Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Hii hasara wadau...unaskip mikutano kama hii jaman daah
 
Katika pita pita zangu nimeona gazeti moja hapa nchini limeandika " world body writes to UN over Zanzibar politocal impasse " sasa inawezekana kuna ajenda inamuhusu mtukufu huko ndio maana ame......
dfV8rbM.jpg

Sent from mTalk
 
hahaa hapo ndo utakapowajua maana hawachelewi kutuambia mkutano wa UN una maana kuliko maisha ya ndugu zetu wahaya...hamna jambo analofanya raisi wakakosa negative reason
Hao wahaya ni lini alienda kuwaona?
 
Kutokana na janga la tetemeko la ardhi, kwa mara nyingine Mheshimiwa Rais wetu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania analazimika "kuvunja" safari ya kwenda kuhudhuria Mkutano wa 71 wa Umoja Mataifa ambao unaanza kesho tarehe 20.09.2016 hadi 30.09.2016

Kwa mujibu wa Ms. Mindi Kasiga aliyehojiwa na gazeti la The Citizen Mheshimiwa Rais amelazimika kutoenda kuhudhuria mkutano huo ili kushughulika na matokeo ya maafa ya tetemeko hilo lililochukua maisha ya Watanzania wenzetu takribani 19 huku wengine takribani 200 wakiachwa majeruhi.

NOTE: Mada mbalimbali zitajadiliwa kwenye mkutano huo lakini moja ya mada ambayo inatarajiwa kuwa na msisimko ni ile itakayozungumzia wimbi la Wakimbizi na Wahamiaji duniani. Kwa mujibu wa tovuti ya Umoja wa Mataifa, hii ni mara ya kwanza Mkutano Mkuu wa UN kukutanisha wakuu wa nchi kujadili suala hilo.

Pamoja na hilo la Wakimbizi na Wahamiaji, pia kutakuwa na kikao muhimu sana ambacho kitachukua takribani 70% ya mkutano wote kutokana na umuhimu wake. Huu ni mdahalo unaolenga kuzungumzia malengo ya maendeleo endelevu na nafasi yetu katika kusukuma mabadiliko ya kufikia malengo hayo.

United Nations

View attachment 402894
Kutoenda ni sawa tu, inawezekana anaona watangulizi walienda mikutano mingi lakini haikuwa na tija, ni bora yy aje na njia nyingine ili nayo tuone kama inaweza kutuinua,hivyo kuhudhuria mikutano siyo kipimo cha uongozi.
 
Kutokana na janga la tetemeko la ardhi, kwa mara nyingine Mheshimiwa Rais wetu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania analazimika "kuvunja" safari ya kwenda kuhudhuria Mkutano wa 71 wa Umoja Mataifa ambao unaanza kesho tarehe 20.09.2016 hadi 30.09.2016

Kwa mujibu wa Ms. Mindi Kasiga aliyehojiwa na gazeti la The Citizen Mheshimiwa Rais amelazimika kutoenda kuhudhuria mkutano huo ili kushughulika na matokeo ya maafa ya tetemeko hilo lililochukua maisha ya Watanzania wenzetu takribani 19 huku wengine takribani 200 wakiachwa majeruhi.

NOTE: Mada mbalimbali zitajadiliwa kwenye mkutano huo lakini moja ya mada ambayo inatarajiwa kuwa na msisimko ni ile itakayozungumzia wimbi la Wakimbizi na Wahamiaji duniani. Kwa mujibu wa tovuti ya Umoja wa Mataifa, hii ni mara ya kwanza Mkutano Mkuu wa UN kukutanisha wakuu wa nchi kujadili suala hilo.

Pamoja na hilo la Wakimbizi na Wahamiaji, pia kutakuwa na kikao muhimu sana ambacho kitachukua takribani 70% ya mkutano wote kutokana na umuhimu wake. Huu ni mdahalo unaolenga kuzungumzia malengo ya maendeleo endelevu na nafasi yetu katika kusukuma mabadiliko ya kufikia malengo hayo.

