Hata sijuiSASA MSHANA WEWE ULITAKA SABABU IWE NINI?
Mkuu unaendelea kunionea kwa kusema nimechapia wakati hata hiyo amevunja yenyewe ni "amevunja" na sio amevunja!!Ha ha ha haaaa Nisamehe kiongozi wangu! Ila ukweli jamaa haikuwa lengo lake wewe ndo umechapia kusema "amevunja"
Mimi kama mleta mada nikiulizwa "wewe si ndo uliandika amekacha, hujui huo ni uchochezi?" Mi nitajibu "aku! Mi sijasema alikacha ila nilisema "amevunja!"Heee Zambia alikacha kwangu kuna maafa ya tetemeko,un amekacha kuna ttemeko hivi hil ttemeko imekua shida kwa tz au? Morogoro watu walipata maafa mafuriko mpk Leo hatujui nini kinaendelea kwa waathirika,.mhh kweli nchi ya kagera mana hatupumui sasa
Mkuu haya maneno yako ni zaidi ya kuongeza chumvi basi ni vyema angeenda tu, ili akaonane nao sijui ni maraisi gani hao??Nadhani viongozi wengi wangependa kuonana na Nyota hii ya Tanzania....... Record yake ipo Juu.... Viongozi wakuu wa dunia wanatambua nini anafanya katika Taifa lake na ni jambo zuri tu.
Mimi niko nacheka tu hapa maana si kwa povu hili, nikikumbuka kipindi cha kikwete na hizi comment naona kikwete alikuwa mvumilivu mno kuongoza hiki kizazi cha nyoka.Ni nyinyi kweli leo hii mnamlazimisha rais asafiri nje? Magufuli anawaumbua sasa. Si mlikuwa mnamlaumu Kikwete na kumuita Vasco Da Gama?