Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Tumia kichwa kufukiria na sio makalio. Kesho tukiwekewa vikwazo na UN utaficha wapi uso wako?
UN kuandaa huo kikao sio wajinga,huo ni kikao kama ilivyo vikao ya ccm.
Mpuuzi wewe hivi un aunaona ya maana sana muulize mugabe
 
Kwahiyo Mkuu mshana jr unahisi kuna sababu nyinyine mbali na hii ya kuonesha kujali kuguswa, kuonesha upendo na dhamira ya kushughulikia matatizo ya Watanzania wenzetu?! Mkuu Pasco kokote uliko, hivi kweli kuna kujali zaidi ya huku ya kuacha kwenda ughaibuni?!
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hana wasaidizi? Mwisho watatusahau na waache kutualika matokeo yake mtu ukienda ulaya wazungu wanakuuliza umetokea Nigeria au South Africa? Maana tz hawaijui
Wasaidizi wapo kijana...labda hujaenda shule.

Yupo mtu anaitwa Balozi wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa...huyo ndiye anatuwakilisha.
 
Halafu wengine hawafahamu kwamba hata JK yupo huko na ile kamisheni ya maendeleo.
 
Nilikuwa nampa tahadhari member mwenzangu, kwani kwa sasa nchini TZ "Uchochezi" ni neno au maneno yoyote yenye lengo la kuikosoa ofisi ya rais au rais mwenyewe. Haitahesabika kama uchochezi endapo tu Mtanzania atatamka au kuandika neno lolote ambalo litaisifia ofisi ya Rais au Rais mwenyewe. Mwisho wa kunukuu
Poa Jombaa nmeksoma
 
[quote uid=271011 name="boaz mwalwayo" post=17698531]Kule UN akuna vijembe akuna vitisho lazima uwe mpole wanatumia lugha iliyokuja na meli Wewe acha ujinga uwezi kumdharau rais wako kwan kwenda UN ni lazima uongee kingereza? Nini kazi ya wakalimani? Au anaweza kusoma tu hotuba kwa ni dakika ngapi? Rais wetu anamajukumu makubwa ya kitaifa kama akiamua kwenda uko UN anaenda mda wowote
 
Ila huyu jamaa heri tu hajaenda New York maana angekuja kutusumbua mno na misamiati mipya ya kizungu ambayo angejifunza huko...hivi tu anajua REVENUE, END RESULT na ku-FRUSTRATE haachagi kuyatumia, pateni picha angeongezea hapo SYRIAN REFUGEE CRISIS na IMMIGRATION na salam za kimombo tungemkoma hakyanani!
 
hana mzuka na kusafiri!yeye amisafiri ni kashfa kwa muse7 na p.k....

Ova
 
Ila huyu jamaa heri tu hajaenda New York maana angekuja kutusumbua mno na misamiati mipya ya kizungu ambayo angejifunza huko...hivi tu anajua REVENUE, END RESULT na ku-FRUSTRATE haachagi kuyatumia, pateni picha angeongezea hapo SYRIAN REFUGEE CRISIS na IMMIGRATION na salam za kimombo tungemkoma hakyanani!
Epuka uchochezi/// KUSEMA UKWELI MWISHO MARA MOJA;
 
Nani atamuwakilisha sasa? Haijasemwa hapa. Rais wa watanzania anaifanyia kazi Tanzania yake.
 
Back
Top Bottom