Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
Hivi ni lini mlishawahi kumuamini Kikwete? Huwa asemi ukweli hatamara moja.
Be ur self
Urafiki wa Mashaka, Walikuwa Marafiki, Si Marafiki. Past V/S Present.
Kikwete ni mzalendo wa nchi hii. Amekataa kumpa rafiki yake nchi kwa maana anamjua vizuri ni mwizi na atawaibia Watanzania.
Inanikumbusha ile kauli ya Kabila Marehemu kwa jamaa waliomsaidia kuingia madarakani miaka ile kuwa hawezi kuuza Nchi kwa makubaliano waliyokubaliana porini... Hakuna mahali JK na Lowassa waliandikishiana kuhusu kuachiana madaraka, pengine Lowassa aweke huo mkataba hadharani, maana hii ni fedheha kubwa kwa watu ambao hawakukutana barabarani.