Rais kutokupokelewa na Rais mwenzake: Tutofautishe kati ya State Visit (Ziara ya Kitaifa) na Working Visit (Ziara ya Kikazi)

25 May 2022
Accra, Ghana

Africa Day—25 May 2022​


This is an extended Africa Day 2022 message from Prof. Delanyo Adadevoh, President and Founder of the International Leadership Foundation. #ilfglobal joins all Africans to celebrate #AUDay2022. Long live Africa!

Source : ILFGlobal
 
Wewe ndio mjinga unafahamishwa unaleta ujuwaji, una chuki na rais samia lakini chuki zako ni za bure mama anakata mbuga na anafanya kazi ambao wote waliomtangulia walishindwa huyo malaika wako unayemuabudu ndio kashindwa kabisa akabakia kunyang'anya pesa matajiri.
Hata kama ni working visit ndio apokelewe na watu kama hawa?
Screenshot_20220523-202945_Instagram.jpg

Nipe mfano mmoja tu wa working visit iliyowahi kuja hapa Tz na Rais hakwenda kumpokea au kuonana naye.
 
Labda kama mtu ukiamua kujitoa ufahamu!! Wala hakuna anayesema kuwa Rais akiwa kwenye work visit anakoma kuwa rais. Ila ukweli ni kwamba akiwa kwenye work visit asitegemee kupewa heshima anayostahili kama rais wa nchi kama kupokelewa na mkuu wa nchi mwenzake nk

Acha utetezi wa kijinga, alikuja Bill Clinton hapa Tanzania kwenye suala la mahakama ya Rwanda, akapokelewa kwa mbwembwe zote na JK huko Arusha, mpaka barabarani ikadekiwa, nahisi ulikuwa shule bado. Ww leta Utetezi mwingine ila sio kuweka uzi mrefu kwa maelezo ya kulazimisha ili kuficha aibu.
Cc: Chinembe
 
Hatalazimika kwenda kumpokea, wala rais wa marekani akija kwa work visit hatadai kupokelewa na Rais! Lakini kwa kawaida sijui kwa nini (labda kwa ajili ya ukarimu), ikulu hapatakalika itabidi tu aende kumpokea! Si unajua sisi waafrika tunajisikiaga vizuri kupokea wageni!
Umeongea kidiplomasia. ila ukweli ni kwamba, UMASIKINI NI TATIZO KUBWA. Alieendelea/tajirika ni boss wako upende usipende!
 
Sina kumbukumbu kama Tanzania ina ubalozi straight Ghana.nachofaham BENSON BANA anaiwakilisha JMT akiwa abuja Nigeria..sio jamani?
 
Waafrika kwa ushamba maraisi wa kizungu hata wakija kwa work visit tunawapokea kwa mikono miwilii..raisi anaenda kupokea na mkuu wa majeshi, wageni wakipokelewa wanafanyiwa gwaride kwanza pale airport na kupuliziwa filimbi ya pembe la ng'ombe (kombeo)
Baada ya hapo tunawapeleka hoteli za gharama kulikozote na kuwapa vyakula vya wanyamapori (mf. nyati,swala,tausi)

Wakati nyie mkienda kwao mnapokelewa na security wa airport.. mnachukua tax za kukodi(uber) mpaka hoteli za kawaida,,mnalala na wazungu wa kawaida hoteli moja na baadae mnaomba appointment kwa wakubwa wa nchi mnaambiwa msubiri ratiba yake (mnaweza kusubirishwa hata wiki mbili kama Samia Marekani)
 
Back
Top Bottom