8 zilipinga, na 62 hazikupiga kura (zaidi zikiwa nchi za Ulaya).

Chanzo: Nexta
=========================
BREAKING: UN General Assembly Calls for Israeli Withdrawal from Golan Heights

The UN General Assembly has passed a resolution calling on Israel to leave the Golan Heights.

In the document, the General Assembly "reiterates its demand that Israel withdraw from all occupied Syrian Golan to the line of June 4, 1967."

This is in accordance with relevant Security Council resolutions.

All parties are called upon to try to resume the peace process.
The resolution was voted positively by 91 countries, 8 opposed, and 62 abstained (mostly European countries).
Source: Nexta
 
Attachments

  • IMG_7056.jpeg
    IMG_7056.jpeg
    83.6 KB · Views: 2
Israel haiwezi kurudia makosa waliofanya kuondoka Gaza kipindi cha Waziri mkuu, Ariel Sharon(unilateral withdrawal) . Eneo la Golan heights ni muhimu kwa usalama wa Israel. Labda hao mahasimu wa Israel, Hesbollah na Syria waingie mikataba ya amani, kama ilivyokuwa kwa Misri na Jordan, huenda Israel ndio itaondoka Golan. Vinginevyo UN itapitisha maazimio ambayo hayawezi tekelezwa!
 
Je nihalali Israel na Russia kupinga maazimio ya UN yanayohatarisha usalama wa nchi zao Kwa maoni ya viongi ya hizo nchi mbili?.
 
Hao nao wanawashwa washwa, badala ya kusuluhisha mgogolo wa Gaza, wanakimbilia syria

Syria ilivamia Israel ( Kama Hamas) hio 1967, wakapigwa wakanyang'anywa na milima. Wao wanaweza kurudisha raia waliowauwa bila sababu hio 1967?
Nyi mbona hamkuikalia Uganda baada ya kumshinda nduli,au walau wilaya moja tu kusini mwa Uganda!?..uwe unatumia akili
 
Israhell naichukia ila kuondoka golan heights kwa maazimio sudhanii kama ipo ama itaja tokea
Njia pekee ya israhell kuondoka kwenye ardhi anazozikalia ni nguvu tuuu
Mtasubiri sana hadi mabikra 72 wote wa ahera waishe na mito yote ilioko ahera ikauke pombe.
 
Wanaukumbi.

🚨BREAKING: Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Lataka Israel ijiondoe kwenye Golan Heights

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuitaka Israel iondoke kwenye milima ya Golan.

Katika waraka huo, Baraza Kuu "linasisitiza matakwa yake kwamba Israel ijiondoe katika Golan yote ya Syria inayokaliwa kwa mabavu hadi tarehe 4 Juni, 1967."

Hii ni kwa mujibu wa maazimio husika ya Baraza la Usalama.

Pande zote zimetakiwa kujaribu kurejesha mchakato wa amani.
Azimio hilo lilipigiwa kura chanya na nchi 91, 8 zilipinga, na 62 hazikupiga kura (zaidi zikiwa nchi za Ulaya).

Chanzo: Nexta
=========================
BREAKING: UN General Assembly Calls for Israeli Withdrawal from Golan Heights

The UN General Assembly has passed a resolution calling on Israel to leave the Golan Heights.

In the document, the General Assembly "reiterates its demand that Israel withdraw from all occupied Syrian Golan to the line of June 4, 1967."

This is in accordance with relevant Security Council resolutions.

All parties are called upon to try to resume the peace process.
The resolution was voted positively by 91 countries, 8 opposed, and 62 abstained (mostly European countries).
Source: Nexta
Sijamuelewa mama Tanzania yupo upande gani katika hili.
 
Wanaukumbi.

BREAKING: Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Lataka Israel ijiondoe kwenye Golan Heights

Israel kuiachilia Golan heights ni sawa na kujitoa mhanga kwa Syria

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Wanaukumbi.

🚨BREAKING: Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Lataka Israel ijiondoe kwenye Golan Heights

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuitaka Israel iondoke kwenye milima ya Golan.

Katika waraka huo, Baraza Kuu "linasisitiza matakwa yake kwamba Israel ijiondoe katika Golan yote ya Syria inayokaliwa kwa mabavu hadi tarehe 4 Juni, 1967."

