Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Ninashangaa wanaJF - washabiki na wakosaiaji wa JPM - mnatokwa povu kuhusu habari ya mtukufu kuahirisha safari ya kuhudhuria UN! Kuna ushahidi gani kwamba hiyo safari ilikuwa imepangwa kuwepo? Tumesikia nchi nyingine za Afrika wakitoa taarifa mapema kuhusu ushiriki wa wakuu wa nchi zao na ajenda waliyokuwa wameishadhamiria kuiwasilisha. Angalao ile safari ya kwenda Zambia kushiriki katika uapishashi wa Rais wao ilikuwa imeishatolewa taarifa rasmi kutoka Kurugenzi ya mawasiliano na baada ya masaa macahche ndio ikatoka nyingine rasmi ikifuta ile ya awali. Hapa tunaweza kujadili kuhusu hilo bila wasiwasi. Lakini hili la UN sijui kama kunataarifa rasmi ilikuwa imeishatoka kuhusu uwepo wa safari. Kwa hivyo tunajadili safari HEWA iliyoahirishwa - ama kwa kujipatia umaarufu wa kisiasa au vinginevyo.
 
Kwahiyo Mkuu mshana jr unahisi kuna sababu nyinyine mbali na hii ya kuonesha kujali kuguswa, kuonesha upendo na dhamira ya kushughulikia matatizo ya Watanzania wenzetu?! Mkuu Pasco kokote uliko, hivi kweli kuna kujali zaidi ya huku ya kuacha kwenda ughaibuni?!
Mkuu Chige, kuna kujali kwa aina nyingi, wengine kujali kwao ni kwa huruma na compassionately kwa kuwatembelea waathirika na kutoa pole
Kuwafariji hata kama huna msaada wowote kwao, na wengine kujali kwetu ni kuguswa na kuhitaji kusaidia hivyo hatutembelei waathirika wala hatutoi pole, bali ndio watu tuko bize kusaidia mambo yaende. Kama waathirika watakula pole na watalalia hizo pole, wapeni pole nyingi za kutosha hadi kujengea nyumba zao! . Sisi tutajifungia ofisini tukipokea simu za michango hivyo tukija eneo la tukio, hatuji kutoa pole wala kufariji bali kuangalia kile ambacho tumesaidia tena tunataka kulinganisha hizo pole zenu zimefanya nini na sisi misaada yetu imesaidia nini!.
Pasco
 
Pasco mwambieni huyo mwenyekiti wenu aende huo kwenye mkutano wa UN ni muhimu sana anatoa visingizio tetemeko la ardhi huko Kagera wakati mpaka wahusika wenyewe bado wanalalamika misaada hajafika au ile misaada mtaipeleka siku mkiamua?
 
Aliyekuwa anaenda bila kukosa mahudhurio mlimuita Vasco Dagama. Anayebana matumizi....mnamponda humu. WaTanzania tunataka nini?

By the way UN New York.....ni kitu gani kipya anahitaji kwenda kufanya? maana maximum time ya kuongea kwa kila Kiongozi ni dakika tano! Na mara nyingi kumbi zinakuwa empty! wakubwa wameshaondoka.

WATANZANIA tuamke...Tanzania ya Magufuli ni ukurasa mwingine. You either adapt or perish!
Nimekupenda bure mkubwa!
 
Pasco mwambieni huyo mwenyekiti wenu aende huo kwenye mkutano wa UN ni muhimu sana anatoa visingizio tetemeko la ardhi huko Kagera wakati mpaka wahusika wenyewe bado wanalalamika misaada hajafika au ile misaada mtaipeleka siku mkiamua?
Mhe. DR JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI sio Mwenyekiti wangu kwa sababu mimi sio CCM! , bali Mhe. Dr John Pombe Joseph Magufuli ni rais wa JMT, ndiye rais wa Mbowe, Lowassa, Seif, Mbatia na Chadema wote! . Mtu akiishatangazwa ameshinda ni mshindo wa wrote
Pasco
 
Uyoo ndo Magufuli.