United Nations

View attachment 402894
Halafu huyu ana ushamba sana wa kuonyesha pesa live akiwa anatoa msaada fulani, aache huo ushamba, ajue yeye ni kiongozi mkuu. halafu pia tulishazungumzia hapa jamiiforum kabla kuwa hatoenda UN kutokana na udhaifu wa ngeli, na hilo limetimia sasa, hilo la janga lililotokea na yeye kufanya kama ndiyo sababu ni kama kumdanganya mtoto mdogo. thanks great thinkers (jamii forum) kwa upeo wa kuona mbali.
 
Huo mkutano una faida gani kwa Tanzania ? UNAIINGIZIA nchi pato la shilingi ngapi mwisho wa mkutano?
Mkutano huo ni muhimu sana, na utaona hata wale viongozi maadui wa marekani na ulaya watahudhuria kwa maana wanajua umuhimu wake, ila tu huyu wa kwetu ndiyo haoni umuhimu wowote kwa sababu ya ngeli! teh teh teh !!!
 
Heri asiende. Miaka yote Afrika imekuwa ikizalisha wakimbizi kwa namilioni haijapata kutokea UN ikaitisha mkutano mkubwa kama huu leo wahamiaji tu huko Ulaya mkutano mkubwa wa UN.
 
Waandishi wa kimataifa watakuwa wanamsubiri kufafanua sintofahamu nyingi hapa nchini. Jaribu kutabiri atakayoulizwa. Mimi naanza:
--ukuta,mikutano ya kisiasa hadi 2020,safari za nje,watumishi hewa,bunge,...ongezea. Tumpe nondo Mr President
 
Kwani wanaoenda huko UN ni lazima wajue lugha? Si kuna tudude wanavaa masikioni? ni twa nini?
Wakalimani wa Kiswahili hawapo huko UN!!!!!!!!. Lakini je, hiyo lugha yako kiswahili unaijua kiasi cha kuweza kuhutubia UN?
 
Heri asiende. Miaka yote Afrika imekuwa ikizalisha wakimbizi kwa namilioni haijapata kutokea UN ikaitisha mkutano mkubwa kama huu leo wahamiaji tu huko Ulaya mkutano mkubwa wa UN.
Acha kuchanganya madesa! UN hawajaitisha mkutano kwa ajili ya wakimbizi! Ilivyo ni kwamba, kila mwaka kunakuwa na UN General Assembly inayokutanisha wakuu wa nchi na wakuu wa serikali. Sasa kwavile hiki ndicho kikao kikubwa kuliko vyote, kila mwaka kunakuwa na agenda. Agenda ya mwaka huu ndiyo hiyo inatupia macho suala la wakimbizi na wahamiaji pamoja na The Sustainable Development Goals: a universal push to transform our world. Sa' let's say hilo la wakimbizi tunaona halituhusu ingawaje linatuhusu sana; what about agenda ya Malengo ya Maendeleo Endelevu ambayo ndiyo hasa itatawala UN General Assembly? Na yenyewe haina maana kwetu?!
 
Mkuu Chige umenikumbusha mbali! ,enzi zile za kulala chini misibani, Tanga linaazimwa bure, mikeka Msikitini, kina mama kupiga na kula pamoja kwenye masinia na kupokezana jeneza hadi kusaidiana kufukia!.

Misiba ya siku hizi
Sare za kushonesha.
PA inakodishwa
MC anakotaka
Waimba kwaya wanakodiwa
Waliaji wenye sare wanakodiwa
Chakula ni catering
Mpambanaji wa kulipwa
Jeneza la gharama
Gari la maiti la kukodi
Kaburi la zege
Mashine ya kushusha jeneza
Maua ya kununua,
Padri /Shehe /Mchungaji analipwa
Ndugu walikuwa wanakuja na mahindi/mchele na Maharage, sasa ndugu wanakopa nauli na kumtegemea mfiwa!.
Zamani watu wanalala msibani, siku hizi ndugu tuu! .
Wanawake nywele tim tim ni mwendo wa kanga na mitandio, siku hizi wanaanzia saloon kisha suruali na vimini! .
Misiba ya kizamani unatangulia utu mshikamano na ushirikiano, misiba ya
kisasa inaongea pesa! .

