Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Uongo mwingine banaaa! Dah! Kwanini wasiwe wakweli tu na kusema kwamba Rais bado yuko katika zoezi kali la kuongea kiingereza na walimu wake bado hawajaridhika na kiwango chake cha kuzungumza lugha hiyo. Hivyo Hatakwenda kuhudhuria mkutano huo na walimu wanaendelea kumpa mazoezi ya kila siku ili aweze kukimudu kiingereza.

Watanzania tumechoka kudanganywa eti anashughulikia maafa ya tetemeko la ardhi wakati ni siku ya 10 sasa hata mguu hajatia Kagera!
Umemaliza kabisa mkuu hilo ndio jibu sahihi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Du watanzania ni lini tutakuwa wakweli na wenye msimamo,JK alipokuwa akisafiri,watu walianza kumhesabia trip na kusema anatumia vibaya rupia,huyu yupo busy kuweka sawa mambo ya ndani,mnasema aende mkutanoni,huu ni upopo kutokuwa ndege wa mnyama.Tanzania kwanza kuna kazi kubwa humu ndani kila mmoja anajua hivyo inapotokea kuvunjwa kwa safari kama hivyo,tuwe waelewa .
 
Many adults are acting more like children. We need men to act like husbands and fathers. We need women to act like wives and mothers. We cant move forward acting backward.
 
Hii ndo awau ya kijima kuliko awamu zote Tanzania! ushamba umekuwa mwingi mno, ni mwendo wa kujifungia ndani tu

Maneno mengine mnatumia tu bila mipaka.

Hivi na wewe ukiambiwa ufafanue kwanini unamwita raisi mshamba utasemaje, sababu ni kutohudhuria mikutano?
 
Si alisema tetemeko halijasababishwa na serikali???? Na akataka wahaya wafanye kazi????? Sasa anaahirisha vipi tena wakati amewaambia "fanyeni kazi tetemeko halijaletwa na serikali".
 
Si alisema tetemeko halijasababishwa na serikali???? Na akataka wahaya wafanye kazi????? Sasa anaahirisha vipi tena wakati amewaambia "fanyeni kazi tetemeko halijaletwa na serikali".
sio serikali tu pia halikuletwa na CCM
 
Hivi CCM iko wapi,mbona wanaacha mambo yanajiendea tu hivi?Msisuse jamani nyie ndio chama dola,msichoke kumshauri😎
 
Haendi haendi haendii tu
Kila mahali haend
Haendi kwa sababu tuna janga la kitaifa
Lkn hata hiyo sabab yake hajaenda iona
Safari hii hakuna sarakasi tutaacha ziona
 
Si alisema tetemeko halijasababishwa na serikali???? Na akataka wahaya wafanye kazi????? Sasa anaahirisha vipi tena wakati amewaambia "fanyeni kazi tetemeko halijaletwa na serikali".
Mh!
Huu uchochezi
 
Sio kweli kabisa tetemeko linatumika kama sababu tuu
Kwahiyo Mkuu mshana jr unahisi kuna sababu nyinyine mbali na hii ya kuonesha kujali kuguswa, kuonesha upendo na dhamira ya kushughulikia matatizo ya Watanzania wenzetu?! Mkuu Pasco kokote uliko, hivi kweli kuna kujali zaidi ya huku ya kuacha kwenda ughaibuni?!
 
Back
Top Bottom