Mwisho itakuwa kumkufutu Mungu kutumia maafa kusema uwongo....Mara ooooh nashukulikia maafa Siendi Zambia .....Mara ooh nashughulikia maafa siendi marekani ...YOTE Hayo Wakati hata Bukoba hujafika Na umezuia wengine kugawa misaada unawaza siasa Na unasema wasichangiwe Ni mtapeli
Wewe ambaye sio Tapeli hata Shilingi ya serrilali hujapeleka Zaidi Nchi majirani wamafikisha misaada kabla yetu .......HII aibu ya wapi jamani Leo tunaipata......
Tuambiwe tatizo Ni nini ???. Afya ??? Kingereza????? Ni nini ??? Kama unaweza kukariri hadi majina ya vitu ...inakuwaje ngumu kumeza hotuba nzima kichwani.....???? Na Uzuri hotuba Nyingi vikao Rasmi hata marais Wenye uwezo Mkubwa huwa wanatakiwa kusoma...Na sio kukataa kusoma hotuba Za kuandaliwa Wakati Zako hazina kichwa wala miguu ....hata Za walevi klabuni zingefaa