Magufuli anahitaji mtu wa kumcontrol lasi hivyoo utasikia mengi sana mpaka ifike 2020 utakuwa hutaki kusikia habari zake.
Mzee anawaza Kula Mwewe.. Inawezekana kalumanzila hataki iz mambo za kuruka labda ingekuwa VX v8 inafika huko UN
Sio kweli kabisa tetemeko linatumika kama sababu tuu
 
Mikutano ya UN yote Waafrica wanakuwa wahudhuriaji tu hakuna wa kuwasikiliza.Ni kupoteza muda na rasilimali kwenda kule.Hugo ni mikutano ya wazungu tu.
 
CAMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOONNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNN
 
Kutokana na janga la tetemeko la ardhi, kwa mara nyingine Mheshimiwa Rais wetu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania analazimika "kuvunja" safari ya kwenda kuhudhuria Mkutano wa 71 wa Umoja Mataifa ambao unaanza kesho tarehe 20.09.2016 hadi 30.09.2016

Kwa mujibu wa Ms. Mindi Kasiga aliyehojiwa na gazeti la The Citizen Mheshimiwa Rais amelazimika kutoenda kuhudhuria mkutano huo ili kushughulika na matokeo ya maafa ya tetemeko hilo lililochukua maisha ya Watanzania wenzetu takribani 19 huku wengine takribani 200 wakiachwa majeruhi.

NOTE: Mada mbalimbali zitajadiliwa kwenye mkutano huo lakini moja ya mada ambayo inatarajiwa kuwa na msisimko ni ile itakayozungumzia wimbi la Wakimbizi na Wahamiaji duniani. Kwa mujibu wa tovuti ya Umoja wa Mataifa, hii ni mara ya kwanza Mkutano Mkuu wa UN kukutanisha wakuu wa nchi kujadili suala hilo.

Pamoja na hilo la Wakimbizi na Wahamiaji, pia kutakuwa na kikao muhimu sana ambacho kitachukua takribani 70% ya mkutano wote kutokana na umuhimu wake. Huu ni mdahalo unaolenga kuzungumzia malengo ya maendeleo endelevu na nafasi yetu katika kusukuma mabadiliko ya kufikia malengo hayo.

United Nations

View attachment 402894

apia!!!
 
Mhe. DR JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI sio Mwenyekiti wangu kwa sababu mimi sio CCM! , bali Mhe. Dr John Pombe Joseph Magufuli ni rais wa JMT, ndiye rais wa Mbowe, Lowassa, Seif, Mbatia na Chadema wote! . Mtu akiishatangazwa ameshinda ni mshindo wa wrote
Pasco
Na ni mwenyekiti wa chama ambacho lowassa , maalimu , seif , mbowe na mbatia walikuwaga wanachama,
 
Magufuli aache kutumia kisingizio cha tetemeko kukataa kwenda nje. Alitakiwa awe kashamaliza habari za tetemeko sasa.

Hatuoni faida ya yeye kuwa Tanzania kwenye hili la tetemeko Zaidi ya kusikia maneno ya ajabu ajabu tu.

Aseme tu anaogopa kusafiri. Hajaanza kukataa vikao vya kimataifa kwa sababu ya tetemeko. Kashawatuma sana nje VP na PM. Kashatolea nje kikao cha AU Addis, kashatolea nje vikao vya regional blocs South Africa etc.

Atuambie tu kwa nini hataki kusafiri nje, hizi danganya toto za tetemeko ni sababu weak.
 
H
Aende tu, asing'ang'anie kukaa nchini akilenga kuwadhulumu wahanga fedha zao wanazichangiwa. Nasikia anagoma kuwajengea wananchi nyumba kwa sababu walimchagua mbunge wa UKAWA. Kuna haja ya wanaUKAWA kushinikiza rais atoe fedha za michango zitumike kuwajengea wananchi nyumba. Rais aije akachukue zile fedha za misaada akafanyia mambo mengine maana inaonekana hana mpango wa kuwajengea nyumba.
Hizi ni SHUTUMA unauthibitisho kwa kushuhudia UONGO unakokufanya?
 
Back
Top Bottom