Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

hahaa hapo ndo utakapowajua maana hawachelewi kutuambia mkutano wa UN una maana kuliko maisha ya ndugu zetu wahaya...hamna jambo analofanya raisi wakakosa negative reason
Ze langueji iz vere vere taiti my relativu. Yu noo ze janei tu yues niid ze mane endi mane izi noti zea ini ze hazina.
 
Hahahaha magu amesepa hii pia? Aise ndugu zangu wa Tanzania kwa huyu mzee mmechemsha, nawaombea kila la heri lakini. game ni 90 minutes, Magu bado ako first quater, akihepa international meeting of importance nyengine itabidi mwandamane, while important things are being discussed jamaa hapatikani, duh.
 
Huo mkutano una faida gani kwa Tanzania ? UNAIINGIZIA nchi pato la shilingi ngapi mwisho wa mkutano?
Kama hauna umuhimu Ikulu ingesema haina umuhimu. WB & IMF hazitoi fedha za ufadhili Tanzania? Kama UN Assembly haina umuhimu waambie viongozi wa chama chako ambao wapo serikalini waitoe Tanzania kwenye mkataba wa UN.
 
Chige,

Salute,

Mimi ni stronger believer wa multilateralism. Naamini kabisa we all need each other. But we need smart multilateralism in this age and era.

SDGs (kwa wale wasiojua ni Sustainable Development Goals-successor to MDGs) is just one of the many proposed solutions to problems that ails our world. I don't see Magufuli being in New York, how will that bring health care benefits to a child in Kigoma or bring clean and safe water to a villager in Kazuramimba. Yes I don't! I do believe all SDGs will be realized by we the people paying our dues/taxes/eradicating corruption/stopping these fat cats from enriching themselves through taxpayers money/judicious use of our natural resources. And holding our government accountable to put the money where it is required. I don't see, why to achieve these, one needs to go to New York! (and don't forget you have Dr. Mahiga there representing (one of the finest diplomat our country can be proud of).

I
am against this begging mentality. Humanitarian business is a very complex industry. I have been there. I know. SDGs require financial commitments. How much are we developing countries bringing on the table? apart from begging tusaidiwe? I really hate it when I see African President standing on the podium trying to justify why child enrollment in his/her country is down......yet these same people have 50 people in their delegations chewing millions of taxpayers money! Hivi kweli unaenda kuomba msaada wa kuondoa malaria...wakati msafara wako unatumia millions of dollars. Hiyo ni akili ni tope?

I do believe in the ideals of the UN. I do believe on what it stands for. I do believe in its power and legitimacy in conflict prevention. But all I can say, UN can be effective (read its decisions) when and only if big powers who foot the bill want it to.

Daima Maskini hana sauti. All we should know is that ALWAYS the rich and the poor have different priorities. And for now, in Tanzania our priorities are different.
 
Kama hauna umuhimu Ikulu ingesema haina umuhimu. WB & IMF hazitoi fedha za ufadhili Tanzania? Kama UN Assembly haina umuhimu waambie viongozi wa chama chako ambao wapo serikalini waitoe Tanzania kwenye mkataba wa UN.
naskia un wamempa barua ya onyo asipohudhuria mkutano ujao watamchukulia hatua, katika barua hiyo wanasema mitano yao hata kama hujui lugha yao unaweza tumia yako wako watakalimani
 
Masanja,
I am sorry I am kind of occupied now but I promise I will thoroughly respond to your post sometime later. But before I leave I'd highlight one thing: there're lot of exaggeration in your post! Man, we ain't talking of the World Bank here! Neither IMF nor Paris Club but UN! If it were IMF, World Bank or Paris Club I would completely agree with you that we're gonna reach nowhere with begging and to be honest, I hate it. We're talking of The Sustainable Development Goals: a universal push to transform our world and that has nothing to do with those Bretton Woods Monsters' money though they can support it!! It's not about just development but sustainable development. Both you and I know when it comes to sustainable development, it's no longer one country's agenda but global agenda because it strictly includes the universe we're in!
 
Thanks Mkuu,

Link hii hapa: Sustainable development goals - United Nations.

Lakini hebu niambie katika hizo SDGs........ni Goal ipi haihitaji pesa? and who will pay for it? UN is simply a conduit. But member states must provide money. By the way umesahau kitu sasa hivi Brettonwoods FIs ndo zinatoa pesa kwa ajili ya hizi issues tunazoongelea.....refer Ebola crisis, Iraq Humanitarian crisis, Syria nk......SDGs is simply a push by the UN and developing countries to attract focus on these neglected issues ambazo otherwise no one would be looking at. Ofcourse you achieve this consensus through UNGA. But in reality we need money. from where? I don't know.

Mkuu kama nilivyokwambia mimi ni mdau. Angalia humanitarian appeals zote.....naongelea CAR-out of more than 500M USD walipata less than 12%, S.Sudan, Syria, Iraq, Yemen, Afghanistan etc....check how much they got? Na oanisha na hizi SDGs. Ulizia how much was pledged in London na leo zimepatikana ngapi....

By the way zile pledge za jana kwenye ile conference ya Obama, some countries simply recycled what they said/pledged in London!

Mkuu all I can say tufanye kazi....hili ni somo pana..wengine tunaongelea hili swala from our experience in this global order shaped by these institutions........

Ndo maana wengine Magufuli tunamuelewa anapopambana tujitegemee tuachane na hizo mentality za kudhani kwamba ukienda New York uka-shake hand na Obama au Hollande matatizo yako yanakwisha.

Again, I fully support multilateralism but for now global terrain does not favour our emancipation.

Our priorities are different. And Magufuli is among few African Presidents who understand that.
 
.."kalazimika kutokwenda kwa ajili ya kushughulikia matatizo ya maafa"...aisee hata kama watz wanatudharau,hii dhihaka sasa imezidi..
 
Lemme tell you one thing!! Hili la Bretton Woods Institutions limekuja tukilenga kuzungumzia suala la kuwa omba omba na nikakuunga mkono kwamba hata mimi sipendi hii tabia ya kuwa ombaomba!!!

Hata hivyo, main goal ya Sustainable Development Goals SDGs sio kuzifanya nchi maskini kuwa ombaomba bali ku-highlight global challenges na kuangalia ni namna gani hizo changamoto zinaweza kuondolewa ili tuwe kwenye better world! Sasa ikiwa kwa mfano, one of the challenges ni elimu kama ambavyo ilionekana kwenye MDGs; wewe nchi husika unatakiwa utatue hiyo changamoto ili kufikia malengo ya jumla ya kiulimwengu! Hujaambiwa ukapige magoti Bretton Woods ili utatue changamoto ya elimu... if you have enough resources; solve the challenge so as we can all live in a better world together! The idea is to live no one behind na ndio maana utakuta highlighted areas zote ni changamoto za nchi maskini!

Sasa ikiwa huna resources za kutosha, hapo ndipo unakuja umuhimu kama sio ulazima wa Bretton Woods and other donors! Lakini unaenda Bretton Woods si kwa sababu World Leaders wamekubaliana kutatua common universal challenges bali unaenda huko kwavile wewe ni maskini uliyekosa resources kutatua challenges mlizokubaliana! Hii maana yake ni kwamba, hata kama world leaders wasingekutana UN na kuzungumzia hizo challenges, bado ungeenda Bretton Woods kupiga magoti ili kutatua hizo challenges hata kama zingekuwa zipo highlighted na nyinyi wenyewe! Na ikiwa msingeenda basi hata baada ya makubaliano ya UN for SDGs hamtakuwa na sababu za kwenda ingawaje wajibu wa kutatua hizo changamoto upo pale pale!!

Halafu unajaribu kunishawishi kwamba lengo la Refugees & Migrants Summit ni kwa ajili ya Waarabu ili kuziepushia mzigo Western Countries! Unajaribu kunishawishi kwa kufikia kusema out of $ 500M, CAR walipata less than 12% compared to what walipata Middle Eastern countries! Mkuu, ulitaka wapate asilimia ngapi kwa mfano?! Hivi una habari kwamba Wakimbizi wa Syria peke yake ni zaidi ya TOTAL POPULATION ya watu wote (sio wakimbizi) wa CAR? Sasa ulitarajia mgawanyo uwe vipi ikiwa wakimbizi wa nchi moja tu unazidi population mzima ya nchi nyingine athirika!
 
Paragraph yako ya pili inajibu kwanini Magufuli (in my view justifiably) hajaenda na wala hahitaji kwenda New York kwenye General Assembly based on the SDGs premise.

Mchana mwema Mkuu.
 
naskia un wamempa barua ya onyo asipohudhuria mkutano ujao watamchukulia hatua, katika barua hiyo wanasema mitano yao hata kama hujui lugha yao unaweza tumia yako wako watakalimani

Unasikia?!!!!

[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101]

Utasikia mengi. Sisi kazi tu
 
Paragraph yako ya pili inajibu kwanini Magufuli (in my view justifiably) hajaenda na wala hahitaji kwenda New York kwenye General Assembly based on the SDGs premise.

Mchana mwema Mkuu.
And I hope next time you won't come up with contradicting justification when our guy pops up to NYC for the very similar reason cuz' if you do, I will remind you this discussion! And trust me, am good at keeping records!! And your user ID, I mean Masanja, is very easy to remember!!

But all in all, it's beautiful discussion and so, stay blessed!
 
Back
Top Bottom