mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,664
- 18,045
- Thread starter
- #61
Sijasema bila kukaribishwa ila bila kukaribishwa rasmi na Rais wa nchi hiyo kama mgeni wake wa kitaifa!! Unaweza kukaribishwa na wengine labda kuhudhuria kikao cha NGO nk!Hii definition umeitoa wapi? yaani unaenda nchi ya mtu bila kukaribishwa, hiyo work visit unaifanyaje, unaenda kutembelea maonyesho ya nanenane ya huko kujifunza biashara au kilimo, unatuonaje humu ndani aisee?? au ndio unatafuta justificationa mama alipoenda USA kuzindua filamu na hakuwa noticed kama kuna mkuu wa nchi ameingia, yaani alialikwa kama muigizaji wa filamu tu