Hii ni kwa mujibu wa maazimio husika ya Baraza la Usalama.

Pande zote zimetakiwa kujaribu kurejesha mchakato wa amani.
Azimio hilo lilipigiwa kura chanya na nchi 91, 8 zilipinga, na 62 hazikupiga kura (zaidi zikiwa nchi za Ulaya).

Chanzo: Nexta
=========================
BREAKING: UN General Assembly Calls for Israeli Withdrawal from Golan Heights

The UN General Assembly has passed a resolution calling on Israel to leave the Golan Heights.

In the document, the General Assembly "reiterates its demand that Israel withdraw from all occupied Syrian Golan to the line of June 4, 1967."

This is in accordance with relevant Security Council resolutions.

All parties are called upon to try to resume the peace process.
The resolution was voted positively by 91 countries, 8 opposed, and 62 abstained (mostly European countries).
Source: Nexta
Inasemekana russia soldiers wamewekwa kwenye mpaka hapo Golan height ikumbukwe russia anakambi za kijeshi syria , je russia wanatafuta sababu ya kuingilia ugomvi hapo middle east israel akikataa suluhu ya kurudisha au ndio israel kama atakalia Gaza? atanyanganywa Golan ? Au ni kwa sababu usa carrier ziko persian gulf karibu na iran 100km, struck my allies i struck your allies hivyo warussia wanajiposition, au russia wanaenda hapo kuwa buffer dhidi ya syria kuingia israel kama ni hivyo why un resolution ?? Je UN imegawanyika west vs rest of the world wanachokubali west countries basi russia na dunia wanakataa ,je tunaelekea vita ya 3 ya dunia au tunaelekea multipolar new world order ? Maswali ni mengi ila utulivu wa dunia utapatikana amani ikipatikana Gaza na Ukraine pia lets pray for peace vita sio suluhu nchi masikini ndio zitaumia zaidi siku zote hawa superpower wakiwa vitani na hasa vya kuviziana sio poa kwa mustakbali wa dunia yetu.
 
Israel haiwezi kurudia makosa waliofanya kuondoka Gaza kipindi cha Waziri mkuu, Ariel Sharon(unilateral withdrawal) . Eneo la Golan heights ni muhimu kwa usalama wa Israel. Labda hao mahasimu wa Israel, Hesbollah na Syria waingie mikataba ya amani, kama ilivyokuwa kwa Misri na Jordan, huenda Israel ndio itaondoka Golan. Vinginevyo UN itapitisha maazimio ambayo hayawezi tekelezwa!
Wanapoteza mud
 
Wanaukumbi.

BREAKING: Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Lataka Israel ijiondoe kwenye Golan Heights

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuitaka Israel iondoke kwenye milima ya Golan.

Katika waraka huo, Baraza Kuu "linasisitiza matakwa yake kwamba Israel ijiondoe katika Golan yote ya Syria inayokaliwa kwa mabavu hadi tarehe 4 Juni, 1967."

Hii ni kwa mujibu wa maazimio husika ya Baraza la Usalama.

Pande zote zimetakiwa kujaribu kurejesha mchakato wa amani.
Azimio hilo lilipigiwa kura chanya na nchi 91, 8 zilipinga, na 62 hazikupiga kura (zaidi zikiwa nchi za Ulaya).

Chanzo: Nexta
=========================
BREAKING: UN General Assembly Calls for Israeli Withdrawal from Golan Heights

The UN General Assembly has passed a resolution calling on Israel to leave the Golan Heights.

In the document, the General Assembly "reiterates its demand that Israel withdraw from all occupied Syrian Golan to the line of June 4, 1967."

This is in accordance with relevant Security Council resolutions.

All parties are called upon to try to resume the peace process.
The resolution was voted positively by 91 countries, 8 opposed, and 62 abstained (mostly European countries).
Source: Nexta
Hili eneo lilitekwa baada ya Syria kuivamia Israel hivyo haliwezi kurudishwa kwa maazimio ya mezani. Israel alishawaambia Syria walisahau hili eneo.
Uchokozi unaofanywa na Hezbollah utasababisha Israeli ateke eneo lingine huko Lebanon.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom