UN: Tanzania imepiga kura ya kuunga mkono Azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Palestina

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,773
Mara kadhaa Tanzania imekuwa Ina abstain(act ya unafiki) maazimio ya Umoja wa Mataifa Kwa maelezo ya kutofungamana na upande wowote(Unafiki) ila awamu hii Imepiga Kura ya Kuunga Mkono Palestine.

Ikumbukwe awamu ya 1 chini ya Nyerere iliwahi Mfukuza Balozi wa Israel Tanzania.

====
20231028_070834.jpg

Tanzania has voted in favour of a United Nations resolution calling for a "humanitarian truce" in Gaza

The resolution passed by the UN General Assembly was drafted by Arab states. While it is not binding, it carries political weight

Here's how UN member states voted:

Votes in favour: 120
Against: 14
Abstentions: 45
 
Linapokuja suala la Diplomasia ya Kimataifa mara nyingi Tanzania hubeba msimamo wa kinafiki (kujifanya iko neutral), lakini kwa kuwa kwa sasa mama yetu ni muislamu wa Oman ilikuwa ni lazima Tz iunge mkono Palestina. Nina uhakika, Magufuli angekuwa bado ni rais wa Tz basi isingeunga upande wowote kama ilivyo siku zote.
 
Hata kama Kura Imepigwa lakini Solution ni Wapalestine kwenda kuwaomba Msamaha Waisrael bila kufanya hivyo sidhani kama hiyo kitu inaitwa Kura itamaliza Kipigo. Na wanatandikwa kwelikweli. Walichokoza Wenyewe sasa wameanza kulia

Wenyewe na kuomba wasaidiwe kulia. HAMASI waende kuomba Msamaha na wakiendelea kubisha na kuwa na Kiburi Wataendelea Kutandikwa.

NB: Watanzania hatutaki Vita iendelee Lakini hatuungi Mkono Uchokozi wa Wapalestine kwa Waisrael. Mkiendelea na Ubishi Sisi tutaendelea kushuhudia Mkitandikwa na kura tutapiga za kuunga Vita Isitishwe lakini huku bado mnapewa Kipigo cha Mbwa Koko.
 
Linapokuja suala la Diplomasia ya Kimataifa mara nyingi Tanzania hubeba msimamo wa kinafiki (kujifanya iko neutral), lakini kwa kuwa kwa sasa mama yetu ni muislamu wa Oman ilikuwa ni lazima Tz iunge mkono Palestina. Nina uhakika, Magufuli angekuwa bado ni rais wa Tz basi isingeunga upande wowote kama ilivyo siku zote.
Kwani hilo Azimio na Marekebisho yake limeletwa na nani?
 
Kuwa kinyume na Taifa teule (Israel), ni kuwa kinyume na Mungu. Wakati wa Hayati JPM, tulifanya amani kama Taifa na Israel mpaka tukaanzisha tena mahusiano ya Kibalozi, sote tukaona tulivyopiga hatua kimaendeleo hadi kufika uchumi wa kati tena katikati ya janga la corona! Ukiwabariki Israel, unabarikiwa, ukiwalaani, unalaaniwa...
Tuache ujinga, tusipende kuwa tofauti na Taifa teule.
 
Linapokuja suala la Diplomasia ya Kimataifa mara nyingi Tanzania hubeba msimamo wa kinafiki (kujifanya iko neutral), lakini kwa kuwa kwa sasa mama yetu ni muislamu wa Oman ilikuwa ni lazima Tz iunge mkono Palestina. Nina uhakika, Magufuli angekuwa bado ni rais wa Tz basi isingeunga upande wowote kama ilivyo siku zote.
Na hata Nyerere alipofunga ubalozi wa Israel ie alipovunja uhusiano wa kibalozi na Israel alikuwa anaswali msikiti wa Kichangani pale Magomeni.

Ni lini mutastaarabika?
 
Kuwa kinyume na Taifa teule (Israel), ni kuwa kinyume na Mungu. Wakati wa Hayati JPM, tulifanya amani kama Taifa na Israel mpaka tukaanzisha tena mahusiano ya Kibalozi, sote tukaona tulivyopiga hatua kimaendeleo hadi kufika uchumi wa kati tena katikati ya janga la corona! Ukiwabariki Israel, unabarikiwa, ukiwalaani, unalaaniwa...
Tuache ujinga, tusipende kuwa tofauti na Taifa teule.
Kabisaaa Ndio Maana Tuna laana ya Umeme,, Miaka 62 Hakuna Umeme wa uhakika anatokea MTU anasema maliza kwa miezi SITA..mizaha mingine
 
Kuwa kinyume na Taifa teule (Israel), ni kuwa kinyume na Mungu. Wakati wa Hayati JPM, tulifanya amani kama Taifa na Israel mpaka tukaanzisha tena mahusiano ya Kibalozi, sote tukaona tulivyopiga hatua kimaendeleo hadi kufika uchumi wa kati tena katikati ya janga la corona! Ukiwabariki Israel, unabarikiwa, ukiwalaani, unalaaniwa...
Tuache ujinga, tusipende kuwa tofauti na Taifa teule.
Kuna tofauti ya kuwa kinyume na hilo taifa teule na kupinga vitendo viovu vya wakazi wa hilo taifa teule?
 
Back
Top Bottom