Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Sasa huo usalama wa taifa hawataki watu watoe mawazo yao?
Hutoi mawazo ww unatoa SHUTUMA ambazo huna evidence nazo. Kama ilivyokuwa avatar yako siku moja utashika kichwa ukilia. Mchonganishi mkubwa ww
 
Nani atamwakilisha JPM UN assembly? Jina au majina tafadhali!
 
Mikutano ya UN yote Waafrica wanakuwa wahudhuriaji tu hakuna wa kuwasikiliza.Ni kupoteza muda na rasilimali kwenda kule.Hugo ni mikutano ya wazungu tu.
Kama nikupotezeana mda siujitoe kwenye huo muungano. kila NCHI ilieko kwenye huu muungano ilikubal na kusign mkataba kua itakua bound na adhere to th' Obligations of UN, Asa kwann uschukue hatua kama unaona haikufai??
BILA SHAKA HUJUI/UMESAHAU MAANA YA UN AU NN MAANA YA KUA MEMBER WAKE.
 
Hutoi mawazo ww unatoa SHUTUMA ambazo huna evidence nazo. Kama ilivyokuwa avatar yako siku moja utashika kichwa ukilia. Mchonganishi mkubwa ww
Na hutoi mawazo wewe unatoa VITISHO ambavyo havina kichwa wala miguu. Kwanini mtu akitoa WAZO lake mnamtishia maisha nyie MAZOMBIE? Watu wote mliowaua katika msitu wa Mabwepande bado hamjatosheka? Mnataka muue wangapi mridhike? Ibilisi wakubwa!
 
Mwisho itakuwa kumkufutu Mungu kutumia maafa kusema uwongo....Mara ooooh nashukulikia maafa Siendi Zambia .....Mara ooh nashughulikia maafa siendi marekani ...YOTE Hayo Wakati hata Bukoba hujafika Na umezuia wengine kugawa misaada unawaza siasa Na unasema wasichangiwe Ni mtapeli
Wewe ambaye sio Tapeli hata Shilingi ya serrilali hujapeleka Zaidi Nchi majirani wamafikisha misaada kabla yetu .......HII aibu ya wapi jamani Leo tunaipata......

Tuambiwe tatizo Ni nini ???. Afya ??? Kingereza????? Ni nini ??? Kama unaweza kukariri hadi majina ya vitu ...inakuwaje ngumu kumeza hotuba nzima kichwani.....???? Na Uzuri hotuba Nyingi vikao Rasmi hata marais Wenye uwezo Mkubwa huwa wanatakiwa kusoma...Na sio kukataa kusoma hotuba Za kuandaliwa Wakati Zako hazina kichwa wala miguu ....hata Za walevi klabuni zingefaa
We bhana na wenzako cjui vipi! Muwe mnanisoma kwa vituo... manake mmeng'ang'ania issue za kusoma hotuba!!! Hebu nisome kwa vituo hapo kwenye RED!!
 
Mhe. DR JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI sio Mwenyekiti wangu kwa sababu mimi sio CCM! , bali Mhe. Dr John Pombe Joseph Magufuli ni rais wa JMT, ndiye rais wa Mbowe, Lowassa, Seif, Mbatia na Chadema wote! . Mtu akiishatangazwa ameshinda ni mshindo wa wrote
Pasco
Lakini umeelewa mwambie huyo raisi wenu aende kwenye Mkutano huo wa UN ni muhimu sana
 
Kama nikupotezeana mda siujitoe kwenye huo muungano. kila NCHI ilieko kwenye huu muungano ilikubal na kusign mkataba kua itakua bound na adhere to th' Obligations of UN, Asa kwann uschukue hatua kama unaona haikufai??
BILA SHAKA HUJUI/UMESAHAU MAANA YA UN AU NN MAANA YA KUA MEMBER WAKE.
Mkuu,acha kuyafokea maccm, walishabinafisisha akili zao kwenye lichama lao.
 
Tumeingia cha kike ndugu Watanzania..baada ya miaka kama mitatu kuna uwezekano wa kutokea mambo makubwa..natabiri
 
Lakini umeelewa mwambie huyo raisi wenu aende kwenye Mkutano huo wa UN ni muhimu sana
Bi Emma, watu kama nyinyi ndio mtakuja kuiponza jf!. Heshima ni kitu cha bure, rais ni rais wa nchi yote ya JMT, na ni rais wa Watanzania wote kokote waliko, hivyo huwezi kumuita rais wenu unless wewe sio Mtanzania!.

Hata kama hukumchagua Magufuli, na ulimchagua ulimchagua , aliyetangazwa kushinda uchaguzi ndie rais wa nchi, ni rais wako, rais wake na rais wetu!. Ni rais wa wote waliomchagua na wasio mchagua hata wa wale ambao hawakupiga kura kabisa ! .

Hata kama humpendi vipi lakini unapaswa kumuheshimu, na kama unampenda sana uliemchagua uko huru kumfanya ndie rais wa moyo wako, na huyu aliyetangazwa ndie rais wa nchi akiwemo huyo rais wa moyo wako! , Mhe Dr John Pombe Joseph Magufuli ndiye rais wake, wako, wetu! .
Pasco
 
Kutokana na janga la tetemeko la ardhi, kwa mara nyingine Mheshimiwa Rais wetu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania analazimika "kuvunja" safari ya kwenda kuhudhuria Mkutano wa 71 wa Umoja Mataifa ambao unaanza kesho tarehe 20.09.2016 hadi 30.09.2016

Kwa mujibu wa Ms. Mindi Kasiga aliyehojiwa na gazeti la The Citizen Mheshimiwa Rais amelazimika kutoenda kuhudhuria mkutano huo ili kushughulika na matokeo ya maafa ya tetemeko hilo lililochukua maisha ya Watanzania wenzetu takribani 19 huku wengine takribani 200 wakiachwa majeruhi.

NOTE: Mada mbalimbali zitajadiliwa kwenye mkutano huo lakini moja ya mada ambayo inatarajiwa kuwa na msisimko ni ile itakayozungumzia wimbi la Wakimbizi na Wahamiaji duniani. Kwa mujibu wa tovuti ya Umoja wa Mataifa, hii ni mara ya kwanza Mkutano Mkuu wa UN kukutanisha wakuu wa nchi kujadili suala hilo.

Pamoja na hilo la Wakimbizi na Wahamiaji, pia kutakuwa na kikao muhimu sana ambacho kitachukua takribani 70% ya mkutano wote kutokana na umuhimu wake. Huu ni mdahalo unaolenga kuzungumzia malengo ya maendeleo endelevu na nafasi yetu katika kusukuma mabadiliko ya kufikia malengo hayo.

United Nations

View attachment 402894
Kitu gani hasa kimemzuia asiende huko UN?
 
Mbona hata huko Bukoba kwenye tetemeko haendi?
 
Back
Top Bottom