Bora kabisa jamaa ajifungie tuu ndani afanye kazi ya mobilisation of resources kule ziende pesa na sio kupeleka utu! . Pesa ndio kila kitu, money can buy everything including love and happiness! .
Zamani mtu aliheshimiwa na kuthaminiwa kwa utu wake na sio mpaka awe na kitu! .
Sasa thamani ya mtu ni ana nini? ,gari, nyumba, Pesa etc na sio utu tena! .
Pasco
Ilibidi tu nicheke peke yangu ingawaje sina uhakika kilichotoka ni kicheko cha furaha au cha mahuzuniko! Hayo yote nishapata kuyasikia kama si kuyashuhudia hapa na pale! Umesahau hili: "waombolezaji" wakiwa wamevalia nguo na miwani nyeusi! Yaani rangi ile ile ya asili ndiyo mwaihusisha na majonzi!

Lakini sawa! Hawa wote si ndo kile kizazi cha Jirani wa Mtaa wa 7?! Ulienda kilioni ukatoa minoti; kisha huyooooo, ukaenda zako! Sawa tu, na wewe yashakukuta watu watakumwagia noti, kisha haooo waenda zao! Nini kitafuata kama si kufanya uliyosema?! Wewe si mwenzetu na lau kama ungekuwa mwenzetu wala usingepata shida yote hiyo!! Kwahiyo naungana na wewe kwamba Jirani Mtaa wa 7 bora tu ajifungie ndani kwanza tushajua si mwenzetu! Bora tu ajifungie lakini sio kwamba eti ili afanye mobilization ya nini cjui!! Wewe dereva mwenye wajibu wa kupeleka watoto shule unaacha vipi kuwapeleka watoto shule eti kisa dereva anayeenda kukata majani ya ng'ombe bado hajafika?! Kazi hiyo wewe yako?! Ebo!
 
Hao wahaya ni lini alienda kuwaona?
kwani we kwa uelewa wako kushughulikia issue ya bukoba ni mpaka aende bukoba(sisemi nasapoti kutokwenda lkn watu tunataka kumuongoza raisi)......
 
Acha kuchanganya madesa! UN hawajaitisha mkutano kwa ajili ya wakimbizi! Ilivyo ni kwamba, kila mwaka kunakuwa na UN General Assembly inayokutanisha wakuu wa nchi na wakuu wa serikali. Sasa kwavile hiki ndicho kikao kikubwa kuliko vyote, kila mwaka kunakuwa na agenda. Agenda ya mwaka huu ndiyo hiyo inatupia macho suala la wakimbizi na wahamiaji pamoja na The Sustainable Development Goals: a universal push to transform our world. Sa' let's say hilo la wakimbizi tunaona halituhusu ingawaje linatuhusu sana; what about agenda ya Malengo ya Maendeleo Endelevu ambayo ndiyo hasa itatawala UN General Assembly? Na yenyewe haina maana kwetu?!
www.liberal-international.org
 
Bi Emma, watu kama nyinyi ndio mtakuja kuiponza jf!. Heshima ni kitu cha bure, rais ni rais wa nchi yote ya JMT, na ni rais wa Watanzania wote kokote waliko, hivyo huwezi kumuita rais wenu unless wewe sio Mtanzania!.

Hata kama hukumchagua Magufuli, na ulimchagua ulimchagua , aliyetangazwa kushinda uchaguzi ndie rais wa nchi, ni rais wako, rais wake na rais wetu!. Ni rais wa wote waliomchagua na wasio mchagua hata wa wale ambao hawakupiga kura kabisa ! .

Hata kama humpendi vipi lakini unapaswa kumuheshimu, na kama unampenda sana uliemchagua uko huru kumfanya ndie rais wa moyo wako, na huyu aliyetangazwa ndie rais wa nchi akiwemo huyo rais wa moyo wako! , Mhe Dr John Pombe Joseph Magufuli ndiye rais wake, wako, wetu! .
Pasco
Mkuu unaweza kuweza kufuta hilo jina unakosea Bi.siyo nimeshakueleza kuhusu jina la raisi umejitahidi sana kulipamba lakini huwezi kunilazimisha kuamini ambacho unachokiamini hata kama ni mtanzania ni hayo machache nilipenda kukueleza Pasco
 
Back
Top Bottom