Tetesi: Rais kuanza ziara ya siku 6 Canada mwezi ujao

Kila safari rais analipwa $1 million sawa na Tzsh 2.3 bilion . Kwa safari alizofanya(nje ya nchi) mpaka sasa ana zaidi ya bilion 40Tzshs.

Hizi fedha ni tofauti na posho.
Ni hela yake ya mfukoni tu.

Watz tunalo
 
😭
 
Hivi zile 11trl za UAE zimeshakuja ngapi? Ila vyema ate atembelee na Boeing Ile ndege ya mzigo aje nayo kabisa
 
Kila safari rais analipwa $1 million sawa na Tzsh 2.3 bilion . Kwa safari alizofanya(nje ya nchi) mpaka sasa ana zaidi ya bilion 40Tzshs.

Hizi fedha ni tofauti na posho.
Ni hela yake ya mfukoni tu.

Watz tunalo
😭
 
Kila safari rais analipwa $1 million sawa na Tzsh 2.3 bilion . Kwa safari alizofanya(nje ya nchi) mpaka sasa ana zaidi ya bilion 40Tzshs.

Hizi fedha ni tofauti na posho.
Ni hela yake ya mfukoni tu.

Watz tunalo
😭
 
huko anaenda kukutana na Godbless Lema ili ampatie orodha ya watu aliooteshwa wanaweza pata yaliyomkumba hayati
 
Maji yapo? Wapi ? Niambie sehemu yenye maji ya uhakika Tanzania ? Unaposema hawategemei mvua unamaanisha nini ? Northern Hemisphere mvua zinanyesha karibia kila siku, hakuna mvua za msimu kama nchi za tropics kama zetu, hivyo Northern Hemisphere maji ni ya uhakika kwa maana mito imejaa mwaka mzima, udongo laini mwaka mzima, hakuna mambo ya sijui masika na vuli huko ni full year mvua.

Unafikiri kwa nini Mzungu aliondoka Ulaya kuhamia Amerika na siyo Afrika? Nchi pekee ambayo iko vizuri Afrika ni Afrika Kusini na ndio maana Mzungu kaseto huko, kuna maji mengi, hali ya hewa inaruhusu, kila kitu kipo, …
Northen hemisphere kuna majangwa na mabarafu ya kufa mtu Southen hemisphere ndio maeneo mazuri kwa hali ya hewa
 
Duru zinatabanaisha huenda Rais akawa na ziara ya siku 6 mnamo mwezi ujao huko Canada.

Pamoja na mambo mengine inaelezwa atakutana na wadau mbalimbali wa utalii ili kuimarisha sekta hiyo.

Vilevile atakutana na wadau wa sekta ya madini.

Nb: Asante mama kwa maandalizi ya safari.
Kwani wewe ulitaka aende wapi ? Mara nyingine mnajipa stress Bure bila sababu. Wewe mwananchi jutafutie shughuli ya kujipatia fedha, achana na hizi mada za jikoni.

Huyo ni Rais anafanya kazi yake aliyoapa kuwafanyia Watanzania na ratiba anayo yeye, hawezi kufuata ratiba yako. Kama atakosea Watanzania watamhukumu kwenye sanduku la kura
 
Anajitahidi

Msoga king alitumia mwaka mzima kuwa nje ya nchi kwa miaka yake 10

Sijui atatumia ngapi

Wazee tuanze kuhesabu na huyu ziara zake tangu aanze hio kazi
 
Back
Top Bottom